Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Robbo is the best kwenye pitch
Ila Burma TV kiboko haikwami ,ikishindikana mabdro chukua hiyo app ni balaaKama unatumia mobile application ya Mobdro basi stream kwenye channel ya BT SPORT 1
Muangalie huyu wa Napol jezi na 5 linavyofanya kazi pale katiMkuu Hendo ni mzigo thus y rodger hakuwahi kumuelewa kbs
Jamani niwapongeze 1st half ,twende second tupo bampa to bampa
hawa marefa ndio wanaharibu mpira hawa hii ya VVD ilikuwa ni straight red card ...poor refa
Mkuu vipi hii game ikiisha Liver 1-0 inakuaje? Liver anapita?Tayari tumeshawaweza hawa
Mkuu vipi hii game ikiisha Liver 1-0 inakuaje? Liver anapita?