Alafu mkuu mbona umechukua avatar yangu aisee ?!!!!!
Lol...But.. but..! but... he is one season wonder
Niwapongeze team zote za EPL zimeingia 16 kama matokeo yatabakia ivi ,sasa naweza kujipumzisha
MkuuTAA injured? Mambo yanazidi kuwa mabaya
Hahah kuna watu wakawa wamekaa kabisa wanasubiria tuende Europa?!😂😂Endelea tu kutusubiri tuje Europa