SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Labda msimu wakoMwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool
Labda msimu wakoMwisho wa msimu utakuwa hivi
1 Chelsea
2 Tottenham
3 man city
4 Liverpool
😀😀😀
Akiongezea na lile jina lake analomwitaga
Labda msimu wako
mtabadili line Up wee haisaidii nyinyi washabiki kazi yenu kushabikia tu kikosi kazi cha kocha mkuu kinafahamika Hendo, milner, Gin dimba la Kati walioko mbele walewale ,nyuma walewale, jiandaeni kupigwa koni za kutosha na napoli mara zote anatangulia kufunga...Napoli Anafia hapa
4-2-3-1
salah
mane firmino shaqir
gin fabinho
robertson vvd matip TAA
alison
Chama chako tu kinaonyesha ww ni shabik wa yanga sasa LIVERPOOL utaijulia wp ??? Nenda kwa muokota maKopo hukoPia niwakumbushe mnaopanga vikosi Champions League sio michezo ya majaribio kama mtu anataka keita, shaqir, fabihno wacheze akawe kocha yeye mwendo ule ule
Sasa kikosi kitakapo toka tukutane hapa tuone Kati yangu na wewe nani anayeijua Liverpool Milner ndani, Hendo ndani na ikiwa hivyo ukubali tu hakuna lolote unalolijua kuhusu Liverpool na mimi ntakubali tena ntakuwa mshabiki wa prison inayoshika mkia Yanga anaongoza ligi ya nchi yako respect respect respect.Chama chako tu kinaonyesha ww ni shabik wa yanga sasa LIVERPOOL utaijulia wp ??? Nenda kwa muokota maKopo huko
Sasa kikosi kitakapo toka tukutane hapa tuone Kati yangu na wewe nani anayeijua Liverpool Milner ndani, Hendo ndani na ikiwa hivyo ukubali tu hakuna lolote unalolijua kuhusu Liverpool na mimi ntakubali tena ntakuwa mshabiki wa prison inayoshika mkia Yanga anaongoza ligi ya nchi yako respect respect respect.
Kupangwa kwa hendo na milner haimaanishi ndo kikosi boraSasa kikosi kitakapo toka tukutane hapa tuone Kati yangu na wewe nani anayeijua Liverpool Milner ndani, Hendo ndani na ikiwa hivyo ukubali tu hakuna lolote unalolijua kuhusu Liverpool na mimi ntakubali tena ntakuwa mshabiki wa prison inayoshika mkia Yanga anaongoza ligi ya nchi yako respect respect respect.
Sio kwa sasa tu miaka yote vilabu vya uingereza havina mpango na uefa wao macho kodo epl tuAsilimia 70+ wakotayari Kusacrifice CL kwa ajili ya EPL
Hii inaonesha Ni jinsi gani CL is not real matter kwa sasa..
But the big deal is EPL
Nakuunga mkono ukweli mtupuSio kwa sasa tu miaka yote vilabu vya uingereza havina mpango na uefa wao macho kodo epl tu