Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Tunaangalia mpira kiutofauti sana...Kweli kabisa unaweza kusema leo liver imecheza ovyo?
Kwamba Fabinho amecheza vibaya?
Yaani mtu huoni kabisa midfield ilivyokuwa inafanya jukumu lake ukilinganisha na akiwepo Hendo?
Huyu Fabihno kuwekwa nje na Henderson ni ukiukwaji mkubwa wa sheria za kuthamini vipaji....
tatizo la shabiki maandazi wa loserfoolish ni muchknow sana ila msimu ukiisha mnakaa kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkiwa trophylessWashabiki Wa Chelshit walikuwa tafrani hapa na Joginho wao sasahivi wameishia Kujipiga Ban wenyewe! Sasa na Hawa Njigiri za Ass-anal Siku zao zinahesabika za kutoweka hapa.
Uko sawa history itasoma mlibeba kombe basi haitakuwa na maelezo ya kwamba mlichezaje.hii inaitwa win ugly! ...vyovyote vile sisi tupate points 3 tu! ....bingwa ndivo alivyo
what a tough derby!!
Mpaka boss Klopp kachanganyikiwa!!
I just wish arudishe heavy metal football kuliko style hii anayo apply ya kupata matokeo
Fabinho anajua ndio kuliko hendo ukilinganisha na jins klopp anavyomtumia kwa kubip bip Ila akipazoea itakua pata shika tazama tackling zake utafurahAliyemuangalia Fabinho, unaweza kumlinganisha na Henderson.!?
Hii rekodi pia aliwahi kuishika starij kwa muda kadhaa ktk gemu ya westham, sub ya starij dhid ya Chelsea niliwahi fyonza na Leo pia ya origi nilifanya vivyo hivyo, but ni sub za miujiza zilizoishia na kuniacha na furaha tele.FACT
No player in the Premier League has a better goal to minute ratio this season than Divock Origi
[emoji23]
Una timu ya kawaida tu,
Hauna gegen pressing, unacheza ili mradi tu,
Shukuru unapata matokeo, ila sooon tutaongea mengine, kwanza unaanza na kwenda europa , then unaporomoshwa hapo juu, na ligi inakuwa imeisha kwako kufikia february
HONGERENI KWA USHINDI LAKINI ACHENI KUJIOVERRATE TIMU YENU YA KAWAIDA SANA MAANA LEO KLOPP KAWAVUA NGUO,MAANA HAO WACHEZAJI MUNAOWALILIA KILA SIKU WACHEZESHWE LEO WAMEPANGWA NA HAKUNA JIPYA TIMU BADO HAIPO KAMA MATARAJIO YENU YALIVYO........KIPIGO CHENU CHAJA SOON
Hutowaonaa wakichangia ten zaid ya ramli zaoLile genge la vibaya wa Chelsea limekimbia jumla humu halionekani kabisa
Jiulize mpaka sisi tunafungwa wewe utakua ushapoteza mechi ngapi na hio timu yako inayocheza soka safi! We continue win ugly until may 2019HONGERENI KWA USHINDI LAKINI ACHENI KUJIOVERRATE TIMU YENU YA KAWAIDA SANA MAANA LEO KLOPP KAWAVUA NGUO,MAANA HAO WACHEZAJI MUNAOWALILIA KILA SIKU WACHEZESHWE LEO WAMEPANGWA NA HAKUNA JIPYA TIMU BADO HAIPO KAMA MATARAJIO YENU YALIVYO........KIPIGO CHENU CHAJA SOON
Limepotea hilo genge sasa naona kuna kagenge kawashika manati kanakuja kwa kasi humu! Dawa yao ipo jikoni weekend ijayoLile genge la vibaya wa Chelsea limekimbia jumla humu halionekani kabisa