Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Kwan umemuona mechi ngapi??Swala kupangwa ni la kocha hapo nimetoa maoni yangu hana ubovu huo wa kutolewa kwamana bado hatuja muona vya kutosha tukajirizisha kama kweli ni mbovu
Kwan umemuona mechi ngapi??Swala kupangwa ni la kocha hapo nimetoa maoni yangu hana ubovu huo wa kutolewa kwamana bado hatuja muona vya kutosha tukajirizisha kama kweli ni mbovu
Acha kukaza ubongo post ya kwanza nili pinga uwepo wa hendo ya pil nikipinga maamuz ya klopp nin hujaelewa
Hapo umempinga Hendo au KloppSijaona makosa
Liver kadorminate thus y tuchel aliingiza bek na viungo baad ya kuliona hilo
Zaid ROBO ajirekebishe tu kwenye finishing pass bas
CjuiHapo umempinga Hendo au Klopp
Nakubaliana na wwCjui
For sure hata mie nimemiss those moments, pamoja na kuwa tulikuwa na beki mbovu lkn tulikuwa tunapiga mpira mnene na mtamu balaa.Hahahahahah, huyo anatania
Msimu uliopita mlikuwa mnacheza vizuri sana, pressing ya hali ya juu, pasi za haraka, na nafasi za kufunga mlikuwa mnatengeneza nyingi zaidi. Hata Man City alikuwa anapata tabu sana mlipocheza ule mpira wenu dhidi yao.
Baada ya usajili wa January na Summer nikajua sasa Liver mtakuwa hamshikiki
Nadhani yule No. 2 wa Klop alikuwa ana influence sana kwenye mbinu za KlopFor sure hata mie nimemiss those moments, pamoja na kuwa tulikuwa na beki mbovu lkn tulikuwa tunapiga mpira mnene na mtamu balaa.
Wont take them anywhere.
Man aende wapi nawe hapo ndo mwisho wake.Through this comments they are proving me right that this is Liver fool fans thread.
Mnajifananisha na Man ambaye keshapita huku nyie mna kibarua na Napoli tena mshinde kwa tofauti ya goli mbili ndio mpite. Heheee.. Mlienda shule kusomea ujinga..??????
Mkuu acha kuchochea kuni, moto utakaowaka msiniite kuja kuzima hatuna maji ya kutosha!
Mkuu acha kuchochea kuni, moto utakaowaka msiniite kuja kuzima hatuna maji ya kutosha!

Mwnyw nawasha halafu nadisappear 







Hahahahahaha!Mwnyw nawasha halafu nadisappear
![]()
![]()
![]()
![]()
Bila kupepesa macho klopp ndo tatizo liver kwa sasaNapoli anahitajika kupigwa 1-0 tu ili liver tuweze kuvufu. Tatizo sio wachezaj ila Klopp ndio jipu, huyu jamaa kachoka kifikra, nina experience kila anapoweka mildfield flat kama ile ya jana kelele huwa nyingi za mashabiki na mwishon lazima huwa lazima tupoteza mechi tena kibaya mechi muhimu kabisa.
Jumapili na Everton baada ya kelele za jana, Klopp ataweka kikosi kizur hasa pale kati na formation itakuwa nzur ya ushambuliaji. Lakin baada ya mechi hyo utakuja kuona anaweka kikos anachokijua yeye.
Kiufupi huyu kocha ni jipu la majipu yote pale Epl, mi napata hisia huenda anatumika kuhujum team, amespend M200 lakin had leo anachofanya ni usen.g.e tu.
Namuunga Mkono kocha wa Egypt aliyemwambia Salah kuwa endapo liver itakosa kombe mwaka huu ni vyema aondoke coz anajichafulia CV.
3 fonts wetu Salah, Mane, Firmino wanahitaji kuchezeshwa na mildfield zinazojielewa kama Keita Shaqir na fabh na impact huwa kubwa siku zote wakiwepo.
Klopp hana tofauti na Amunike.
Bila kupepesa macho klopp ndo tatizo liver kwa sasa
Hahaha unategemea kufuzu kupitia mgongo wa Napoli... wewe unatakiwa ujue kuwa uefa ni oversize kwa liverpool..Southern Highland
Liverpool wakishinda 1-0 vs Napoli watakuwa wamefungana karibu kila aspect except magoli ya kufunga ambayo LFC wanayo mengi kuliko Napoli. Napoli wamefunga 7 na LFC 8 wakifunga 1 inakuwa wamefunag 9 hii ndio criteria ya pili ya UEFA kwa timu zilizofungana point baada ya ile ya kufunga. LFC wakishinda kwa tofauti ya goli moja mbali na 1-0 ndio watatolewa kwa sababu ya goli la ugenini