Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1-0 itaivusha liver to the next level, sababu liver atakuwa kamzid Napoli Goal difference kwa 3, Yani Liver ana magoli 8 na Napoli ana goal 5.

Hivyo liver anaitajika kushinda 1-0, au ikishindikana hivyo napoli apige goli ni lazima basi liver ashinde kwa zaid ya goli 1 (3-1).

Lakini endapo pia Psg atadraw na Red star basi ushindi wowote wa Liver hata kama 2-1 basi utaipa liver nafasi kifuzu.

Muhimu tu liver hatakiwi kupoteza kabisa hiyo game.
UEFA hawafuati GD ya kawaida kama timu zimefungana points ila Head-to-Head results

Kwa case ya Liv na Nap
Napoli alimfunga Liv 1-0 na Liv wakimfunga 1-0 watakuwa wamejibu mashambulizi na hivyo criteria itakayotumika ni timu yenye magoli mengi ya mechi zote kwa sababu namba 1-4 hapo chini watakuwa wamefungana sawa
  • Liv akishinda 1.0 Liver watasonga mbele kwa idadi ya magoli 9 dhidi ya 7 ya Napoli katika mechi zote za Group
  • Liv wakishinda 2-1, 3-2, 4-3 nk Napoli watasonga mbele kwa sababu ya goli la ugenini (#4 hapo chini)
  • Liv wakishinda 3-1, Liv itasonga kwa sababu ya kuwa na GD kubwa katika mechi zao mbili (#2 hapo chini)

Sheria zenyewe za UEFA hizi hapa kwa timu zilizofungana points
  1. Points in head-to-head matches among tied teams;
  2. Goal difference in head-to-head matches among tied teams;
  3. Goals scored in head-to-head matches among tied teams;
  4. Away goals scored in head-to-head matches among tied teams;
 
Klopp kuna interview ambayo aliwahi kusema Buvac kwenye mazoezi anasimamia 200 drills huku yeye akisimamia 100 drills.

Na anakubali the guy was his BRAIN.

So, hata kama tukivuka hatuna timu ya kubattle UEFA playoffs, we are tactically poor, we bought Ferraris but we have decided to keep on driving our poor old Toyotas, seems like it was just for a showoff.
 
Mkuu utaambiwa hujui Soccer management! Shauri yako.
 
Kwa Upande Wangu Nina Matumaini Kwa Asilimia 80% Tunapita Kwenye Hili Group na Kufika Next Stage ya Last Sixteen..
Ila hili lote lipo kwenye Mikono ya Klopp... Akitaka tutasonga mbele, Hakutaka tutaishia tulipo.

Bado Nafasi tunayo iwapo Klopp atataka tusonge mbele! Tunao uwezo Wa Kumfunga Napoli Hata goli 3 kwa 0 iwapo tu Klopp atakuwa tayari kwa hilo.
 
Klopp kuna interview ambayo aliwahi kusema Buvac kwenye mazoezi anasimamia 200 drills huku yeye akisimamia 100 drills.

Na anakubali the guy was his BRAIN.

So, hata kama tukivuka hatuna timu ya kubattle UEFA playoffs, we are tactically poor, we bought Ferraris but we have decided to keep on driving our poor old Toyotas, seems like it was just for a showoff.

Tupo sawa zaidi kuliko alipo kuwepo Buvac!
Mwaka jana tulisubiri hadi mechi ya mwisho kumfunga Moscow ku ingia round ya pili!
Hata mwaka huu Napoli hawezi tuzuia tusiingie round ya pili Anfield
 
Nakumbuka baada ya Liverpool kufungwa na Red Star nilipost Comment hapa kutoka Liverpool Echo ambayo waliclaim Sababu ya Kufungwa Mchezo hule Ni Kuwa Hendoshoga Hakucheza, Lakini angelicheza basi angabadilisha Mchezo na tusingelifungwa! Lakini umeonekana hadharani Unafiki wao baada ya Hendoshoga Jana Kuzurura uwanjani kwa dakika 90 with nothing special...

Na Hatimae Ian Doyle amemrate 4 kuonesha kuwa Mchango wake ulikuwa Ni mbovu!!!

Jordan Henderson 4

"Looked devoid of energy whenever PSG players ran at him, which was costly first half. More of the ball after the break but didn't do enough with said possession".
 
Nakumbuka baada ya Liverpool kufungwa na Red Star nilipost Comment hapa kutoka Liverpool Echo ambacho waliclaim Sababu ya Kufungwa Mchezo hule Ni Kuwa Hendoshoga Hakucheza, Lakini angelicheza basi angabadilisha Mchezo na tusingelifungwa! Lakini umeonekana hadharani Unafiki wao baada ya Hendoshoga Kuzurura uwanjani kwa dakika 90 with nothing special...

Henderson ni mzigo yule
 
d.
  • A 1-0 win for Liverpool
Should the Reds triumph by a goal at Anfield, they progress ahead of Napoli. They’d be level on points and head-to-head results, but would have more goals scored than the Italians, the next criteria to consult.
  • Any two-goal win for Liverpool
Think Olympiacos, 2004. Anything such as 2-0, 3-1, 4-2 and so on, or better, will see the Reds progress. They’d be level on points but have a better head-to-head than Napoli.
  • Any win for the Reds AND a PSG draw
Even a 2-1 win is good enough if PSG only take a point at Red Star. Liverpool, Napoli and PSG would all be on nine points and Klopp’s team would be top of that three-way head-to-head, having taken six points against those sides.
Drawing with Napoli would leave the Reds in third. Beating Napoli 2-1, or by any other one-goal margin other than 1-0, would also leave the Reds third as long as PSG win at Red Star.
  • Fourth-place variation
The unthinkable could happen: if Liverpool lose at home to Napoli and Red Star beat PSG, the Serbian side will leapfrog the Reds into third, leaving Klopp’s side bottom and with no further European action this season.

It promises to be a night of huge importance and atmosphere at Anfield, which could very much shape the course of the Reds’ season thereafter.
 
Great analysis ever. Kudos
 
Econometrician rudia kuifikiria hii hapa chini:-

Any win for the Reds AND a PSG draw
Even a 2-1 win is good enough if PSG only take a point at Red Star. Liverpool, Napoli and PSG would all be on nine points and Klopp’s team would be top of that three-way head-to-head, having taken six points against those sides.

2 - 1 win to Napoli: Head to Head Napoli wana away goal linalowapa advantage.

Na kama PSG akidroo, atakuwa na advantage ya away goal vs Liverpool, ana 2 away goals wakati Liverpool ana 1 goal.

Kwa matokeo kama hayo LFC anabaki.

Otherwise hapo naona utakuwa umetumika utaratibu wa ku-assume kwamba Red Stars hawako kwenye equation, then tunaangalia nani kati yetu mwenye points nyingi kama tungekuwa sisi wenyewe!

Nilivyoelewa.
 
Klopp kuna interview ambayo aliwahi kusema Buvac kwenye mazoezi anasimamia 200 drills huku yeye akisimamia 100 drills.

Na anakubali the guy was his BRAIN.

So, hata kama tukivuka hatuna timu ya kubattle UEFA playoffs, we are tactically poor, we bought Ferraris but we have decided to keep on driving our poor old Toyotas, seems like it was just for a showoff.
Mfukuzeni Klopp mpeni timu huyo Buvac kama hajawashusha daraja
 
Nakumbuka baada ya Liverpool kufungwa na Red Star nilipost Comment hapa kutoka Liverpool Echo ambacho waliclaim Sababu ya Kufungwa Mchezo hule Ni Kuwa Hendoshoga Hakucheza, Lakini angelicheza basi angabadilisha Mchezo na tusingelifungwa! Lakini umeonekana hadharani Unafiki wao baada ya Hendoshoga Kuzurura uwanjani kwa dakika 90 with nothing special...

Na Hatimae Ian Doyle amemrate 4 kuonesha kuwa Mchango wake ulikuwa Ni mbovu!!!

Jordan Henderson 4

"Looked devoid of energy whenever PSG players ran at him, which was costly first half. More of the ball after the break but didn't do enough with said possession".

Nimefurahi kuona analysis ya Doyle

he's the biggest Hendo fan, but nadhani amefungua macho

and i'm glad perfomance ya henderson jana imefungua macho ya watu wengi sana even the inbred scousers pale Liverpool City
 
Je wajua

Liverpool wanaweza kukosa Hata nafasi ya kucheza Europa league

FK Crvena Zvezda hawajopoteza game yoyote tokea mwezi April 2018 katika uwanja wao wa nyumbani
Hivo game ijayo PSG huenda wakala kipigo ambapo itawafanya wafikishe point 7.
Ikiwa Liverpool atapigwa na Napoli katika uwanja wa Anfield itawafanya waendelee kubakia na point 6 ambapo watashika nafasi ya mwisho kwenye kundi lao C.

Kama matokeo yatakuwa hivo msimamo utakuwa hivi
1.Napoli point 12
2. PSG point 8
3. FK Crvena Zvezda point 7
4.Liverpool point 6
Lakini anayeshuka kwenda Europa ni team ile iliyomaliza nafasi ya 3 kwenye kundi lake,Hivo Crvena Zvezda watashuka kwenda Europa na Liverpool itarudi EPL

Ikumbukwe Liverpool kombe walibakiwa nao kidogo wanashiriki ni FA cup tuu, EPL bingwa ni Man city
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom