Kwa style ya uchezaji wa Napoli kuwazuia tu kutofunga Goli ni mtihani mzitoEuropa haikwepeki mkuu, biashara mbovu tulifanya dhidi ya red star, na kwa ukuta wa Napoli hatuwezi win kwa tofauti ya 2+
Hawaangali magoli. Bali alieshinda mechi ua mwishoEuropa haikwepeki mkuu, biashara mbovu tulifanya dhidi ya red star, na kwa ukuta wa Napoli hatuwezi win kwa tofauti ya 2+
Napoli alitupiga 1 bila so kumtoa ni tumshinde kwa tofauti ya goli 2 na kuendelea, tukimpiga 2 kwa 1 tumekwenda na maji make atakuwa na advantage ya goli la ugeniniHawaangali magoli. Bali alieshinda mechi ua mwisho
Mkuu pamoja na heshima kubwa niliyonayo kwako ila naona una matatizo makubwa sana aisee, hasa anapokosolewa Klop au Hendo
Ha ha haa akiwa hayupo huwa anapanga Gini nyuma Faby ndo atembee nashangaaga sana.Thanks God, the fake captain hatokuwepo against Everton
tutaona a very good mid by default.
Naona mbwa koko aliyekatiza kapigwa. [emoji23][emoji23][emoji23]No body can stop Liverpool, sisi tunapigaga mbwa koko yeyote anayekatiza mbele yetu
Fikicha macho tena. Hupiti hii hatua wewehatuji europa..nyie mpambane na chelsi huko
Hivi cheltako wanatumia akili au wanatumia nn kufikiriii...[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Through this comments they are proving me right that this is Liver fool fans thread.Liverpool hata akifungwa anao uwezo wa kushinda last game na akasonga mbele kwani ukweli wana unafuu mkubwa kuliko wasindikizaji man u.
Life isn't always what we expect. Life is not rehearsal, life is a performance.Liverpool leo inaweza ikawaacha wengi midomo wazi, yale yaliyotokea Anfield na Etihad UEFA last season huenda leo yakajirudia kwa kishindo kikuu
Dodo cup. Yatawatokea puani shauri yenu.unatamani sana ungekua UEFA Champions Lg msimu huu ila ndio ivyo mko dodo cup..kelele zako kapeleke huko sisi sio level yako...last 16 tupo sana tu aidha leo or game ya Napoli....
Nazipitia hizi comments naishia kucheka tu. Hiiii [emoji3][emoji3][emoji3]tupi tayari kwa mziki wowote ule....sisi ni Liverpool Uefa CL ndio nyumbani huko Europa kuna wenyewe Goonaz, Chelsink n.k
Captain are ok right now.? Utaamka na hangover wewekwa mabeki wetu kipindi kile hata hio 3-3 ni kheri ndugu....kwa sasa defense tupo kamili ndio maana kwa PSG pointi tatu muhimu sana tutaodoka nazo..
Hahahaaaa.. Mnaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]Ficha UPUMBAVU wako kwa kukaa kimywa!
Hujui lolote kuhusu soka