Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
ndani ya fortress ya Anfield nakwambia Napoli anapigwa kwanza mashabiki watauwasha moto full shangwe maana hawatakumbali matokeo tofauti na ya ushindi wa 2+goals...Liver hana uwezo wa kumpiga napoli hata goli 1
Game ya kwanza hata shuti hakupiga
Leo dk 90 liver kapiga shuti 1
Kuna timu ya kumfunga NAPOLI hapa?
YNWA