Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mimi ni Muumini wa Dakika 90 huwa sinaga Majigambo! Ninasubiri baada ya Dakika 90 tu Nimpongeze Klopp au Nimlaumu.

Kwangu Mimi Mpira Kushinda Ni Mbinu na Kupoteza Ni Uzembe! Hakunaga kitu Bahati Mbaya kwa Upande wangu.

So, Ni lazima Klopp ashinde game nijue katumia mbinu bora, Au akipoteza nitajua kuwa katumia mbinu mbovu.

My Take: Lawama au Pongezi kwangu Mimi haipekuki... I don't Care If kuna Mtu ataleta Mipasho au atanuna.
 
Mimi ni Muumini wa Dakika 90 huwa sinaga Majigambo! Ninasubiri baada ya Dakika 90 tu Nimpongeze Klopp au Nimlaumu.naona unavyojitetea

Kwangu Mimi Mpira Kushinda Ni Mbinu na Kupoteza Ni Uzembe! Hakunaga kitu Bahati Mbaya kwa Upande wangu.

So, Ni lazima Klopp ashinde game nijue katumia mbinu bora, Au akipoteza nitajua kuwa katumia mbinu mbovu.

My Take: Lawama au Pongezi kwangu Mimi haipekuki... I don't Care If kuna Mtu ataleta Mipasho au atanuna.
 
Team to play PSG: Alisson, Gomez, Lovren, Van Dijk, Robertson, Milner, Henderson, Wijnaldum, Mane, Salah, Firmino.

Subs: Mignolet, Fabinho, Keita, Sturridge, Shaqiri, Matip, Alexander-Arnold.
 
Leo nina wasiwasi sana na hii game ngoja tuone matokeo ya namna yoyote tutayapokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom