Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani wewe pia ni MSENGE!
Msenge anamjua msenge mwenzake
Mimi nimeshasema hill Captain letu Ni SENGE
Upon sahihi sijui Soka, Anayejua Soka Ni Neymar aliyekwisha tumbukiza Mawili.
Wacha movie iendelee
tapatalk_1540093394210.gif
 
Haya matokeo yalitegemewa, Kama ni msiba hakuna kilio kwa sababu anyway tulijua mgonjwa lazima afe. Huwezi kutegemea matokeo mengine kwa PSG isiyo na dangerous injuries ambao mbele akina dimaria, neymar, cavani na mbappe wapo
POLENI SANA MAJIRANI
 
Ingekuwa mtu ana miguu mitatu, basi miguu ya Liverpool miwili ziko nje ya UEFA na mmoja ndio uko ndani
 
Kama kawaida Liverpool msipoangalia na timu yenu BORA mnaweza tena mwaka huu msiwe na silverware, heri yetu tunapambana na Karabao
 
last season in the CL, that midfield 3 of Gini/hendo/milner haikushinda hata game moja, then we went on and bought 2 top class MFs with shaqiri, ambao wanakalia bench tu

This season in the CL;

Gini/hendo/Milner against Napoli - loss

Gini/Milner/Lallana against Red star - loss

Gini/Hendo/Milner against PSG - Loss

but the manager is refusing to learn from this mistakes, so stupid

You know nothing about the so called soccer management brother
 
Kama ataendeleza ujinga wake huu basi
Nitafikia hatua nitasema

Hivii

KLOPP OUT atuachie LFC yetu

Hendo wakumpiga bench-faby\keita\
Haha kwa kocha mwenye akil huwa anamcheka sana klopp maana unabunduki ndan manat ya nini
 
Kama ataendeleza ujinga wake huu basi
Nitafikia hatua nitasema

Hivii

KLOPP OUT atuachie LFC yetu

Hendo wakumpiga bench-faby\keita\
Haha kwa kocha mwenye akil huwa anamcheka sana klopp maana unabunduki ndan manat ya nini
LFC yenu eh? Hamna jeuri hiyo. You've never been this successful in years confidence wise
 
Ha ha ha haaa tuna top clas maneger ameshakariri tim yake tusiwe na presha
 
Kumbe na nyie mnafungwa....nikijua Chelsea tu ndiyo Tim pekee uingereza inayofungwa.

Karibuni futuhi siye tuliishazoea.
 
Bal hizi ni za mabeki wa kati,wanajichanganya sana!
VVD kajichanganya bao la kwanza
Robbo kajichanganya bao la pili LKN bado anayetukanwa ni Hendo
Upuuzi mtupu!!
watu wasiojua soka hao wameathirika kisaikolojia na huyu kijana HENDO kwakuwa walishakuwa na imani kuwa jamaa ni mbovu basi hata mazuri yake hawayaoni na hata wakiyaona hawasifii bali watasema AMEBAHATISHA ......usipoteze nguvu nyingi kuhangaika nao ilhali unajua kasoro zao.................boko atoe VVD lawama ziende kwa HENDO LE CAPITAINO ahhhhhhhhhhhhhhh jamani eeeeeehhhhhh

poleni wakuu maana hata ile EUROPA nayo inawafaa........
 
Kama ataendeleza ujinga wake huu basi
Nitafikia hatua nitasema

Hivii

KLOPP OUT atuachie LFC yetu

Hendo wakumpiga bench-faby\keita\
Haha kwa kocha mwenye akil huwa anamcheka sana klopp maana unabunduki ndan manat ya nini

Bro kuna watu wao kila msimu Ni Kujijengea False hope tu kuwa wanabeba Kombe lakini Mwisho Wa Siku wanapotea
 
Yani Hili Captain letu linavyotembea uwanjani tu na Kufokea Wanaume Wenziwe (Marefa) basi utajua wazi kuwa Ni SENGE flani tu hivi linaloringia Utaifa wake! Lakini kuhusu soka Hamna Kitu.
 
Huwezi mkosoa mchezaji kwa matusi.... wote wawili hawa si waungwana hasa King ajiangalie sio wote tunapenda matusi.
unamwita mtu king alafu anapenda matusi hahahahahahahaha labda KINGO sio KING au tumwte KING MITUSI......hili ni soka linahitaji utulivu na uvumilivu na sio mihemko
 
watu wasiojua soka hao wameathirika kisaikolojia na huyu kijana HENDO kwakuwa walishakuwa na imani kuwa jamaa ni mbovu basi hata mazuri yake hawayaoni na hata wakiyaona hawasifii bali watasema AMEBAHATISHA ......usipoteze nguvu nyingi kuhangaika nao ilhali unajua kasoro zao.................boko atoe VVD lawama ziende kwa HENDO LE CAPITAINO ahhhhhhhhhhhhhhh jamani eeeeeehhhhhh

poleni wakuu maana hata ile EUROPA nayo inawafaa........

Ngoja nikuulize swali Dogo tu naomba unijibu utakapoiyona hii post..

Katika Mido ya Arsenal Hendoshoga anaweza kucheza namba ya nani? Ozil? Torreira? Guedouzi (Not sure about Spelling)?
 
imagine wewe ni Keita/Fabinho/Shaqiri, upo bench na unaona perfomance ile ya midfield na unagundua kuwa hao ndiyo wanakuweka bench

lazima ufikirie kuondoka tu
fabinho ndio yule aliyekuwa anazurula against ARSENAL pale EMIRATES? dahhhhhhhhhhh kweli ukiona chongo huita kengeza yule flopper mid ndo wa kumcompare na le capitain HENDO dahhhhhh acheni chuki za kishamba,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom