Gwamahala Jr
JF-Expert Member
- Aug 26, 2018
- 464
- 780
Labda ya Man U mkuu ila hao watoto wote tunachakaza tu
Man United naye tunachakaza pia...
Labda ya Man U mkuu ila hao watoto wote tunachakaza tu
Tujikumbushe hii
View attachment 946536
www.haters.co.tz/sourgrapesHuyu mmaliza pesa kama Brendan tu wenzake watumia pesa makombe wanapata yeye kazi kuongeza wachezaji na kuwaweka benchi au kuwachezesha nafasi wasizo zoea.
Ngoja tusubiri mbona tumesubir sana tu
Nadhan mtaendelea kukurupuka kusajiri tena dirisha lijaloSo What?
Unaona kuna mtoto hapo??.....Labda ya Man U mkuu ila hao watoto wote tunachakaza tu
Ukipata point 5 tu hapo ,wewe bingwaLabda ya Man U mkuu ila hao watoto wote tunachakaza tu
Huu mchezo hauhitaji hasiraSo What?
Mmefufuka tena baada ya zile draw 3 sijui 4Napita
Liva karibuni futuhi cup,
Msimu huu mnamliza 0 TROPHIES
NA UTAKUWA MSIMU WA MWISHO WA KLOOPView attachment 947298
Na wewe umefufuka baada ya niniMmefufuka tena baada ya zile draw 3 sijui 4
Umerudi tena kuendeleza utabiri wako wa maandazi ambao ulianza kuutabiri tangu mwezi August. September. October na sasa November na bado haujatimia.Na wewe umefufuka baada ya nini
Jumanne unashushwa moja kwa moja Europa,
Sawa ndugu yangu!Kwa mid tuliyonayo sasa hakuna cha kumkumbukia nacho hendo hata kimoja labda kwa nationality
Ni ratiba ngumu ukiweka na CL mechi mbili ngumu,mechi 10 siku 28From August mpaka November tumepita Salama!
Lakini hii ratiba ya December sio siri ina matches nyingi that is why naweza kuiita Ni Ratiba Ngumu.
December
√ 2 – Everton (H)
√ 5 – Burnley (A)
√ 8 – Bournemouth (A)
√ 16 – Manchester United (H)
√ 21 – Wolverhampton Wanderers (A)
√ 26 – Newcastle United (H)
√ 29 - Arsenal (H)
Yani Michezo 7 ndani ya Siku 28