Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiyo mwaka jana ulikua na wachezaji gani? taja vikosi ndo uwone kilicho semwa kina fanana au laa

Mwaka jana mechi 12 za kwanza!
3-3 na Watford
1-1 na Burnley
4-1 na Totenham
5-0 na Man City
0-0 Man U
1-1 Newcastle
Mechi 12 mwaka jana tulipoteza points 14
Mechi 12 mwaka huu tumepoteza points 6 tu tena kutoka kwa Man City,Chelsea na Arsenal

Lkn hapa inasemwa eti mwaka jana ndiyo tulicheza soka saafi sana na vi point vyetu 22,huwa nacheka sana

Mwaka huu tupo sawa sana,tuwe behind ya team tu nashauri,hata Pep anajua mwaka huu bingwa hadi mechi ya mwisho
 

Mhh haupo sahihi
G kaiva sana msimu huu
 

Team ambayo ilipoteza mwaka jana points hadi kwa trashiest Newcastle,Burnley na Watford ndiyo inaitwa nzuri lkn hii yenye kupiga zote trashiest ndiyo team mbaya!!
Mm kama kuna kosa huwa nakosoa kwa haki,nikosoe nn kwa team ambayo inanipa raha kila weekends!?
Under capacity ipi sasa kila almost kila game tunashinda?Over capacity ya mwaka jana ni ipi?Pasi nyingi na kuwa na points 10 fewer kuliko mwaka huu?
Hata mwaka jana CL tulihitaji kumfunga Moscow mechi ya mwisho kusonga mbele,tofauti na mwaka huu ni nn?
Hamna kitu kinaitwa undercapacity kutoka 9W na 3D kutoka kwa wakubwa wenzetu
Mwaka huu tupo sawa kupita maelezo,achana na mambo ya chenga twawala lkn Burnley anapata sare Anfield,Newcastle anaondoka na point!
Hivi Liverpool hii huyu trash Burnley anapata sare Anfield?
 
Trashiest team WBA ya akina Rondon inamsimamisha Liverpool mwaka jana home and away
Trashiest Everton ile ya akina Niasse na Bolassie ( siyo kama ya mwaka huu iliyo imarika)inanisimamisha home and away,striker wangu Solanke!
Lkn eti hiyo Liverpool inayo poteza points 4 na WBA ndiyo eti ilikuwa nzuri sana!
Tuache utani Liverpool huyu ni mzuri kupata kutokea ktk miaka ya karibuni
 

Liverpool ni yetu sote, na hatuwezi wote kupewa raha na kitu kimoja.

Kuna wanaopata raha kwa sababu ya points, kuna wanaopata raha kwa sababu ya uzuri wa jinsi timu inavyocheza.

Mourinho aliwahi kufukuzwa Chelsea (first stint) kwa sababu ya mchezo usiovutia, ingawa timu ilikuwa inashinda.

Wazungu wana msemo wao wa "utility is subjective".

So kama kile kinachonipa raha kwenye timu sikioni nina haki ya kuhoji na kulalamika.
 

Mourihno hajawahi fukuzwa kwa sababu ya soka baya bali alitaka kuishusha Chelsea daraja kwa kufungwa karibia kila game!
Kama Liverpool walikuwa wanacheza soka la kuvutia sana miaka ya kwanza ya Klopp ilikuaje inapoteza points kwa trashiest WBA,Swansea na akina Burnley tena hata Anfield?
Hii sasa ndiyo Liverpool,unajua kabisa hivi vitimu vinapigwa tu
 

√ Hii kauli ya Kuwa Klopp Anatunyamazisha Hukuanza kuisema Msimu huu, Hata Msimu Uliopita Liverpool ilipoingia Fainali ya CL ulisema maneno kama haya mwishowake ukaishia kumlalamikia Karius.
Lakini mpaka bado tunaongea sasa sijui anatufumba midomo kivipi!!

√ Na Jengine usilete mipasho hapa Bali Itafute hiyo Post na Uilete hapa Niliyosema KLOPP OUT au Niliyosema Klopp Ni Kocha Mbovu... Usilete Ngonjera Bali leta uthibitisho hapa...

Hivi Hiyo unayoiita Movement ya Klopp Out unaiyona wewe tu hapa kwenye huu Uzi? Manake wengine hatuioni wala hatujui kuwa Kuna Movement ya Klopp out!!!
Tokea Klopp aje Liverpool Basi Katika Uzi Huu Sijawahi Kuona Mshabiki Yoyote Kuandika Comment ya KLOPP OUT... Hata hawa Mashabiki waliomo humu wanaweza kuthibitisha hapa kama tuliwahi kusema Klopp out..

Hii Kauli ya KLOPP OUT mwanzilishia wake Ni wewe hapa na kila mtu analijha hilo..

Pale tunapomlalamikia Klopp wewe ndiyo unakuja na mipasho ya Kutwambia tunasema Klopp Out..

Hii habari ya Klopp Out sisi hatuitambui Bali Ni wewe ndiye unayoitambua.
 
Mbona mnarumbana sana wenyewe kwa wenyewe? Mpira wa miguu si uchawi unachzwa hadharani wapendwa
 

Kucheza final ya CL bado ni complimentary kwa Liverpool,tuli fail short tunarudi Anfield tunajipanga zaidi!
Klopp out movement mlianzisha ww na mwenzako anaye ‘jua soka kuliko Klopp’ kujaribu kum discredit King Klopp!
Lkn sasa anawanyamazisha kila weekends hamna point yyt ya maana ya kumshambulia zaidi ya mambo ya hovyo sasa eti hatuchezi soka na tunabahatisha,mechi 9W kwenu ndiyo kubahatisha.
Klopp kama Trump tu kwa sasa,jinsi mnavyo mshambulia ndiyo namba nzuri za kazi alizo tengeneza mwisho wa mwezi zinakuja kuwanyamazisha!
In Klopp we trust
 
Bets on Liverpool striker Daniel Sturridge's move to West Brom form part of FA probe.


Reds frontman hit by misconduct charge.

BY JAMES PEARCE
20:48, 12 NOV 2018

Wagers placed on Daniel Sturridge moving to West Brom on loan back in January are understood to form part of the Football Association's investigation into alleged breaches of betting rules.

The Liverpool striker has been hit with a misconduct charge and has until November 20 to respond.


Sturridge is adamant that he has “never gambled on football”, but even if that's proved to be true he could still be punished if the FA conclude that he passed on information for others to place bets.

He could be hit with a hefty fine and/or a suspension depending on the severity of the breach.


Neither Liverpool nor the FA have revealed the exact nature of the allegations but they have confirmed that they relate to January 2018.

The ECHO understands that on January 28 bookies received a flurry of bets on Sturridge joining the Baggies on loan.

At the time Inter Milan had been the favourites to sign him until the end of the season, but in the space of 24 hours Paddy Power slashed the odds on him going to West Brom from 66/1 to 5/2.


The following day Sturridge completed his move to struggling West Brom for a loan fee of £2million after snubbing interest from Newcastle United.

Sturridge endured an injury-ravaged spell in the Midlands which culminated in the Baggies being relegated from the top-flight.

He returned to Liverpool last summer and successfully forced his way back into Jurgen Klopp's plans. He has scored four goals in 12 appearances so far this term.
 
Eti King Klopp, King asiye na kombe!

Hahaha we jamaa inaonekana ni muumini mzuri sana wa kila umachokiamini na kukipenda.

Hii karama wengine hatukujaaliwa ndiyo maana akizingua tunamchana tu.
Hii ni ligi ya pili kufundisha,na alipo toka aliwanyamazisha Bayern
Nina imani EPL atainyamazisha tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…