Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Shaqiri in the last 6 games for Liverpool.
2 goals
3 assists
Lakini still atachezeshwa Lallana na Milner yeye abaki kwenye Bench awe mtazamaji
Shaqiri in the last 6 games for Liverpool.
2 goals
3 assists
Hahaha Ngwaba siku hizi umekuwa na hasira sana hasa kwa wale wachezaji wa JP na team yake ya Echo.Lakini still atachezeshwa Lallana na Milner yeye abaki kwenye Bench awe mtazamaji
una pointi nzuri sana maana wear n tear ya pressing huonekana kuanzia mzunguko wa pili...so far kinahitajika ni pointi 3 kila mechiresources tunazo mkuu tuta click tu come Jan/Feb.
ninaamini hii ni purposeful game plan ya coach - tactical approach yake imejikita kwenye ku shore up our defending, sasa hii kidogo inaathiri our offensive prowess.
najua fans tunataka full throttle but hakuna timu inaweza kufanya hii kitu full season.... lazima itafika mahala the wheels will start coming off. na hii hutokea kwenye title run-in phase (Feb - May).
nitarudia kusema hii kitu tena na tena.... niachokiamini mimi ni kuwa Klopp baada ya 2 seasons keshapata experience ya kutosha na keshajifunza demands za EPL. Klopp anajua kuna pressure (internal & external) kuwa lazima abebe EPL msimu huu. so focus yake iko hapo. nina uhakika full throttle itarejea kwenye business end of the season (March - May), sasa hivi ana conserve energy ya vijana wake.
believe!
Hahaha Ngwaba siku hizi umekuwa na hasira sana hasa kwa wale wachezaji wa JP na team yake ya Echo.
Tuombee ushindi tu kwa team yetu Kop.
YNWA
Ukweli ni kwamba as long as Pep yupo Man city basi hakuna timu nyengine yoyote itakayoweza kutwaa ubingwa w EPL.
Hii timu inabidi tuizoee tuu, kiwango cha uwanjani kipo chini sana..
Kila siku tunasema kesho watabadilika lakini wapi...
Kibonde kama Hichi Man City anakitandika 4+
Sisi mpaka tunavizia goli
Klopp is a great manager even with minimal signing budget he stil kind of finds way to play cool impressive football...he has been doing that since his days in Dortmond...Klopp piga kazi,mashabiki uchwara wanao mtukana kocha wao wenyewe ni wa kuwapuuza tu!
Sawa Klopp sio great manager lkn sisi tupo nyuma yake na tunashinda games!
2-0 haina ubaya wowote EPL
Hapa kuna watu wana dhani wanajua utawala wa soka kuliko hata Klopp wkt hawana lolote lile
Klopp is our manager,9 W kwa mara ya kwanza ktk historia kutoka ktk games 12
Leo kapiga kazi. Siku hazilinganiWe've been exposed by him several time..
Klopp is a great manager even with minimal signing budget he stil kind of finds way to play cool impressive football...he has been doing that since his days in Dortmond...
the real concern is we are scoring few hii haijazoeleka kwa Liverpool hii ya Klopp so some reds fan r concerned..binafsi i would rather win 1 nil and get th three points kuliko kutoka sare 4-4 etc...
Klopp is still the right man for this dugout...if he can sort his German pride and go for quality squad on @ match am positive a BIG TROPHY wont evade us this season...
VVD n Gomez he should maintain that growing solid partnership oops na Robertson...Trent i pass anachanganya haeleweki kwa sasa...n then kati kati Keita, Fabinho, Gini...front Salah, Firmino, Shaqir
Sijui umetumia vigezo gani?
Unaongea kama vile kila mwaka alio kaa EPL Pep alichukua ubingwa!
Mtamchukia Klopp lkn kaisha pata formula ya kuzifunga team ndogo na teams kubwa pia hazitufungi
Liverpool kwenye takwimu tupo sawa sana
mbona mimi sioni mantiki ya nyie kulumbana wakati timu ikifungwa wote mnakuwa kwenye majonzi,cha maana ni kuwa na degree of tolerance ktk maoni ya kila m1 as long as kila m1 wenu anataka timu ifanye vyema
Mwenzako hapo juu kaandika takataka kama Klopp sio meneja wa maana eti tulidanganywa!Hivi wewe hua unasoma tunachokiandika au unakimbilia Kutuquote tu?
Nani aliyekwambia tunamchukia Klopp?
Au wapi tuliposema hatumtaki Klopp?
Au unadhani Kukosoa baadhi ya Falsafa za Klopp ndiyo Kumchukia Klopp?
Acha utoto bhana! Ninauhakika Karibuni hapa utakuja kuandika Kuwa tumesema KLOPP OUT, pia utakuja kuandika kuwa tumesema KLOPP HAFAI...
Sisi tunakosoa baadhi ya Vitu vya Klopp ambavyo wakati mwengine yeye mwenyewe hukiri kuwa amekosea lakini hayo Mengine ni Mipasho yako bhana usitusingizie...
Mtu hapa tunaemtaja waziwazi kuwa tumemchukia ni JP (James Pearce) Wa Echo na Team Yake Yakina Ian Doyle lakini si Klopp kama unavyotaka kuwaaminisha watu.
Hapa Hata uone tunamkosoa Vipi Klopp basi hatuthubutu Kusema Klopp aondoke kwani Hatupo tayari aondoke ndani ya Timu manake tunajua alipotutoa.
Acha post za kimajungu hizo.