Worth to ready!
Sio zile takataka ndefu kutoka kwa wale wanaodhani wanajua soka management kuliko hata Klopp wkt hata team ya kijiji kwao Ikwiriri hawajawahi kupewa!
Captain Marvelous:
Klopp ni kocha mwenye ujuzi wa hali ya juu sana ktk soka,we re very luck to have him as our Manager
Shaqir HAWEZI kuwa ahead ya Milner kwa sababu Shaqir HAKABI wala hapigi tackles mzuri tu kwenye kushambulia!Unapocheza na team inayo shambulia lzm aanze Milner,unapo cheza na teams kama hizi Fulham ambazo unajua kabisa wata seat deep kujihami wasifungwe nyingi atacheza Shaqir
Unacheza na PSG au Totenham au Arsenal au Napoli au Man City ukimpanga Shaqir mechi imeisha tumefungwa!
Lkn wengi hapa wala haijulikani husuda kwa kocha anayetupa mambo ya maana kama Klopp wanaipata wapi!
Mm isha wapuuza kitambo