Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo Klopp kaamua kusikiliza maneno ya mashabiki. Hiyo midfield imekaa mahali pake changamoto tu ni kama wataelewana maana sidhani kama wamewahi kucheza pamoja.
Hivi Gini anacheza namba ngapi humo?
Ata sielewi
 
Yeye na Fabinho wanacheza same role kwenye DM kwa mfumo Wa 4-2-3-1
Sasa mbona Gini ameganda sana kulia nyma zaidi ya faby nionavyo Gini akipangwa juu team inacheza vyema?

Faby kapewa kazi kubwa badala ya Gini ambae ni mwenyeji hii imekaaje?
 
Leo Klopp kaamua kusikiliza maneno ya mashabiki. Hiyo midfield imekaa mahali pake changamoto tu ni kama wataelewana maana sidhani kama wamewahi kucheza pamoja.
kila jambo lina kianzio ngoja tuone mpaka mechi inaisha japo bado hawajawa compact ila sio mbaya sana
 
Fulham wananyimwa goli halali Liverpool wanacheza counter attack wanapata goli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom