We Need No. 10
Fulham wananyimwa goli halali Liverpool wanacheza counter attack wanapata goli
Sasa mbona Gini ameganda sana kulia nyma zaidi ya faby nionavyo Gini akipangwa juu team inacheza vyema?
Faby kapewa kazi kubwa badala ya Gini ambae ni mwenyeji hii imekaaje?
Naamini wachezaji tulionao ni wazuri sana tuKibonde kama Hichi Man City anakitandika 4+
Sisi mpaka tunavizia goli
Na alishafunga goli la offside pia sikutoa commentMane alinyimwa goal halali against Arsenal
but sikuona comment kama hii kutoka kwako.
Fulham wananyimwa goli halali Liverpool wanacheza counter attack wanapata goli
Na alishafunga goli la offside pia sikutoa comment
Kausha sasaNa alishafunga goli la offside pia sikutoa comment
Kwa maanaa hiyo kocha anaamua kudhoofisha tim kumlinda mchezaji kweli?Ndiyo DM wanapokuwa 2 mmoja kulia na mwengine kushoto, hata hivyo upande Wa Kulia TAA analeak sana ndiyomana Gini ameegemea zaidi kwa Msada.
Captain fantasticHenderson is on