Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pamoja na maneno mengi na mifano mingi lakini nakushauri uende darasa la hizi formations na applicability zake na jinsi makocha wanavyo switch from one formation to the next kama tactical approach ya game mfano 4-4-2 ukimtoa winger mmoja ukaingiza kiungo mmoja inageuka kuwa 4-5-1 a very simple example.
 

Klopp losing Buvac siyo ishu ndogo kabisa..

they have been together for more than 10 years, even Klopp said Buvac was handling 200 training drills whilst Klopp was handling only 100 drills, ni big loss to be honest.

si unakumbuka, Benitez pia was never the same baada ya kumpoteza Paco.

we just need to try something new now. and see if it will work.
 
Buvac is still listed as Asst. Coach kwa official site ya LFC. Is there any chance that he will not be leaving, kind of contract issues will be settled?
 

hamnaga hicho kitu..

4-5-1 haiendi bila wings, how umtoe winger kwenye 4-4-2 afu ugeuke kwenye 4-5-1 ambayo hai-work bila pacey wingers?

ukimtoa winger kwenye 4-4-2, unamaintain the same formation, but shape inaswitch kwenye "x-mass" tree/triangle shape

because kama umemtoa winger na kumuingiza, beki/forward/cm. winger anaebaki anakuwa anacheza kama inside forward, so team nzima inatumia middle path kupenetrate mipira..

and Shape haina "numbers' kama formations, bali unatumia "heat map" kujua shape ya team..

kocha anaweza akaanza na 433 but later akabadilisha kwenda 4-2-3-1 kulingana na wachezaji watakaongia..

at LFC, klopp atacheza 433, but akimtoa Lallana na kumuingiza Ox or Milner, atabadilsha shape ya "goals event" but siyo formation, but kama atacheza 433 na baadae kumuingiza Fabinho, it means aterevert back kwenye double-pivot hivyo itamfanya abadilishe mfumo mzima kuendana na pivot ya kwenye midfield and not just shape,

formations, zinapangwa kulingana na strength ya players, kuna players ambao technical side yao haiwaruhusu kabisa kucheza kwenye formations za 433/343/4-5-1/4-2-3-1 etc
 
Man, nimeona James Pearce akisema 'hes not coming back"
I read somewhere walikorofishana na Klopp juu ni alikuwa contacted na Arsenal juu ya possibilty ya kuchukua nafasi ya Wenger then hakumwambia Klopp chochote so Klopp akapata habari via contacts zake Dortmund ndio waka fall out.

Most people think that this is the reason why we are not at our level best since the fall out. They call Buvac 'The Brain' because of his tactical genius.
 

No. that is not the reason to be fair..

kama ingekuwa hiyo ndiyo reason asingerudi kwao Serbia, he is living with his mother in serbia now, far away from football.

i think, ni ishu za wachezaji, was told he was against na Emre can kuondoka, mambo yakaenda vibaya baada ya Klopp na FSG kukataa maombi ya Can kwenye mazungumzo ya Mkataba na kumruhusu aondoke for free.

that can be the reason, but nadhani ameshakuwa na disputes nyingi sana na Klopp over the years, as wamefanya kazi kwa muda mrefu sana, nadhani kuna kubwa zaidi ya hilo man.
 
Could be ila the truth is known may be only by him and Klopp. It's hard to believe how far they've come since their days at Mainz for their relationship to come to such a sudden halt.

Couldn't they agree to disagree?
 
Could be ila the truth is known may be only by him and Klopp. It's hard to believe how far they've come since their days at Mainz for their relationship to come to such a sudden halt.

Couldn't they agree to disagree?

Yeah, i guess ni ishu kubwa kidogo, and maybe Klopp refused to side with him,

maana, Buvac ni die hard LFC fan, and alikuwa ni mmoja ya watu aliyemconvince Klopp kuja LFC, sasa mpaka kufikia kuondoka 2 weeks kabla ya CL, ambapo Club yake anayoishabikia ilikuwa imefanikiwa kufika final baada ya miaka kumi.. inaonesha ishu ilikuwa ni kubwa kidogo..

besides, Klopp have changed a lot tangu aje LFC, i guess the pressure of managing the club of this size is getting to him, the only way to succeed kwenye Clubs kama Utd/LFC/Arsenal ni kufunga masikio kabisa, it seems Klopp anasikiliza sana critics. na anajaribu very hard kuwaprove wrong hence players kama kina Lallana bado tupo nao.

Nakumbuka nilisoma kwenye LFC echo kuwa Klopp alikuwa anajiandaa kumpa msimu mwingine Karius eti kwasababu alikuwa anapondwa sana, luckly, blunders za Karius kwenye pre-season zikamfumbua macho.

but, we have to agree kuwa Buvac was a big loss
 
Man U na Man City wameisha fuzu rund ya pili!
Liverpool itafuzu Paris
Kufungwa juzi na trash ni kichocheo kwao
 
Dah, ndio hamna namna tena. Na kama mambo ndio yalivyo ina maana kuna gap katika tachnical team? Ni nani atakuja kuziba pengo la Buvac?

Some fans want Klopp's head and are demanding Salah be sold before his value slumps. What's your take on this?
 
Dah, ndio hamna namna tena. Na kama mambo ndio yalivyo ina maana kuna gap katika tachnical team? Ni nani atakuja kuziba pengo la Buvac?

Some fans want Klopp's head and are demanding Salah be sold before his value slumps. What's your take on this?
Dont get twisted
Liverpool dont need Buvac to succeed
We are very OK
Points kama Klopp kafungwa na kocha muuza duka ni trash ya mwaka
Iceland walimtoa Uingereza wakiwa na kocha muongoza ndege
Carlo Ancelot mshahara wake anawalipa wachezaji wote wa Belgrade LKN hakupata matokeo mazuri ugenini
Labda wengi walikuwa wadogo,Belgrade walichukua CL wakiwa na wachezaji wote local
In Klopp we trust,CL sweet 16 tunaenda,hata mwaka jana tulitegemea tushinde game ya mwisho twende mbele!
 
Dah, ndio hamna namna tena. Na kama mambo ndio yalivyo ina maana kuna gap katika tachnical team? Ni nani atakuja kuziba pengo la Buvac?

Some fans want Klopp's head and are demanding Salah be sold before his value slumps. What's your take on this?

Pep Lijnders ndiye aliyeziba pengo la Buvac...

People want Klopp head? to be honest with the series of bad performance and now results za hivi karibuni, wont be surprised if that is true, but tupo kwenye bad patch now ambayo inarekebishika, me ni mmoja kati ya over-reactionary fans but honestly team yetu bado inahitaji some spares ili kukaa vizuri, as i said in my recent posts i'm very fine na our league positions/finishes so far, but we need tp build more on cups for now, In my honest opinion i still think Klopp is the right man for the job, he's bit stubborn but the good thing is he's improving our squad kila summer..

I mean, whats wrong with Salah, if anything he is the only player who tries so hard upfront now, Mane and Firmino are the one struggling a lot. Salah is playing very good, the problem is ameset his bar too high baada ya msimu wa last season, will be hard to replicate his last season form (because he is not Messi or Cr7), but i am sure he will hit 20+. Salah is fine and good. and only a fool can agree to sell him man
 
I didn't say i was buying all that crap from the haters. My point is, kama Buvac alikuwepo na akaondoka na mpaka saizi nafasi yake haijazibwa ina maana mos def kuna pengo!

Sijasema kuwa Klopp hafai, no and as for now sioni kama kuna kocha anaweza kuja LFC kufanya kitu kikubwa zaidi ya anachofanya Klopp.

Kwa upande wangu mimi nadhani tinahitaji kufanya massive clear out next window (winter or summer) tutoe frails kwenye squad yetu angalau tusajili wachezaji wanaojielewa.
 
Dah, ndio hamna namna tena. Na kama mambo ndio yalivyo ina maana kuna gap katika tachnical team? Ni nani atakuja kuziba pengo la Buvac?

Some fans want Klopp's head and are demanding Salah be sold before his value slumps. What's your take on this?
Mkuu Buvac hana lolote,alikuwa mzigo tu
Ona mechi ZA KWANZA 11 za EPL wakati wa BUVAC na mechi 11 tulizocheza bila Buvac
Watford 3-3
Man City 5-0
Burnlye 1-1 Anfield
Newcastle 1-1
Man U 0-0
Totenham 4-1
Tulipoteza points 14 mechi 11 za kwanza za EPL wkt huyu Buvac yupo
Mwaka huu ktk mechi 11 tumepoteza points 6 tu tena kwa Arsenal,Man City na Chelsea
Mwaka jana Buvac trashiest kama Burnrly,Newcastle,Watford walitufunga
Wakubwa wenzetu wawili walitufunga
Tupo sawa mno na tuwe tunaangalia kwanza data kabla hatujaandika!
 
Red Star win against us, was their first win in Champions league competition after 26 years..

and not just win, they outplayed us..

and here you have got a grown man, hyping them up..

Might aswell hype Nottingham forest for winning the CL tukiwa bado "wadogo"
 

you' are wasting your precious time buddy.
 
Liverpool ilikuwa inatoka sare na Newcastle,Burnley Anfield
Liverpoo walikuwa wanatoka sare na Watford
Lkn sasa hivi vitimu wala sina wasi wasi
Ona atakacho fanywa Fulham Juma[ili
Klopp katengeneza team
 
Kumbe Pepjin baada ya kurejea alibadilishiwa role!

Hizo habari nimesoma jana kwenye 'daily star' ila ata hivyo niliona habari nyingi walizoandika kuhusu LFC ni negative tu hakuna ya kuje. Mara 'Mo Salah is unhappy at LFC'.. Man alot of crap up there. [emoji23]
 
Sawa,Mungu-Mtu wako Ancelotti alishinda Serbia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…