Hao unaowaponda ndio waliwafikisha fainali msimu uliopitaMwanangu viungo Gini, Milner, Hendo hadhi yao wote kutokea Sub sasa kocha wetu ye lazima Gini awepo, na lazima kati ya Hendo au Milner awepo. Watu kama Lallana, Hendo ni wa kuuzwa. Kocha muoga anawaogopa waingereza
Uliyestahili upo wapi?hakuna aliyenizuia ..wakati ukifika nitakuwepo. Wewe hukustahili kuwepo, upo tu kimazabe..!!
Tukifungwa ndiyo tatizo la team selection
Tukishinda Klopp is genius
Jamani hata Pep alifungwa CL tena kwake tena trash Lyon
Kufungwa kawaida mbona ktk soka?
Liverpool haijatolewa
Hao unaowaponda ndio waliwafikisha fainali msimu uliopita
Wewe acha ubishi msimu huu team haichezi vizuriTukifungwa ndiyo tatizo la team selection
Tukishinda Klopp is genius
Jamani hata Pep alifungwa CL tena kwake tena trash Lyon
Kufungwa kawaida mbona ktk soka?
Liverpool haijatolewa
Sijui nani aliwaponza hawa wazee wa majogoo.. Ila na wewe kwa vigodoro tu huna mpinzaniHao usiwaonee huruma.
Wasumbufu sana
Acha uongo. Katika kikosi cha leo ni Lallana labda na Sturridge ndio hawakucheza mechi na Arsenal. Kubali kufungwa tuHatukatai kufungwa ndugu...but Lallana ahead of Keita kweli???
Matip ahead of Gomez?
Weka Fabinho number sita peleka Keita hapo juu. Klopp aache kuwaogopa waingereza bana, they are trash.
Tukifungwa ndiyo tatizo la team selection
Tukishinda Klopp is genius
Jamani hata Pep alifungwa CL tena kwake tena trash Lyon
Kufungwa kawaida mbona ktk soka?
Liverpool haijatolewa
Hahhahahhahahaa eti hata kama marehemu alikuwa na mdomo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Alikuwa anajiona bingwa, unbeatable[emoji23][emoji23][emoji23].
Ngoja niingie mie kuchambua Mchele..
Mkusanya rambi rambi ameshapatikana??[emoji23]
Hao unaowaponda ndio waliwafikisha fainali msimu uliopita
Klap kauza game!Kwa kilichofanyika leo, naweza kusema game tactic ya Jergün ilikuwa kutaka kufungwa
Huwez kumchezesha Matip, mchezaj ambae ana muda mrefu hachez na yupo kweny kiwango duni...then unamwacha Levron/Gomez
Huwez kumchezesh Lallana ukamwacha Keita/Fabihno
Alafu cha kushangaza zaidi, unamuingiza Orig!!! Kweli!?
Hii game kocha alidhamiria tufungwe, walahi
Sawa lakini baadae kidogo Msiba utaamia kwakoJogoo kapigwa na kifaranga[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na ww si ulicheza na conte? Mliishia hatua ip?Wewe subiri kesho tuna amishia msiba kwako.
Nyie Liverpool na Man u mmebaki majina tu ..Uefa uko mnaenda kuihaibisha England...
Anajidai kamsahau as romaSasa baba wewe ambaye uiabishi si uwepo basi ukapambane. Kuna aliyekuzuia kutokuwepo huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alijiamini sana...tembo kauwawa na sisimizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo mkuu,kina Damushin Yodoki II Darmian na The Great Emanuel ni waaminifu,hawatokula rambirambi zitawasaidia wafiwa.
Msiba mzito huu,marehemu pamoja na tambo zake za kupiga mtaa mzima leo anakufa kwa kupaliwa na wali kweli?
Jogoo kapigwa na kifaranga[emoji23][emoji23][emoji23]