Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,600
Inabidi tuwe na kikosi chenye ushindani kwenye 1st eleven na bench sio kuwa na wachezaji wanaocheza ili mradi wamecheza... leo sitamani kumuona Lallana au Milner ndani tutaharibuHapo usijeshangaa Ukamkuta Lallana Kaanza, na yule Mbilikimo Xhaqiri yupo juu anawarm bench.
Milner huharibu nini?Inabidi tuwe na kikosi chenye ushindani kwenye 1st eleven na bench sio kuwa na wachezaji wanaocheza ili mradi wamecheza... leo sitamani kumuona Lallana au Milner ndani tutaharibu
sounds so cool...that is pure classLeague goals conceded since Virgil van Dijk made his league debut for LFC :
Real Madrid - 44 (!!!!)
Barcelona - 32
ManUtd - 30
Bayern - 27
ManCity - 17
Juventus - 16
Atletico - 14
Liverpool - 14
hachezi ndogo...Dogo Mateo Guendouzzi alikula kadi nyekundu jana kwenye Carabao, so will he be playing versus LFC this Saturday?
hachezi ndogo...
Inabidi tuwe na kikosi chenye ushindani kwenye 1st eleven na bench sio kuwa na wachezaji wanaocheza ili mradi wamecheza... leo sitamani kumuona Lallana au Milner ndani tutaharibu
waliosubiri zaidi ya miaka 40 mbona mlikaa kimya au unaona ni Liverpool tu..sisi hutawala EPl ni jadi yetu sio mafanikio ya muda mfupi mfupi kama jmaa fulani waliosubiri wallet ya mrusi, na mwarabu n.k..Mara ya mwisho Liverpool kuchukua Epl ilikua 1990 takribani miaka 28 sasa umri wa mtu mzima
Steven Gerald aliondoka mikono mitupu
Bado mashabiki wa liver wanaishi kwenye ndoto kuwa ipo siku watachukua ubingwa, endeleeni kuishi kwenye hizo ndoto millele hata Gerald na yeye alikua na ndoto kama zenu.
Mtasuffer sana, mtababaika sana lakini Epl hamchukui ng'ooo
ana kadi huyo kinda Manywele game ya leo amefungiwaHachezi ndogo kivipi? Sijakuelewa bado
ana kadi huyo kinda Manywele game ya leo amefungiwa
Kwa James Milner umepotoka mkuu
Kwa sasa Milner yuko form hatari sana
Xhaka game ya Crystal alicheza beki wa kushoto leo sijui watamchezesha wapi...kazi wanayo maana wana majeruhi lukuki...Sherehe kwangu maana washakuwa forced kuwachezesha Xhaka na Toreira ambao ni average midfielders, tutapeta tu pale kati mkata umeme wa maana hamna
Sawa Mimi nimepita hapa Arsenal nawasalimu ndugu nitarudi tena baada ya mechi kuja kuwapongeza na Asante kwa kutufundisha MpiraSherehe kwangu maana washakuwa forced kuwachezesha Xhaka na Toreira ambao ni average midfielders, tutapeta tu pale kati mkata umeme wa maana hamna
chelsea tena walisubiri 50 ndio Murinyo 2005 kuja kubeba ubingwa...Man utd walisubiri 26yrs nao kujakubeba 1992....asa unatucheka sie wakati tupo kwenye right track...waliosubiri zaidi ya miaka 40 mbona mlikaa kimya au unaona ni Liverpool tu..sisi hutawala EPl ni jadi yetu sio mafanikio ya muda mfupi mfupi kama jmaa fulani waliosubiri wallet ya mrusi, na mwarabu n.k..
Kwa James Milner umepotoka mkuu
Kwa sasa Milner yuko form hatari sana
Milner huharibu nini?
Xhaka game ya Crystal alicheza beki wa kushoto leo sijui watamchezesha wapi...kazi wanayo maana wana majeruhi lukuki...
Waje tu..hii game ni ya kushinda maana japo walishinda mechi zao zote defence yai ni shindaa, front 3 wakitulia leo ushindi
Mkuu Milner anao uwezo wa kukaba na si kumiliki mpira. Tafuta top Class midfielder ambae hawezi kumiliki mpira! Tunae Fabinho pale ambae anaweza kucheza mpira hata akiwa anakabwa na watu wengi na anaweza kumiliki mpira
Nashukuru mkuu umenielewa tusifurahie tu cleansheet tujitahidi kuangalia pia mpinzani wetu kwenye mbio ya ubingwa yupoje!
Mpaka sasa man city kama sikosei anagoli 27 so tunahitaji viungo ambao watakuwa flexible yaani Gini Fab na Xhaqiri hawa watu wamejitosheleza kabisa
Leo anaenda kati kukipiga na torreira,then kushoto.....Xhaka game ya Crystal alicheza beki wa kushoto leo sijui watamchezesha wapi...kazi wanayo maana wana majeruhi lukuki...
Waje tu..hii game ni ya kushinda maana japo walishinda mechi zao zote defence yai ni shindaa, front 3 wakitulia leo ushindi