Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Msimu uliopita katika mechi 8 tulikuwa na point 13 na Goal difference 1na tulikuwa nafasi ya 8
Manchester city alikuwa na point 22 na Goli difference 25 nafasi ya 1
Still bado naiamini timu yangu .
Race inaendelea.
 
DISSAPOINTED!! na midfield yetu!!

Last year tulkua tunapambana na defence.. sasa hivi imekuwa solid tumehamia kwenye attacking force imekua lost kabisa
 
Gini is a very good player ila sipend anavochezeshwa as a Holding mid... its better arudi kwenye original role yake ya number 10
 
Halafu kuna headless chicken anaitwa Lallana huyu mtu naye akipona ndiyo atakua favourite substitution ya Mr Hitler!!!

I don’t get it kwanini mipira yetu nowadays imepooza.. no more attacking football, no more pressing au ndo ilkua game plan ya klopp!?? hii kitu imekua sana since ile game na PSG!! idk why!!!
 
kuhusu playing style yetu kwa sasa, mimi nashauri tuwe patient until December. I mean as long as tunaendelea kuwa kwenye title race pale juu.

huwa si kawaida timu za Klopp kutumia pragmatic approach lakini I have a feeling baada ya miaka yake hii 3 ndani ya EPL, Klopp amepata uzoefu baada ya kusoma physical demand ya EPL na hivyo kuamua ku conserve energy ya timu kwa ajili ya title race run-in kuanzia huko January.

nakumbuka miaka ile ya Fergie (I dislike the guy but i respect him in equal measure)...... Manure walikuwa wakianza kwa kusuasua hadi fans wanaanza kumtolea maneno ya kifidhuli Fergie, lakini gia zilikuwa zinaanza kubadilika kuanzia January au February hadi kubeba ndoo za EPL.

so let's give Klopp benefit of the doubt until December and we'll take it from there.
 
It’s funny how Guardiola and Klopp have spent years coaching their respective clubs and spending 300m+ only to be level on points with Chelsea. Shows what an elite talent can bring to a club. Eden Hazard levels the playing field.
 
King! Hakuna penetration passes, hakuna through balls,hakuna long balls, hakuna one two na hakuna counter attacks.
Forward wetu ni sprinters ( mbio kasi)
Mid field wakipata mipira hawapeleki penetrations hata kama opponents hawapo tunapiga pasi fupi tena square. Huwezi kufika golini na kuscore.
Mwl ninavyoona amechange rythim. Hata Keita, ukabaji wake wa kutumia nguvu umebadilika,dribleling kuelekea golini kwa adui kumepungua.
Naomba uangalie clips za keita, za nyuma utaona tofauti.
 

Kama nimekuelewa vyema, unapendekeza ile mid iwe; Keita - Fabinho - Wijnaldum?
 
To be Honest: Sijawahi Kumpongeza Henderson lakini Leo Kwa Mara Ya Kwanza Ninampongeza Kawa Outstanding.

Yaani second half yote nilikuwa busy namuangalia Henderson, akiwa na mpira na asipokuwa na mpira. Hand gestures zake asipokuwa na mpira...SIKUONA hitilafu yoyote kwake.

Kwa position aliyokuwa anacheza pasi za pembeni na nyuma haziepukiki, ila pia alipiga pasi za mbele za kutosha tu, tena zilizofika.

Nitamuangalia tena mechi nyingine. Sometimes huwa nahisi watu wanamchukia kwa kuwa ni Muingereza tu.
 
Last para ninakubaliana nawe. Gomes na VVD ni pair nzuri mnoo. Gomes anakaba na vvd ana clear. Lovren sio makini sana kwenye blocking kama gomes.
Nadhani klop ni muoga wa mechi.Hawapi vijana freedom ya kuuchezea mpira. Anataka too much football discipline.
 
Spurs vs Liva - Win
Chelsea vs Liva - Draw
Liva vs Man City - Draw


Ni Improvement Kubwa Sana Hapo Tuliyoifanya.

Subiri Wewe Ucheze Games 3 ngumu kama Hizo Halafu Tuje tuangalie Matokeo Yako.
King jinsi tunavyocheza ndioinatia shaka.matokeo sio issue
 


Kocha nguli na mwenye mafanikio Zaidi ligi kuu ya Uingereza Sir Alex Ferguson alipata kuandika kwenye kitabu chake kuwa Jordan Henderson sio mchezaji wa mpira
 
Labda upo sawa.

Kwa wewe Keita na Hendo wewe unampanga nani?
 
Kocha nguli na mwenye mafanikio Zaidi ligi kuu ya Uingereza Sir Alex Ferguson alipata kuandika kwenye kitabu chake kuwa Jordan Henderson sio mchezaji wa mpira
Nimeuliza ikiwa anataka ushindi atampanga nani kati ya Keita na Hendo nasubir jibu lake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…