Mkuu unajua umeongea maneno makali sana??? Hasa hapo paragraph ya pili.To be Honest: Sijawahi Kumpongeza Henderson lakini Leo Kwa Mara Ya Kwanza Ninampongeza Kawa Outstanding.
But: Sijawahi Kutamka hili lakini Leo Ninatamka Rasmi Kuwa Sina imani na hii Timu Kuwa inawezashinda Chochote Kupitia Watu Hawa Mane-Salah-Firmino ambao hawawezi Kuscore Hata Kwa Wake Zao achiliambali Uwanjani.
Sio Ninalaumu tu! Bali Kinachonipa Mashaka Ni Kuwa Klopp Hata Akiona Game Plan haifanyi Kazi Hawezi Kubadili Plan B.
Leo Ni Obviously Salah Kafeli Kwa Asilimia 100% kwanini Asichange Plan?
Hatimae Kenda Kubadili Beki ambayo ipo Stable Combi ya VVD na Gomez.
salah kasheza mipira mingi sana na kafanyiwa faul nyingi tu kwa mtazamo wangu leo firminho na mane ndio wamechemkaSio Ninalaumu tu! Bali Kinachonipa Mashaka Ni Kuwa Klopp Hata Akiona Game Plan haifanyi Kazi Hawezi Kubadili Plan B.
Leo Ni Obviously Salah Kafeli Kwa Asilimia 100% kwanini Asichange Plan?
Hatimae Kenda Kubadili Beki ambayo ipo Stable Combi ya VVD na Gomez.
Chelsea vs Arsenal -WinSpurs vs Liva - Win
Chelsea vs Liva - Draw
Liva vs Man City - Draw
Ni Improvement Kubwa Sana Hapo Tuliyoifanya.
Subiri Wewe Ucheze Games 3 ngumu kama Hizo Halafu Tuje tuangalie Matokeo Yako.
mimi sijui ila unachojua wewe ndicho sahihi..... happy now?Unajua maana ya kudominate wewe au unaongea kufurahisha jukwaa?
salah kasheza mipira mingi sana na kafanyiwa faul nyingi tu kwa mtazamo wangu leo firminho na mane ndio wamechemka
ule mwenzi wengi waliodhani tutaanza kugawa pointi tumeumaliza vizuri..Leo mpo kiulinzi zaidi na kufungwa mtafungwa ingawa kiushabiki naombea draw ya 0 - 0
tofauti ya mane na salah na firmino ni kuwa mane anakaba sana kuwazidi hao,na kama ukiangalia mpira vizuri sababu ya kuzingua kwake ni anachoka sana.Firmino mnamuonea tu, Salah ndie alikalia magoli yetu leo. Kuna chance moja kipa alikuwa hayupo golini Salah akapiga wide kabisa!
Uliposemea kwa Mane jamani kweli Mane akae tu benchi ajitafakari kiasi kwamba Pedro sasa hivi anafanya kazi inayoonekana kuliko Mane. Willian, Sane,Sterling, Pedro na hata Mahrez !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Basi tu Mungu anajua! Maana useme kwamba atawasaidia Forward wenzie hata hicho kitu hamna ! Daah!
tofauti ya mane na salah na firmino ni kuwa mane anakaba sana kuwazidi hao,na kama ukiangalia mpira vizuri sababu ya kuzingua kwake ni anachoka sana.
jamani tunawalaumu sana forwad line yetu ya mane salah na firmino lakini ukweli upo wazi wa kulaumiwa ni klop mwenyewe ameshindwa kuwapanga hawa watu.forwad hazipati mipira muda mwingi wana kuwa wanakaba wakifika mbele wamechoka.
klopa akifanikiwa kuwapanga hawa vizuri waka match basi foorwad zitafunga magoli.matatizo yanaaza hapa keita ni kama nacheza position ambayo siyo yake pili chemistry ya keita na herndson ni zero haziendani kabisa.
chemistry ya hawa watu haipo vizuri ndio maana tunaona akina mane ,salah na firmino wanazunguka kama pia
View attachment 890078
mimi sijui ila unachojua wewe ndicho sahihi..... happy now?