Mimi Nimejiridhisha Kabisa Kwa 100% Kuwa Timu yetu ipo vizuri sana! Ila Ni Matatizo Yanayotatulika Ya Kiufundi tu Ndiyo Yanayotupa Changamoto ambayo Ni:-
1.) Upangaji Wa Kikosi Kwa Baadhi Ya Mechi. (Linarekebishika Klopp akiamua)
2.) Kuchelewa Kufanya Subs Kwani Sub ya dakika 87 au Zaidi Ni Vigumu Kuleta Mabadiliko. (Linarekebishika Klopp akiamua)
3.) Kuingiza na Kutoa Mtu asiyekuwa Sahihi Wakati Wa Kufanya Sub. (Linarekebishika Klopp akiamua)
4.) Kujenga imani mpaka Leo Kuwa Front three yetu Ni tishio wakati Ukweli usiofichika Ni Kwamba sasahivi Fab3 yetu Ni Toothless Tiger. (Linarekebishika)
5) Kumuachia Mo Salah acheze Kwa Dakika Zote 90 wakati inaonekana Wazi Kuwa Msimu huu Ni Msimu mbaya Kwake. (Linarekebishika Klopp Akiamua).
My Take: Mechi na Man City Guardiola ndiye anayejua Liverpool Wanakuaje Wakikutana Na Top 6 Hata Kama Liverpool itakuwa Katika Kipindi Kigumu.
Kwahiyo Man City asije akayawaza ya Napoli Kuwa Ndiyo atayapata na Yeye.
Ajiandae Kisaikolojia.