Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Keita has not lived to our expectations, Fabinho sijui kwa nini mpaka leo (jana kacheza dakika chache sana), Salah is a shelf of himself, Mane is just doing B.S, Firmino anajitahidi lakini sioni kama ana link nzuri kwa sababu wenzake wa kusaidiana nao wamechoka.
Mane anapokea pass, anakaa nao akitaka kupiga chenga chenga watu wanachukua, na anazidi kirudia rudia makosa hayo hayo, Salah hata lango la goli halioni liliko, au anapigia pasi golikipa.
Kocha awaweke benchi Salah na Mane, otherwise game zitaanza kuwa draw muda si mrefu.
Halafu sub za dakika ya 75 kuendelea huwa siyo za kutafuta matokeo, ni za kulinda ushindi. Sasa mtu kama Sturridge, game kadhaa kaonekana kuliona lango vizuri unamleta dakika ya 86/87!
Ili aje kufanya nini?
Katika Kufanya Sabs Mimi Klopp Simlalamikii tena Kwasababu Nimeshajiridhisha Kuwa Weakness Kubwa Ya Klopp Ni Kufanya Substitution Kwa Wachezaji....
So, Hapo Klopp ndoyo ulipo udhaifu wake Wa Kiufundi Kwani Anashindwa Kujua Amtoe nani, Amuingize nani, Na Kwa Wakati gani...
Kwamfano Jana Aliyestahiki Kutolewa Ni Salah na Aingie Sturridge baada tu ya 2nd half kuanza.
Na Vilevile Subs ya Keita haikuwa ya Hendo Bali Ni wazi Kuwa Alikuwa Aingie Fabinho.
Na Baadae Alikuwa Amtoe Firmino ambaye Kwa Jana Hakuwa na Mchezo Mziri.
Tujipange Kwa Next game
Kwa upande wa Liverpool naona kabisa pale mbele kila striker anataka kufunga inafika mahala wanaanza kunyimana pass .. Hii itawatafuna sana,msimu uliopita walicheza kwa ushirikiano mkubwaLiverpool FC imekumbwa na upepo wa wachezaji kuwa kwenye viwango vibovu, toka ligi imeanza, na kupelekea timu kupata matokeo ya kibahati bahati.
Kwa mfano, kuna kauli za:-
1. Cha muhimu tumepata point 3
2. Tungecheza vizuri tungepata hata magoli 4
3. We are winning ugly, etc.
Hapo kunaonesha kuna tatizo kubwa, toka msimu umeanza, ni game ya PSG peke yake nimeona Liverpool ikicheza mchezo ambao kwangu ni A+ rated, game ya Tottenham ilikuwa B+ (it could have resulted into a draw had referee offered that penalty, we had a chance to seal the game before and we didn't).
Game tuliyo draw na Chelsea fowardline zilikuwa usingizini, na lile goli la Sturridge ilikuwa ni uwezo binafsi, siyo game plan, game ilikuwa inapotea bila goli.
Liverpool tulitegemea kipindi hiki ambapo defence iko sold tuwe na margin nzuri ya magoli lakini katikati ni kubovu, mbele ni kubovu.
Epl haifananishwi banah ni ligi bora aisehhh sio mpaka nikuoneshe, angalia nafasi ya kwanza timu mbili zinagongana kwa point ambacho kinawatofautisha ni magoli, timu zina spirit mpaka ni ngumu kutabili ushindi sio timu kubwa sio timu ndogo,ukienda seria A juventus anaongoza ligi na kamuacha napoli kwa point 6Mkuu samahani huo ubora zaidi wa EPL unatoka wapi? Na unaupimaje?
Hahahaaaa.. Sijawahi shuhudia matusi makali namna hii.Wasiwasi wako tu kumsema marehemu si vizuri tusubir 40 zipite mwili bado haujaoza.
Wasiwasi wako tu kumsema marehemu si vizuri tusubir 40 zipite mwili bado haujaoza.
Huu unafiki ni wa kwenu kwa sababu wenzako ndio wamesema timu ni mbovu lakini mlipokuwa mnashinda 4 eti timu imekamilika.Tofautisheni Kati ya Timu Mbovu na Kucheza Vibaya...
Hatukusema Timu Mbovu! Bali Tumesema Tumecheza Vibaya Zaidi ya Vibaya..
Bado Tunaimani na Timu Yetu Kuwa na Nzuri na Ni ya Ushindani.
Nahisi Huu Unafiki Unawarudia Nyinyi Wenyewe.
OVER my dead body!Hahahaha This is October
Unaambiwa usitukane mamba kabla hujavuka mto!
Muda sio mrefu sana; Unaweza jikuta kwenye gemu za alhamisi ...
Team sio mbovuHuu unafiki ni wa kwenu kwa sababu wenzako ndio wamesema timu ni mbovu lakini mlipokuwa mnashinda 4 eti timu imekamilika.
Man City kwangu hawezi nifungaSawa sawa...ila angalia husije ukalalia 5 bila Kama last season
Vile vile hawa vijana wamecheza mechi ngumu back to back nneLeo game ilitukataa na Napoli japo wamepata golibdakika za mwisho ila walistahili kushinda hata 3-0.
Kusema ukweli leo hatujacheza mpira kabisa na kidogo ubora wa beki na kipa umesaidia tukafungwa angalau moja. Ingekuwa beki ya Lovren na Matip tungefungwa hata 4-0.
Napoli wamestahili point 3 kwakuwa walizitafuta tokea mwanzo. Sisi tumestahili kufungwa kwakuwa leo hatukuweza kucheza na kutengeneza nafasi kama siku nyingine.
Natumaini mwalimu ameyaona mapungufu ya team leo na atajipanga mechi ijayo.
You'll Never Walk Alone.
hii umeipata wapi maana nakumbuka Napoli kuna moja waligonga mwamba...
Klopp need to find a plan B.......... Pamoja na kuwa na strong Bench nje still bado Klopp anashindwa kulitumiaMoja kati sifa za kocha mzuri ni pamoja na kujua who and when to substitute a player , naona kwa hili Klopp bado anakosea sana. Ukiachilia mbali kutofunga pia mchango wa Salah kwenye timu ni mdogo sana .Next match vs City tutaona kama Klopp anajifunza kutokana na makosa