Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na Sab ya Stirridge haikupaswa Kufanyika dakika ya 87 kwani Ni Vigumu Kuleta Impact moja kwa moja.

Alipaswa Kuingia dakika ya 75 kuchukua Nafasi ya Mo Salah.

Sturridge alitakiwa aingie dk ya 50 tu, Salah akae bench ajitathmini upya. Maamuzi mabovu ya Klopp, na mchezo mbaya especially kiungo na the front three ndiyo vimetuuwa leo.
Tulikuwa hovyo sana!
 
Ila me naona kama wachezaji wamechoka sana hasa hawa wa mbele mechi kubwa nyingi rotation inakua ngumu kwa kocha na team imetengenezwa kumtegemea salah moto wa mwaka jana au ule wa psg haka ka Napoli kalikua kanakufa siyo chini ya3
 
Je wajua David Ospina Kipa wa SSC Napoli kapiga pasi nyingi kuliko Salah, Fermino na Allison Bakari ukijumlisha..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tuimbe Wote Napoli Huendi Mbinguni[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Ila ukweli ndio huo huendi mbinguni, [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Yan huo ndo ukweli huendi mbinguni [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Dah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Sio kweli mkuu. Tumeangalia mechi mkuu
 
Mmeyapata magoli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…