Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Brother Sasahivi Tumeshacheza Seven Games EPL and One game UCL lakini Mpaka sasa No sing of change at all katika Forward Line Yetu (Muexclude Firmino)... Nahisi Huu Ni Wakati Sasa Wa Klopp Kutafuta New Face katika attacking Kutoa Challenge.
Dean05. Kitu unachotakiwa kutwmbua kwenye mpira ni kwamba mpira ubadilika kila sekunde kila dakika. Kipindi Cha kwanza Chelsea wamecheza vizuri wakapata goli la kuongoza. Kipindi Cha pili liver wamecheza vizuri atimaye wamesawazisha. So kwangu Mimi husiseme sariball haijafanikiwa....ndani ya dakika tisini 90 uwanjani huwa Kuna kushinda ama kudrow ama kuloose pia.Ok tumekubali, lakin hatujapoteza game zote 2,
and Sarriball haijafanikiwa leo
Hahaha Hii comment wanapita kama hawaioni vile...Ollachuga ili hawalioni kabisa na kamwe hawataliona.
Wanajifanya watabiri wa mpira unazani wao ndiyo wanaocheza uwanjani. Mwisho wa siku wanatembea kichwa chiniHahaha Hii comment wanapita kama hawaioni vile...
Lakini kusoma haikwepeki.
One more game kwenu imebaki.Ok tumekubali, lakin hatujapoteza game zote 2,
and Sarriball haijafanikiwa leo
Hahaha wanaongozwa na "mahaba" zaidi mpka wanajisahau mkuu...Wanajifanya watabiri wa mpira unazani wao ndiyo wanaocheza uwanjani. Mwisho wa siku wanatembea kichwa chini
Hahaha wanaongozwa na "mahaba" zaidi mpka wanajisahau mkuu...Wanajifanya watabiri wa mpira unazani wao ndiyo wanaocheza uwanjani. Mwisho wa siku wanatembea kichwa chini
Kuna muda nimehisi hik i kikosi kilichomaliza game kipate games kadhaa za kuanza EPL tuone itavyokuwa.
Yaani Salah akae benchi nafasi ya Shaqir, Mane anaweza kubaki ila wapishane na Sturridge, Firmino acheze 10 Sturridge awe 9.
Keita anastahili kuwa regular player.
Nadhani Klopp anajua soka menejimenti zadi yetu kaka
Tumheshimu
1-1 kakaUliona jinsi kiungo chetu kilivyothibitishiwa kuwa ni takataka mbele ya kiungo cha Chelsea?
Dakika mbiliMkuu Nakuomba Kitu Kimoja! ili kubalance hii post Yako unaweza Ukanicalculetia Kuwa imemchukua Muda gani Kwa Sturridge Kufunga goli?
I thought you had 100% winning percentage before today's game, bitter loserWillian kakosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Hazard katukosa la wazi sana kacheza kipa wetu
Mane kakos ala wazi sana dakika ya 57 kacheza kipa wao
Shaqir kakosa kuunganisha tu dakika ya 70
Boby kakosa la wazi sana dakika ya 73 kaokoa Luizi kwenye mstari
Liverpool tulistahili kushinda
Maneno ya Hazard baada ya mechi kuwa wapo very close kufikia quality ya Liverpool na Man City ni kweli!
Dakika mbili
Kaingai dakika ya 86 kafunga ya 88