Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umechambua vzr sn lkn kuna kitu kimoja ambacho Pellegrin alikifanya dhidi Ya Chelsea ambacho wewe haujakigusia kabisa.

Ktk game Ya Chelsea na wagonga nyundo, kile kitu walichofanya Hammers ni kuhakikisha mipira haifiki Kwa Giroud. Walikata passes zote na kuhakikisha Giroud hachezi mipira ambayo Kwa mfumo wa Sarri Giroud ndio huwatengenezea kina Hazard Move pamoja na Willian na kiungo mshambuliaji wa kati. Giroud mpk anapumzishwa aligusa mpira mara 24 na mara zote ilikua mgagade mgagade kitu ambacho alishindwa kuwachezesha wenzake.


Ikabidi Morata aingie. Km Unakumbuka Hazard na Willian wakatanua wakawa wanatumia Cross, nayo hiyo mipira ikawa mizuri na kuleta matumaini ya kupata goli lkn muda ulikua umekwisha. Ata hivyo pamoja na hiyo mipira ya Korosi na kutumia wingers bado hammers walikua wabishi kutoka ndani ya Box lao na walikua wanakata mipira yote iliyokua inaingia humo ndani Ya box.


Sasa mkitaka kufanikiwa kuwapoteza Chelsea ktk hili, labda mcheze deep Ndani ya boxi yenu kitu ambacho ni kz sn kucheza Kwa dk90.

Jana Klopp amelia na mfumo au mpira wanaocheza siku hizi Chelsea, mpira wa ku dominate. Na alisema mara zote walipojaribu kukaa na mpira haikua rahisi. Waliupoteza na Chelsea kuwaletea matatizo.

Mtazamo wangu, Liverpool inapaswa jumamosi ili kukabiliana na Chelsea vzr. Swala si kumuangalia Hazard. Inatakiwa Team work ya nguvu na high pressing. Muanze kuikaba Chelsea juu kabisa ktk eneo lao na kuhakikisha mnatibua mipango yote ya Chelsea. Na wakati huo huo viuongo wenu na mabeki wenu wawe makini sn na counter attacks maana mkionekana mko juu sn basi Kante na Hazard na Willian hawa watakua na kz moja tu ya kuwashambulia Kwa kasi sn Kwa usaidizi WA ustadi wa mpiga pass mzuri Jorghinho.

Liverpool ingelikua na Oxlander mzima na Wijnaldum hapo kati ningesema hawa watu watawaokoa.

Lkn ni bora kumchezesha Wijnaldum hapo kati na Miller wanaweza kuwasaidia sn kuliko kamanda Henderson.


Ukitaka kuidhibiti Chelsea, ikabie juu kabisa na uhakikishe Kante na Jorghino hawapati utulivu kabisa.
 
Klopp amemkasirikia Shaqiri na sio Mignolet, ni dhahiri aliyeenda tofauti na mwalimu ni Shaqiri mchezaji aliyesajiliwa kwa mbembwe nyingi huku wengine tukikosa usingiuzi kwa ajili ya makelele ya Klopp

Cc: Malafyale King Ngwaba

Halafu Mimi Sipendi Mtu aniQuote Kwa Mawazo Ya Wengine. Mimi post zangu Nazihakikishia Kuziandika Kwa Mawazo Yangu Mwenyewe Bila Ya Kufuata Mawazo Ya Mtu mwengine na Ndiyomana Hunikuti Kunadia Mechi Kuwa Lazima Tutashinda, Wala Hunikuti Kutangaza Kubeba Kombe lolote Kwani siamini Ramli Katika Mpira Bali Naamini Ushindi Baada Ya Dakika 90 na Kombe Mwisho as Ligi.

Kwahiyo UnapoQuote Watu Wanaojisifia Ni Bora Usinishirikishe.
 
Jumamosi itakuwa Ni Siku Ngumu Kwa Upande Wa Mashabiki Wa Upande Mmoja ambao Mimi binafsi Sijaujua Ni Upi.

Kwani Hii Mechi Kwa Matokeo Yoyote Yale Haitamwacha Mtu Salama.

√ Timu itakayofungwa itakosa amani na Washabiki wake.

√ Mechi ikiishia Sare Timu ya Nyumbani itakosa amani na Washabiki Wake Kwa Disadvantage ya Kukosa Points 3 uwanja Wa Nyumbani.

Ni Kizaazaa tu Siku hiyo.
 
hawa chelshit ni kuwapiga 3 tu, watutolee kelele zao hapa, wamejazana hapa kishenzi utadhani wamechukua Kombe
 
ila mkumbuke kila team ina priority yake!
Carabao was not our priority!
kilichoniuma Jana ni Liverpool kufungwa nyumbani kwa Mara ya kwanza tokea mwaka huu uanze
Liverpool hata haina priority msimu Huu sio Carabao tu hata matumaini ya kutwaa FA au EPL hayapo kabisa kwa Liverpool
 
Ni mashabiki wachache Kama wew wenye uelewa wa Mpira. Upo tofauti na rafiki yako malafyale.

Ni wachache Sana wanaotambua kuwa mpira uchezwa uwanjani na si mdomoni. Ni wachache Sana wanaotambua kuwa mpira ni dakika tisini 90. Ni wachache Sana wanaotambua kuwa mpira ubafikika uwanjani.

Jaribuni kuelewa hayo kabla hamjaja na utabiri wenu feki. Pia mtambue kuwa mpira unapoanza kila pande uonesha umahiri wa kufunga na kushinda lakini nguvu zipolingana pande ingine utumia weakness ya mwenzake na kuamua ushindi.
 
Ila kumfokea mchezaji kwenye public ni afadhali kwenye press conference. Unajua media pote duniani wameelezeaje hilo tukio, vibaya sana. Je unajua kama Shaqiri anapenda hiyo attack ambayo itamshushia hadhi yake kwenye career yake na dhamani yake kama mchezaji? Je unajua negative multiply effect yake kwenye synergy ya team?. Usimsifie Klopp, pamona na uzuri wake, juzi kaboa
 
Acheni kujibishana na washabiki wa kijitimu kidogo kama chelsea, level ya LIVERPOOL ni REAL MADRID, MAN U,JUVENTUS,BARCELONA .hivi vichelsea wachieni leicester na notengham forest ndio wanalingana mafanikio yao.
We hayo mafanikio ya timu yako si umeyaonea youtube utafananisha na mimj niliyeshuhudia at the moment.? [emoji3][emoji3]
 
Nakujibu kama ifuatavyo.

Yawezekana ni kweli hatukua na mchezaji tishio ila atleast wachezaji wa kikosi cha pili cha Chelsea walionyesha uhai na ubora kuliko wa Liverpool.

Ni kweli ile mechi iliamuliwa na uwezo binafsi wa Hazard lakini hii si sababu pekee ya ushindi wetu. Sababu kuu ya kwanza ya ushindi ni kumiliki mpira, tambua kabla hata ya Hazard kuingia tayari tulikua tunamiliki mpira vizuri na kwa asilimia kubwa ila mistake iliyokuwepo na inatu ccst karibia mechi zote ni safu ya ushambuliaji so don't get twisted you will only focus on Hazard. Game plan inabadilika.

Hata Sarri na Zola sidhani kama watakua hawatumbui kwamba mnaweza kumkamia Hazard. Game ni ngumu, ni kama game ya kisasi. Lakini siku zote unapotaka kulipiza kisasi unashauriwa chimba makaburi mawili kwa sababu huwezi jua unapoenda mpinzani wako amejipangaje.

Cant wait this sato. #bridge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…