Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mkuu we acha tu. Yaani watu wanapoona hawana uwezo wa kupata vitu vya msingi (trophies) wanapenda kujivunia virekodi vidogo vidogo
Kwa Kiswahili hapa ndiyo umesema nini mkuu.
Asante kwa tafsiri mkuu.Kwa Moyo Wangu Wote Ninaipongeza (Chelsea) Kwa Kushinda Kombe Linaloitwa "Kumfunga Liverpool Ndani Ya Anfield 2018"
Hivi keita atacheza/ataanza Jumamosi?
Hakuna Uhakika Huo Kwani Midfielders Walio na Uhakika Wa Kuanza Ni Gini na Milner tu! Keita na Henderson hawa Hawana Uhakika Yupi Ataanza kati yao.
Kwa nini mnamuonea Moreno?????
Mpaka Hazard anamfikia Moreno ni wachezaji wangapi alikuwa amewapita?
Mbona hamumsemi Firmino aliyepigwa tobo na badala ya kuendelea kukaba akabaki hivyo hivyo????
Kwamba angekuwa Robertson angefanya nini kama cover yake imepitwa? Anzeni kumsema firmino kabla ya Moreno. Heri hata Keita aliendelea kukaba mpaka shuti la mwisho.
I just think he is being unfairly blamed.Moreno Halaumiwi Kwa goli tu! Bali analaumiwa Kwa Performance Yake Kwa Ujumla Kuwa Upande Wake ulikuwa Ni accident waiting to happen.
Pia Kosa la Mwanzo halihalalishi la Pili.
Maneno ya mkosaji [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa Moyo Wangu Wote Ninaipongeza (Chelsea) Kwa Kushinda Kombe Linaloitwa "Kumfunga Liverpool Ndani Ya Anfield 2018"
Maneno ya mkosaji [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sarriball or Sarrismo. Tunawasubiri jumamosi.
Sikuwa na lengo ovu.Sijajua Lengo la Post Yako lakini Hicho Ni Kikosi Chetu Cha Kwanza
Washabiki Wa Chelsea Wamejenga Kambi Hapa Kwa Kututoa Kwenye Mickey Mouse Cup lakini wkumbuke Kuwa their happiness will survive Kwa short period of time. Coz at the Weekend no one know what will happen!!!
Hazard ana deserv kabisa kua man of the matchHivi hiki ni kikosi cha pili cha Liverpool kweliView attachment 879113
mkuu wamehamia mazima sipati picha baada ya dakika 90+ mechi ya Jmosi kama nawaona vileeeWashabiki Wa Chelsea Wamejenga Kambi Hapa Kwa Kututoa Kwenye Mickey Mouse Cup lakini wkumbuke Kuwa their happiness will survive Kwa short period of time. Coz at the Weekend no one know what will happen!!!
mkuu wamehamia mazima sipati picha baada ya dakika 90+ mechi ya Jmosi kama nawaona vileee
Kinachonishangaza humu ndani wengi wenu bila kujalisha umri hamjawai kushuhudia Liverpool akichukua epl 5 ukizingatia miaka 80's Tanzania yetu hata TV hazikufika 50 nchi nzima, mshabiki wa chelsea 2004 hadi sasa anayo furaha kuliko mshabiki wa liver Tanzania kuanzia mwaka 1977 ,acheni mbwembwe wakati ubingwa wa liver umeuona you tube, mfano king Ngwaba niambie umeshuhudia epl ngapi liver akichukua kwa umri wako,tuache epl je makombe unayoyaita Mickey Mouse cup umeshuhudia mangapi liver kachukua ,Landa niwapongeze kufurahi na mafanikio ya Liverpool You tube. Ruksa kutoa povu