Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Jana reaction ya klopp kwa Shaqir sikuipenda,maana huwezi onesha hisia mbele ya public alitakiwa afanye yale akiwa ndaniMimi Hii Ndiyo Kawaida Yangu Huwa Ninapofungwa Sina excuse Bali Nina accept kwa kilichotokea Uwanjani.
• Huwa kama Kuna tatizo la Kiuwamuzi (Bad referee decision) Basi siachi Kuelezea tatizo hilo... Lakini Kwa Jana sijaliona Tatizo hilo.
Mi mtu akisema liverpool anashinda ubingwa huwa namuangalia sana kama yupo timamu kocha mwaka wa nne hata carabao hawezi kupigania kocha wa chelsea kaja juzi tu anakufumua liverpool mnajivunia mpira wa spidi basi makombe hapa msahau
Jana reaction ya klopp kwa Shaqir sikuipenda,maana huwezi onesha hisia mbele ya public alitakiwa afanye yale akiwa ndani
Nakumbuka alifanya kwa Benteke pale mlipofungwa na Soton..Mane alivyofabya come Back 3:2 ,klopp alimwakia uwanjani Benteke mbele ya camera
Hili unalionaje,kocha wenu pamoja na uzuri wake hana mshipa wa uvumilivi
Kuna mshabiki wa liverpool nilimwambia hata game ya spurs walishinda kwa bahati tu vile michenga ya dembele ikawapa ushindi lakin wakikutana na timu ipo makini ana hali mbaya sana hawa
Watu hawamzungumzii kabsaa sturridge sijui kwa nini mtu akifunga tu haonekani makosa yake?that Sturridge miss!
that Mignolet error for the first goal!
...what might have been.
anyways, Saturday someone is going to seriously suffer!
Hiki usemacho kuhusu upande wa kushoto angekwepo Milner kwa uzoefu wake na yeyw angehamia upandehuo kutoa msaada Henderson alitakiwa afanye hii kazi team ni kusaidiana.Kabla Ya Kuanza Msimu Nilikuwa na Mashaka Sana Na Depth ya Timu Yetu Kwa Upande Wa Kikosi B lakini Nilijaribu Kujiconvince nijiaminishe Kuwa Tuna Kikosi Kizuri Cha Hakiba..
But Jana Nimeconfirm Kuwa Kikosi Tulichonacho Ni Kimoja tu Cha First XI, Kwa Kikosi B nilichokiona Jana Ni Sturridge na Xhaqiri tu Walioonesha Uhai Kuwa Ni Wachezaji Wa Akiba na Kuongeza Depth.
Clyne pia akipata Game time ya Kutosha Ni Depth Nzuri tu.
Moreno Hata Kuwa Mshabiki Wa Liverpool Hafai. Ni Miongoni Mwa Wachezaji Ambao Wanaidhalilisha Jezi Ya Liverpool.
Kwani Jana Mwanzo Mwisho Chelsea Walishambulia Upande Wake Baada Ya Sarri Kugundua Kuwa Weakness Ya Liverpool Ni Upande Wa Kushoto Kwa Moreno.
Na Ndiyomana Hazard Alipoona Upande Wa Kulia Wa Liverpool Kidogo Kumekaza basi Fasta Akashift Upande Wetu Wa Kushoto Na Kwenda Kumpinduapindua Moreno na Kufunga goli.
Hata Hivyo Mickey Mouse Cup nimekuwa Nikiidharau Siku Zote ingawa hili has nothing to do kwa Kufungwa Kwetu.
Walio cheza ninwetu pia hii haiwezi kuwa sababu tukubali tumetolewa tayarJamani msiwe na wasiwasi
Wachezaji walio anza leo ni wawili tu ama watatu ndiyo wataanza Jumamosi
Liverpool hafungwi na Chelsea EPL
Msiwe na wasi wasi,hata jana Dan alikuwa anaimaliza ile mechi mapema kabisa
Ajabu hata Sturridge haonekani makosa yake kisa lile goli jamaa mbovu sana nje ya 18 Henderson team ikizidiwa hana msaada wowote zaidi ya kunyoosha vidole tuKwa nini mnamuonea Moreno?????
Mpaka Hazard anamfikia Moreno ni wachezaji wangapi alikuwa amewapita?
Mbona hamumsemi Firmino aliyepigwa tobo na badala ya kuendelea kukaba akabaki hivyo hivyo????
Kwamba angekuwa Robertson angefanya nini kama cover yake imepitwa? Anzeni kumsema firmino kabla ya Moreno. Heri hata Keita aliendelea kukaba mpaka shuti la mwisho.
Hakuna kujifariji bado tuna pambana tumecheza na wachache bado sana LigiMnajifariji na LIGI subirini
My whole heartily congratulation for winning a tittle goes by a name, " Defeating Liverpool at Anfield in 2018"THIS IS CHELSEA
What a pride, what a feeling being a #Chelsea fan.
Liverpool had not lost a match at Anfield since January 2018 and other short stories.
Good morning haters( Chelsea fans in denial)
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]that Sturridge miss!
that Mignolet error for the first goal!
...what might have been.
anyways, Saturday someone is going to seriously suffer!
Mkuu kwan sisi tumechezesha kikosi gani.? Achana nao hao wanatafuta kwa kupumuliaMane, milner, Henderson, Keita, wanacheza kikosi Cha pili?
Nothing New Kwasisi Kushinda Pale. Past is like memory. Mbona unajipinga mwenyewePast is Like Memory! Tusiwe Watumwa Wa Last Night, Tufocus Next game like Nothing happened Last Night... We Need More Concentration Kwenye Preparation ya Next Game Coz Wao Wamekuwa Overconfident Kwa Result ya Jana Wakiamini Kuwa Wamemaliza kazi Hata Kwa Next Game Jambo Ambalo Kwa Anaejua Mpira Basi Anaona Wazi Kuwa Hakuna Relation yoyote Between Last and Next game.
Let us suprise them pale Darajani Coz Nothing New Kwasisi Kushinda Pale.