Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ukitaka kujua liverpool ni ya kawaida sana na wachezaji wa kawaida angalia kikosi cha wanaume 11 waliopigiwa kura
Hata kisalah wamekichinjia baharini
Sasa kama messi ni bora kuliko salah ilikuaje kwenye tatu bora akaingia salah
Sasa kama messi ni bora kuliko salah ilikuaje kwenye tatu bora akaingia salah
Umeandika kwa kupanic mkuu[emoji3] [emoji3]Liverpool Ni Timu Ya Kawaida Kweli na Wachezaji Wake Ni Wa Kawaida lakini Siku Kama Ya Leo Wiki iliyopita imemfunga Huyo aliyetoa Mwanamme Katika Hao Wanaume 11.
Na Msimu uliopita Kwenye EPL na Kwenye CL imemaliza juu ya Timu yako iliyotoa Wanaume Wawili Katika Hao 11.
Na Msimu Huu Pia tupo juu yako.
Kwa ukawaida Huu Basi Ni neema Kwetu wala hautukeri.
Wakati Puskas inapigiwa kura na mashabiki je unajua wabobezi waliochagua hiyo FIFA XI?
Nani ni mbobezi kati ya fans na waliochagua FIFA XI?narudia tena ukiamua kulaumu usiwe wa vuguvugu na kuchagua makosa ni vema ukayasema yote wapo wanaolalama kwa nini kipa bora hayupo kwenye FIFA XI ila kila mpenda soka anajua ukitamka neno goalkeeper kwa sasa unamaanisha De Gea ni sawa na wewe unalalama Salah kutokuwepo kwenye FIFA XI ila umeshangilia yeye kubeba Puskás award ningeelewa kama ungesema mashabiki wamekosea kumpigia kura kama ambavyo wale wamekosea kutomuweka Salah bora kabisa wa msimu uliopita kwenye FIFA XI tofauti na hapo tunaleta mahaba tu.
Umeandika kwa kupanic mkuu[emoji3] [emoji3]
James Milner ametoa Maoni Kuhusu Hili na Kusema Kuwa Lile halikushinda Kuwa Ni Goli bora la FIFA Bali FIFA wamempa Kuzima Mijadala na Maswali Mengi Kwa Wadau Wa Soka Baada Ya Kutomueka Kwenye Kikosi Bora cha FIFA.
Akaendelea Kusema Kuwa Wamekurupuka Kiasi ya Kukosea Hata Goli la Kuchagua Katika Hayo Magoli ya Salah Halina Ubora Hata Mbele Ya Magoli Yake Mengine aliyofunga Achiliambali Kwa Dunia Kwa Ujumla.
Mfano Mdogo goli Aliloifunga Roma Kwenye CL pale Anfield lilikuwa Bora Zaidi kuliko hilo walilolibuni FIFA.
James Milner ametoa Maoni Kuhusu Hili na Kusema Kuwa Lile halikushinda Kuwa Ni Goli bora la FIFA Bali FIFA wamempa Kuzima Mijadala na Maswali Mengi Kwa Wadau Wa Soka Baada Ya Kutomueka Kwenye Kikosi Bora cha FIFA.
Akaendelea Kusema Kuwa Wamekurupuka Kiasi ya Kukosea Hata Goli la Kuchagua Katika Hayo Magoli ya Salah Halina Ubora Hata Mbele Ya Magoli Yake Mengine aliyofunga Achiliambali Kwa Dunia Kwa Ujumla.
Mfano Mdogo goli Aliloifunga Roma Kwenye CL pale Anfield lilikuwa Bora Zaidi kuliko hilo walilolibuni FIFA.
Haha shaqiri hafai yule jamaaSawa. Nikiangalia mechi nyingi za Shakir huwa anafanya woodwork ( kupiga makross makali ambayo mabeki hujifunga, direct kicks, nknk)
Ni kweli shakir nadra kutoa last passes.
Tatizo hajacheza muda mrefu halafu alikuwa majeruhi hakufaa kuwemo Ilibidi awe Dani carvajalYaani Dani Alaves ndio beki mbili bora kuliko wote? Kwa kigezo gani? Labda yule Dani wa enzi za Barcelona
I conquer with you on this broskieSalah kuwepo kwenye FIFA XI ilikua hakuna mjadala amekua na msimu bora sana amevunja rekodi na kuweka za kwake na ukirudi Afrika bado amesimama kama yeye kwenye awards zote ni mwendawazimu atakaekubali kuona Salah yuko nje ya kikosi kile na hakika wamo wachezaji kadhaa hata haijulikani wamefikaje.
Walichofanya FIFA ni kumnyang'anya Salah kile kikubwa na kumpoza na kidogo kuzima aibu,binafsi naendelea kuamini Salah alitakiwa awe sehemu ya FIFA XI bila kipingamizi kwa heshima ya soka na bado naendelea kusisitiza wamejichanganya kwenye Puskás award na mimi naamini kuwemo FIFA XI kitu ambacho anastahili kungempa faraja zaidi kuliko walichompa ivo naungana na Milner kwenye hili.
Sasa wewe ulitakaje?Yaani Dani Alaves ndio beki mbili bora kuliko wote? Kwa kigezo gani? Labda yule Dani wa enzi za Barcelona
Liver fan unaiwaza sana Chelsea.Mkuu Ollachuga taratibu mafuta na maji taka yanaanza kutengana
Zari ball
Kwa mawazo yako unataka kutuaminisha kuwa EPL sasa imekuwa kama la liga au France league one ..kwamba timu mbili tu ndo zinazowania ubigwa na zingine ni zinashiriki tu..Lkn msimu huu bingwa hadi mechi ya mwisho!
Sioni popte kati ya Liverpool vs Man City wa kumuacha mwenzake points 20+ kama msimu uliopita!
Tumeweza mno kufukia gap lote
Ligi ngumu msimu huu ni Liverpool na Man City!
Sarri amesema inamuhitaji mwaka kufika liverpool walipo hili hujaona?"Liverpool not ready to win the 'title'.." David Moyes.
Sarri anawapumbaza tu..Sarri amesema inamuhitaji mwaka kufika liverpool walipo hili hujaona?
Sarri anawapumbaza tu..