Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,591
- 81,571
Mkuu nadhani mngewaacha wabwabwaje tu humu mitandaoni sisi tumalize kazi uwanjani.Sijui mashabiki wengi wapinzani wa lfc wanatoa wapi ujasiri wa kusema,. Liverpoolfc miaka yote wako ivi ivi.
Niwashauri wakaangalie stats za liverpoolfc misimu 10 nyuma kwa mechi 6 pekee,. alafu waje wazungumze kua tunaanzaga hivi hivi tu.
We have a complete different start of the season over after 25+ years...
YNWA
nice one esp hapo kwenye average possession na bado pointi tumepata za kutosha so far....ile heavy metal ya Klopp kwa sasa haija applied ila ubao wa pointi unasoma poaaaa...YNWALiverpool FC 2018/19 Stats
Goals
• Sadio Mane - 4
• Roberto Firmino - 3
• Mohamed Salah - 3
• James Milner - 2
• Daniel Sturridge - 2
• Joel Matip - 1
• Georginio Wijnaldum - 1
• Own goal - 1
Assists
• Andy Robertson - 3
• Roberto Firmino - 2
• James Milner - 2
• Mohamed Salah - 2
• Trent Alexander-Arnold - 1
• Virgil van Dijk - 1
• Georginio Wijnaldum - 1
General
• Games Played: 6
• Average Possession: 58%
• Duels Won: 48%
• Aerial duels won: 42.6%
• Offsides: 16
Source: www.Liverpoolfc.com
kumkosa Lukaku kuliwaumiza sana...Malafyale uko sahihi sana ubingwa msimu huu ni kati LFC na Man City!
Chelsea tupilia uko na sababu ya msingi ambayo inaifanya Chelsea isiwe cotenders ni kua so far Chelsea haina top striker ambaye atakua anacheka na nyavu muda! ingawa Chelsea imekamilika idara zote ila hawana top striker! hii kitu hata Sarri mwenyewe anajua tatizo LA team yake!
wamekua wana muover work sana Hazard siku akipata majeruhi utakuja waurumia Chelsea,
sasa misimu ipi hio unaosema tupo hivi hivi, weka fact sio kuadika bila evidence...naona draw ya jana imeanza kuwachanganya....YNWANasemaaa..mko hivihivi misimu yote.
sasa misimu ipi hio unaosema tupo hivi hivi, weka fact sio kuadika bila evidence...naona draw ya jana imeanza kuwachanganya....YNWA
Mkuu, hao wamemsahauje Shaqiri hapo kwenye assists?!Liverpool FC 2018/19 Stats
Goals
• Sadio Mane - 4
• Roberto Firmino - 3
• Mohamed Salah - 3
• James Milner - 2
• Daniel Sturridge - 2
• Joel Matip - 1
• Georginio Wijnaldum - 1
• Own goal - 1
Assists
• Andy Robertson - 3
• Roberto Firmino - 2
• James Milner - 2
• Mohamed Salah - 2
• Trent Alexander-Arnold - 1
• Virgil van Dijk - 1
• Georginio Wijnaldum - 1
General
• Games Played: 6
• Average Possession: 58%
• Duels Won: 48%
• Aerial duels won: 42.6%
• Offsides: 16
Source: www.Liverpoolfc.com
Juzi tu kapiga assist 2 first half na kupata mabao mawili.Mkuu, hao wamemsahauje Shaqiri hapo kwenye assists?!
Na mimi sijaelewa hapa tafadhari usikiapo ujumbe huu King NgwabaJuzi tu kapiga assist 2 first half na kupata mabao mawili.
kwa "chuki" zao kwa kweli ni ngumu kuwatofautisha ila mpaka tunafika katikati ya ligi hapa hutawasikia tena watakua wanachungulia na kutoka mbio maana kila wakitabiri ooh leo mnafungwo sis haoo ushindi....Kadri siku zinavyosogea nashindwa kutofautisha alichoandika Mentor, eden kimario na Ollachuga Oc.
Nahisi kama wanapokezana kuja kucoment hapa kwenye huu uzi.
Hii FiFA XI ni kituko tupu wala haina reflection to reality
Yani Courtois hayupo ambaye ndie kipa bora ila De gea ambaye hata ktk 3 bora hakuwepo kuwania tuzo kaingia,Dani alves ambaye hajafanya la maana na alikuwa majeruh kaingia mbele ya Carvjal,Kimmich [emoji23][emoji23] a disgrace,Mo Salah ambaye kafunga goli nying sana last season na kuwa ktk 3 bora ya Uefa naye hayupo [emoji23][emoji23][emoji23]
Disgrace