Kitu cha kawaida hicho Mkuu, Tanzania hii ukimuuliza mtu yeyote unashabikia timu gani Belgium atakwambia Genk, By the way why Genk?
Kuhusu issue ya Mane wadau tusikwepeshe ukweli , Mtu mweusi mwenzetu na muaAfrika mwenzetu Sadio nimemuona mara nyingi tu akiwa anamyima Mo Salah key passes, na hii nimemshuhudia toka msimu uliopita. Tuassess ni key passes ngapi ambazo Mo Salah anazipeleka kwa Sadio and then the same kwa huyo Mane!
From our front three I believe Sadio akiamua kutoa assists hamna ataemfikia and perhaps EPL! Jamaa anao uwezo mkubwa kwa kutoboa ukuta wa beki akapiga side passes za kutap-in na wakamalizia Salah Na Bobby and anyone around!
Kwenye ile chance aliyompasia Keita akamiss ukicheki ni kuwa mara ya kwanza wakati anagaze ampasie nani wa kwanza alimuona Salah ila kijana akampa MuAfrika magharibi mwenzie
Nadhani huwa inapendeza zaidi kumkosoa mchezaji baada ya kutazama kwa kina his technical side and stats,
kwa upande wangu sijawahi kuridhishwa na kiwango cha Henderson/Lovren and Lallana na huwa natumia their technical side of footie and stats to back my arguments and hata siku moja hivi vitu viwili havijawahi kuniprove wrong kuhusu hao wachezaji.
2 years ago, nilikuwa ni mmoja kati ya mkosoaji mkubwa wa Milner, but his development and desire ya kucheza mpira vimenifanya nibadilishe mtazamo wangu, because hata nikitaka kumkosoa, his technical side of footie and stats vitaniprove wrong kwa kiasi kikubwa sana.
every professional footballer on planet can make a "KEY PASS", but it takes a special footballer kuwa na uwezo wa kumake "FINAL PASSES" consistently.
Key passes ni passes ambazo zinapelekea shots on goal, but final passes ni passes ambazo zinazalisha goal (Assists),
Tukizungumzia suala la Passes uwanjani, Stats zinasema kuwa kwa msimu huu peke yake, Salah ni mchezaji wa tatu aliyepokea passes nyingi sana kutoka kwa Mane (ukiachana na Robertson na Milner ambao wote wanaoperate kutokea kushoto pamoja na Mane), Mane amepenetrate pass za uhakika zaidi ya 16 kwa Salah tangu msimu uanze, na amepenetrate pass chache za kwa Firmino tangu msimu uanze, so ukiangalia utagundua kuwa Mane anamchezesha zaidi Salah kuliko Bobby, so kwa Logic hiyo tunatakiwa tuseme kuwa Mane ni mchoyo kwa Bobby?
Again, Bobby amepenetrate passes za kuhakika si chini ya 16 kwa MANE, while amepenetrate passes zaidi ya 23 kwa Salah, so kwa logic hiyo tuseme kuwa Bobby nae ni mchoyo kwa Mane kwasababu amepiga pass nyingi nzuri kwa Salah?
mfano mdogo ni huu hapa; kwenye game dhidi ya Leicester, Salah hakufanikiwa kupenetrate pass yeyote ya uhakika kwa Mane, so kwa logic hiyo tuseme kuwa Salah nae ni mchoyo? yes alifail kucheza pass ya uhakika hata moja kwa Mane, but stats zinaonesha tangu msimu uanze Salah amepenyeza passes 20 kwa Mane. so kama tungetumia tu game ya Leicester si tungejiridhisha kuwa Salah ni selfish na anamuonea wivu Mane?
Soccer ni technical sport, ndiyo maana kuna Coaches, mchezajia anafundishwa jinsi ya kuoiga pass, muda wa kupiga pass, muda wa kutokupiga pass, na kikubwa anafundishwa anticipation ya pass anayotoa, hupigi pass for the sake ya kupiga pass, passes kwenye mpira ni mahesabu, every pass kwenye pitch huwa inacount. kupoteza pass moja tu kunaweza kukasababisha madhara makubwa sana golini kwako. pass ndiyo the main source of build-up, ukiharibu mtiririko wa pass unakuwa umeua build-up yote.
nimezungumzia Mane's weakness kwenye final decision, nikimaanisha maamuzi ya mwisho unapokuwa na opponent CBs or Gk kwenye eneo lao, ambapo kuna matatu either kujaribu kudribble past Cbs or Gk and Shoot, make a line-brekiing pass kwa your fellow attacker, and the last option ni kushoot. Mane alishindwa kufanya maamuzi ya haraka ya kutoa a line-breaking pass kwa Salah, kwasababu he thought Keita was open pia, in short alikuwa na watu wawili ambao alikuwa anadhani wote wapo open, so akatoa pass upande ambao ilikuwa ni rahisi zaidi yeye kupiga kulingana na stance ya mguu wake, he didnt ignore Salah, he just wanted to make it easier for himself kumpasia mtu aliyeko hatua moja kutoka kwake ili apige tu short pass kuliko kujaribu a line-breaking pass (again Mane is not Messi, ambaye kwenye situation kama ile angeamua tu kudribble past those CBs na kufunga easily).
Mane misjudged the weight of his pass na ndiyo maana Klopp huwa anataka awe anapiga golini kwenye situation kama ile, ni kosa la kimchezo ambalo hata Salah amefanya mara nyingi tu last season.
Kama Mane angekuwa mchoyo kwa Salah, Salah asingefunga goals 44 last season, Firmino himself asingeweza kumfanya Salah afunge goals 44 bila Mane.
Misri fans, Salah fanboys and Top reds abused Mane, mpaka kwenda zaidi kwenye racial abuses three days before PSG game, but Mane came out against PSG and produced a complete performance for the team. watu wanasahau sana, this dude gave us and Klopp Top Four in his first season at LFC.