Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona hii kazi ya kumchinja nyani tumeachiwa sisi CHELSEA na tunawaahidi HATUTOWAANGUSHA.
mtapata taabu sana msimu huu maana hii Liverpool inawashangaza wengi hivyo nyie jipeni kazi ya kuizima ila hamtaweza....kwa sasa wewe pambana na kombe la Alhamisi la mchangani, Liverpool sio saizi yako tafadhali....wewe kawaambia Arseno ambao mpo wote Dondoo Cup
 
Mkuu Milner kwa sasa wanamuita (P4P) "Pound for Pound" player kwamba any game anywhere yeye ana deliver age notswithstanding...
 
Ushindi wenyewe wa dakika za majeruhi,tena nyumbani... Liverpool akifika Paris atapigwa kipigo cha mbwa koko
ushindi ni ushindi hayo ya dakika za majeruhi hayatuhusu....
si mlisema twafungwo mechi ya jana imekua tena tutafungwo kwao....haya watabiri hewa na utabiri butu kabisa mtaumia sana Kundi anaongoza Liverpool mpaka sasa
 
Duh hii wiki hatutoongea asee

-kwa mala ya kwanza liver ameifunga timu kubwa duniani.
 
Duh hii wiki hatutoongea asee

-kwa mala ya kwanza liver ameifunga timu kubwa duniani.
Nyie mnaoibeza Liverpool kwel mpo vema kichwan inabid mpimwe IQ zenu ni timu gan kubwa Liverpool hajawah kuzifunga .. uliza waliokutangulia kisoka huyo BARCA , REAL MADRID , MAN U , kwangu mm hzo ndio timu kubwa tushazufunga coz walau wana trophy ya UEFA CHAMPION LEAGUE 2+ kama timu yako ina trophy 1 hyo n timu ndogo haiwez kufananishwa na Liverpool
 

Miongoni mwa Watu Waliofurahi Liverpool Kuachana na Mfumo Wa Gengenpressing basi Mmoja Ni Mimi.. Ule Mfumo Ni Mzuri Kwa Kushambulia Na Kufunga Magoli Mengi Lakini Una Athari Kuu Mbili.

1) Unatuumizi Wachezaji Wetu Kwa Kila Mechi.
Tungelikuwa Tunautumia basi Sasahivi ingelikuwa Wachezaji Wetu zaidi ya Wanne Ni injury. Hata Gomez Kwenye Gengenpressing alikuwa Hatimizi Michezo 4 mfululizo Bila Ya Kuumia. Lakini Hii Style mpya imemfanya Kama Hajawahi Kupata injury.

2) Na Hasara nyengine ya Pili Kwa Gengenpresiing Ni Kuwa inapofika Kuanzia Mwezi Wa December wachezaji Wetu Wanakuwa Wameshachoka Vibaya Sana kiasi Ya Kwamba Tunaanza Kufungwa na Kutoa Draw na Zile Relegetors na Midtable Teams.

Kahiyo Ni Bora Klopp aendeleze hii Style yetu ya Sasahivi ambaye Tunashinda Magoli Machache Lakini Timu ikiwa Salama.
 
Hongeren liver mmeonesha ubabe wenu japokua mlipata tabu sana ???

Tabu gani tuliyoipata Wakati PSG tulimzidi Kwa Kila Kitu? Au uliangalia Mpira Kwenye Tunguli?

Halafu Kumbuka Kuwa Ushindi Rahisi unapatikana Tanzania ambao Ni Ushindi Wa Mezani... Lakini Ulaya Ushindi Rahisi Hakuna Ni Lazima Upate Tabu Uwanjani Ndiyo Ushinde.
 
Echo bhana!!! Wamemrate Hendo 8, then Gini 7, Mane 7 na Sturridge 7.
Yani Hawa Ratings zao Hazifai Hata Kwenye Mchezo Wa Kobole.

Jordan Henderson 8

The Liverpool skipper was everywhere, driving the team forward and thundering into tackles to the delight of the crowd. Comprehensively justified his recall.
 
Hili nalo neno. Pamoja na vimakosa vidogo vidogo anavyofanya Gomez, lakini sifa zao ninawapa. Hadi hapo watakapoweza kumzuia Hazard, the best player in Europe.
Best player kwa kumfunga Cardif na penalties zake?
Kwani Mbappe jana hakufunga?Nn matokeo?
Hazard bado hajacheza na yyt yule
Bado week tu tukutune
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…