Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

super sub...huyu jamaa namkumbali sana...rarely anapata sifa zinazomstahili but he is the real deal..
haters wamenywea maana vitisho tutafungwo sijui 3, 5 hakuna..
Hii ndio Liverpool bana kupambana mpaka dakika ya mwisho
Labda nikunong'oneze tu, ni kwamba Liverpool watashinda goli 4 kwa bila kule uwanja wa PSG, ukumbuke hii sentensi bro
 
Kuna nyakat unaweza ukawa unapitia magumu lakn ukikumbuka kumbe Kuna mfariji ambaye kamwe haachi kukupa tabasamu na ukasahau magumu yote hakika LIVERPOOL MMENIPA FARAJA NA KUYASAHAU YOTE
Umejuaje wee mhuni maaaniselanina walahi, umeongea Maziwa tupu
 
MO Salah ana umuhimu sana kila mechi coz team nzima inamchungulia yeye tu, team haiendi mbele kwa kumuogopa mtu mmoja MO Salah [emoji12]
 
Kops tumewazid kila kitu PSG
Shots, on targets, passes, corners,
 

Hii post nimeielewa sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…