Viwanja ni vile vile, nyasi ni zile zile, washabiki wale wale na wachezaji wale wale, kuwafunga sio muujiza wala wakitufunga sio ajabu, leo wanafungiwa chumbani kwao, shaka ondoaTusisahau Kuwa Wembley Ni Sehemu ambayo Ambayo Hatuna Bahati Nayo Kwani Spurs Tokea Wahamie Pale imekuwa Tabu Kuwafunga! Bora Walupokuwa White Hart Lane ilikuwa Ni Rahisi Kujipigia Nyingi na Kuondoka Zetu.
Leo Mimi Naiona Game Kuwa Ni Ngumu.
Nadhani Hata Draw Kwangu Mimi (Mawazo Yangu) itakuwa Powa Kwa Away Game na Top 6.
[emoji16][emoji16]Huenda leo ikawa ni sare au kipigo
Leo sioni mkipata ushindi
Anaebisha na abishe
Na tunayaheshimu vile vile.[emoji16][emoji16]
Tunachukulia ni mawazo yako
Endelea kuwaza
Watu kama nyie ni vizuri muendelee kuwepo ili tuzidi kuwa proveUzuri wa Tottenham beki wanayo leo huenda Liverpool mkachomesha mahindi tu
Sio salah mane au firmino wakifurukuta leo
Unawachukulia poa Tottenham si ndioWatu kama nyie ni vizuri muendelee kuwepo ili tuzidi kuwa prove
[emoji3] huamini sio[emoji16][emoji16]
Tunachukulia ni mawazo yako
Endelea kuwaza
Haichukuliwi poaUnawachukulia poa Tottenham si ndio
Yajayo yanahuzunisha hapa jukwaani[emoji3]Haichukuliwi poa
Ila tunaheshimu unavyoichukulia poa liver
Huwezi kuyaheshimu.unayapuuzaNa tunayaheshimu vile vile.
Uzuri wa Tottenham beki wanayo leo huenda Liverpool mkachomesha mahindi tu
Sio salah, mane au firmino wakifurukuta leo
Wamepevuka hivi sasa tofauti na huko nyuma√ Msimu Wa 2016/17 Mane Pekee Aliwafunga Goli 2 Spurs Ndani Ya Anfield Beki Wakiwa haohao Toby & Verto.
√ Msimu Wa 2017/18 Salah Pekee Aliwafunga Goli 3 Spurs (1 Wembley na 2 Anfield) Beki Wakiwa Ni Haohao Toby & Verto).
• Sasa Msimu Huu Wa 2018/19 imekuwa ajabu Kwako Kwa Mabeki hao na Kuona Hawafungiki?
Hata Jurgen Klopp anakwambia Salah kapevuka sio kama zamani.Wamepevuka hivi sasa tofauti na huko nyuma