Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
I would pick S.Mane......but sio mbaya
Dah totenhum wanatakiwa wapangiwe kikosi nondo kuliko kitakacho cheza na PSG maana naamin PSG sio tishio kama Walivyo TOTENHUM
Hahaha..lazima mfungwe aisee..ni lazima yani hata draw hamuambulii.Michezo Yetu 5 ya Mwisho dhidi ya Spurs:
√ 2 Wins
• 2 Draws
× Lose
Kwahiyo Mkuu Spurs Last Season Kutufunga 4 Walituokota tu Kutokana Na Kuwa na Shit Centre Backs ambao Walitaka Kutuaminisha Kuwa Ni Best in the World Kama Walivyojiita Kwenye World Cup.
Lakini Mara Hii Kuna Role Model Wangu Joseph Gomez ambaye Kesho atanifanya Niiangalie Game Nikiwa Nina Stick Mdomoni Baada Ya Kula Wali Kuku Kwenye Restaurant ya Mama Mwajuma.
Hahaha..lazima mfungwe aisee..ni lazima yani hata draw hamuambulii.
Ni hivi kama Son atacheza basi ni tatu na kuendelea. Kama Son na Dele Ali hawapo basi mtatoa draw ama watashinda Moja.
Haha ni kwel mkuu yule DEMBELE wa tote ni kiungo mzuri sana haswa ukiangalia kua amexha wasumbua viungo wakubwa duniani akina modric hvyo anatakiwa apangiwe milner keita na ginMichezo Yetu 5 ya Mwisho dhidi ya Spurs:
√ 2 Wins
• 2 Draws
× Lose
Kwahiyo Mkuu Spurs Last Season Kutufunga 4 Walituokota tu Kutokana Na Kuwa na Shit Centre Backs ambao Walitaka Kutuaminisha Kuwa Ni Best in the World Kama Walivyojiita Kwenye World Cup.
Lakini Mara Hii Kuna Role Model Wangu Joseph Gomez ambaye Kesho atanifanya Niiangalie Game Nikiwa Nina Stick Mdomoni Baada Ya Kula Wali Kuku Kwenye Restaurant ya Mama Mwajuma.
MentorHahaha..lazima mfungwe aisee..ni lazima yani hata draw hamuambulii.
Ni hivi kama Son atacheza basi ni tatu na kuendelea. Kama Son na Dele Ali hawapo basi mtatoa draw ama watashinda Moja.
Hahaha..lazima mfungwe aisee..ni lazima yani hata draw hamuambulii.
Ni hivi kama Son atacheza basi ni tatu na kuendelea. Kama Son na Dele Ali hawapo basi mtatoa draw ama watashinda Moja.
Haha ni kwel mkuu yule DEMBELE wa tote ni kiungo mzuri sana haswa ukiangalia kua amexha wasumbua viungo wakubwa duniani akina modric hvyo anatakiwa apangiwe milner keita na gin
Ukiangalia vzr ni mchezaji anaejua kutumia vizr miguu yake kucheza rafu zenye akili especialy kwenye mkiwa mnawaxhambulia hvyo bc anatakiwa awekewe milner kwan milner nimcheza rafu mzuri tu pia
Karibuni sana kwenye kutupa hamasa, kutuongezea ari.
As long as huna unachopoteza kwa kutamka hivyo na isiwe, basi endelea.
Mentor
Kesho usije rud hapa kusema tumebahatisha ohoo
Mentor Sina Mamlaka Ya Kupinga Mawazo Yako, Lakini Ninayo Mamlaka Ya Kuhoji Mawazo Yako.
Hivi Nikuulize Ni Nini Kinachokupa Ujasiri Wa Kusema Hivyo Kuwa Tutafunga au Kuambulia Draw?
Je Ni:
1) Ubora Wa Kikosi?
2) Home Advantage?
3) Rekodi baina ya Timu Hizi Mbili?
4) Other reason?
Game ya mwisho tulio toa draw unakumbuka kua walimilik na utagundua kua dembele ndo ilikua sababuSijui Dembele Unamuhofia Nini!!! Lakini Yule Ni Mchezaji Wa Kawaida tu Wala Si Wa Kuumisha Kichwa.
Virgil van Dijk Stats Kwa Four Games:
• 94% pass accuracy
• 240 successful passes (1st for LFC)
• 22 aerial duels (1st)
• 28 defensive duels (1st)
• 61% duel success (1st)
• 4 interceptions
• 14 ball recoveries
Defensive Machine [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nipo Oklahoma City Mkuu
Karibu sana
Majuzi France vs Nederlanden
Ilipigwa pasi na Ngolo ikamfikia Mbappe na jamaa kama kawaida yake akaanza dash akawaacha mabeki wote na akabaki na VVD
Kilichotokea kimenifanya nimkubali VVD
Mbappe alijaribu kumchambua na VVD hakuingia mtego wake
Suddenly Mappe akafinya na kuachia kigongo VVD akaiblock. Kona
Ingekuwa beki za akina Luiz, Jones ama Mustafi yangekuwa mengine
1. Kikosi chao ni bora kuliko mlichonacho.
2. Pamoja na kwamba makocha huwa wanasema wanaangalia mechi moja (one game at a time) lakini ukweli wa kuwa mna game tight kama sita hivi zinafuatana upo kichwani mwa Klopp na wachezaji na hiyo lazima itaathiri mechi zenu.
3. Sababu binafsi.
4. Allison lazima awazingue tena kesho (hahah hii nayo iweke kwenye sababu binafsi).
Very cheap way of discrediting my view but it's okay with me.Kumbe Ni Mtazamo Wako tu!!
Mkuu Huna Tofauti na Wale Wanaosema TAA Ni Bora Kuliko Azip Kwani Nyote Ni Mitazamo tu bila ya Facts.
Mimi Kwavile Ni Mwanamichezo na Na Si Mpiga Makelele Sijihakikishii Ushindi lakini Ninajiamini Kuwa Naenda Kupambana.
Game ya mwisho tulio toa draw unakumbuka kua walimilik na utagundua kua dembele ndo ilikua sababu
Umepata sehemu yakuchekia game huko ulipo?Michezo Yetu 5 ya Mwisho dhidi ya Spurs:
√ 2 Wins
• 2 Draws
× Lose
Kwahiyo Mkuu Spurs Last Season Kutufunga 4 Walituokota tu Kutokana Na Kuwa na Shit Centre Backs ambao Walitaka Kutuaminisha Kuwa Ni Best in the World Kama Walivyojiita Kwenye World Cup.
Lakini Mara Hii Kuna Role Model Wangu Joseph Gomez ambaye Kesho atanifanya Niiangalie Game Nikiwa Nina Stick Mdomoni Baada Ya Kula Wali Kuku Kwenye Restaurant ya Mama Mwajuma.
Mkuu kesho Mane anaanza kufungua kapu la mabaoHahaha..lazima mfungwe aisee..ni lazima yani hata draw hamuambulii.
Ni hivi kama Son atacheza basi ni tatu na kuendelea. Kama Son na Dele Ali hawapo basi mtatoa draw ama watashinda Moja.