Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Football is the most dirtiest sport in the world.

FIFA is the most corrupt organization in the world, (rejea countless of their corruption scandals over the years)

ishu ya QATAR kuhost world cup 2022 imegubikwa na corruption.

Flo Perez (The Don), Madrid president and his close friend Bartomeu (Barca president) ndiyo wanarun spanish footie, and Perez ana big say UEFA. (many people hawajui kuwa hawa watu wawili ni close buddies). these dudes are mafias, wanafanya kazi kwa ukaribu sana na rich agents, kama Mendes. Raiola, Kia etc (these dudes pia wanarun mpira wa ulaya kupitia their agency companies). i mean huwa hatupendi sana kuongelea kiundani mambo ya Transfers saga, but there is a reason why LFC decided to let Coutinho go in january, there is a reason why LFC didnt report Barca for tapping up Coutinho (Coutinho agent ni Kia, so do the maths). juzi juzi hapa Kia alimuoffer bwana ndogo pedrinho LFC, na tukakataa, simply because Kia ndiyo alikuwa agent wake. LFC ilishakataa kufanya kazi na Mendes, Raiola na Kia, thats why football experts wengi walishitushwa na deal ya Fabinho kwasababu his agent ni Mendes,

BDO is more about marketable players, kama Cr7 angefika QFs za WC wangempa BDO, but kwakuwa alifail they had to look for more marketable player whos profile is so easy to sale, hence ikaja ishu ya Modric, so it wont be so tough kuaminisha watu kuwa jamaa anastahili BDO kwa kutumia his CL campaign na WC, and after two years they will start to mould another competitors, kwa kuanza na Mbappe ambaye so soon anaweza akawa Madrid player. na Flo Perez anaposign player aina ya Mbappe his big promise ni kumfanya ashinde BDO, Perez plans failed kwa Bale kwasababu ya majeruhi ya Mara kwa mara. PSG promised Neymar BDO and he fell for that na sasa anataka kuforce move ya madrid, and Perez anaonesha anamuhitaji zaidi Mbappe.

everything huwa ni planned kwenye footie,

cant start about the English FA.
Waingereza wanawivu sana endelea kuwaamini, tengenezeni timu za kushindana Ulaya achaneni na tambo za maneno, Qatar iliwabwaga Wainglish ndo maana midomo inabwabwaja
 
My combined XI ya Liverpool na Chelsea wachezaji pekee wa Liver watakaoingia ni VVD (in place of Luiz) na Firmino kama striker.

Wengine wote I will stick na our current squad.

Lol Mentor bhana..

naweza nikakubaliana na hayo yote mengine because ni debatable.

but Kepa over Allison? and Willian over Salah?

please have some shame..
 
Would you care man to explain why then we signed Fabinho from agent Mendes while we dont deal with such calibre agents

Think tulideal zaidi na his main advisor and partly agent (Deco) kuliko Mendes, ndiyo maana hata deal yenyewe ilikuwa ya kimya sana, not Mendes's style at all.

Hata siku ya kusign mkataba, Fabinho alienda Melwood akiwa ameongozana na Deco pamoja na Mendes, nadhani Deco played bigger part kwenye hii deal kuliko Mendes, though at the end of the day Mendes ni lazima alipata percentage kubwa.

The last time we signed mchezaji wa Mendes ilikuwa ni 2010 nadhani, (i think unaweza kunisaidia kucheki ni mwaka gani tulimsajili Raul Meireles) alikuwa ni Mendes player.
 
Waingereza wanawivu sana endelea kuwaamini, tengenezeni timu za kushindana Ulaya achaneni na tambo za maneno, Qatar iliwabwaga Wainglish ndo maana midomo inabwabwaja

Kati ya nations zote zilizoomba rights za kuhost WC 2022, ni Marekani ndiyo walikuwa favourite.

so kama ungeniambia kuwa "wamarekani wana wivu sana", ningeweza kuamini uelewa wako kwenye bids za WC 2022.

ukiwa na muda kapitie this book; "Whatever It Takes: The Inside Story of The FIFA way" kimeandikwa na Bonita Mersiades (kama mfuatiliaji mzuri wa masuala ya mpira utakuwa unamjua.)

Btw, Bonita ni raia wa Australia na siyo "Muingereza mwenye wivu"
 
Australia ni waingereza walewale kama unafahamu historia, unatakiwa uwafamu wazungu wanatabia na kushiriakiana kushughulikia jambo,
 
what is your Combined XI kati ya team ya msimu wa 2008/09 na hii ya msimu wa 2018/19? (miaka kumi ishapita tayari)

First XI ya 2008/09 ilikuwa ni; Reina, Arbeloa, Carra, Agger, Aurelio, Mascherano, Alonso, Gerrard, Kuyt, Benayoun, Torres.

First XI ya 2018/19 ni; Allison, Trent, VVD, Gomez, Robertson, Fabinho, Milner (Gini?), Keita, Salah, Mane, Firmino.

My combined XI ni; Reina, Arbeloa, VVD, Agger, Robertson, Mascherano, Alonso, Gerrard, Salah, Mane, Torres

NOTE: it was a tough decison kumuondoa Kuyt. but imagine SG, Salah and Mane behind Torres, pia ni vigumu sana kumuweka Firmino mbele ya El nino wa 2008/09 (he was the best ST in the world ule msimu)

and i had to put Robertson over Aurelio man (Aurelio ni one of my top 10 favorite LFC player but Robertson had to be there), i hope nikifanya tena combined XI baina ya hizi teams mbili next season, Trent atakuwepo badala ya Arbeloa.

Allison bado hajatengeneza his profile at LFC, (4 games mpaka sasa), i hope next season nitakuwa na sababu ya msingi ya kumuondoa Pepe Reina (man i miss Reina, shame he got ruined by Gk coaches mapema sana)

Still think ile team ya 2008/09 ndo ilikuwa the best team in EPL to never win the league. ilikuwa so complete.
 
what is your Combined XI kati ya team ya msimu wa 2008/09 na hii ya msimu wa 2018/19? (miaka kumi ishapita tayari)

First XI ya 2008/09 ilikuwa ni; Reina, Arbeloa, Carra, Agger, Aurelio, Mascherano, Alonso, Gerrard, Kuyt, Benayoun, Torres.

First XI ya 2018/19 ni; Allison, Trent, VVD, Gomez, Robertson, Fabinho, Milner (Gini?), Keita, Salah, Mane, Firmino.

My combined XI ni; Reina, Arbeloa, VVD, Agger, Robertson, Mascherano, Alonso, Gerrard, Salah, Mane, Torres

NOTE: it was a tough decison kumuondoa Kuyt. but imagine SG, Salah and Mane behind Torres, pia ni vigumu sana kumuweka Firmino mbele ya El nino wa 2008/09 (he was the best ST in the world ule msimu)

and i had to put Robertson over Aurelio man (Aurelio ni one of my top 10 favorite LFC player but Robertson had to be there), i hope nikifanya tena combined XI baina ya hizi teams mbile next season, Trent atakuwepo badala ya Arbeloa.

Allison bado hajatengeneza his profile at LFC, (4 games mpaka sasa), i hope next season nitakuwa na sababu ya msingi ya kumuondoa Pepe Reina (man i miss Reina, shame he got ruined by Gk coaches mapema sana)

Still think ile team ya 2008/09 ndo ilikuwa the best team in EPL to never win the league. ilikuwa so complete.

Game nne za Allison amejifanya Manuel Neuer look what he got on his fourth game.

Kuna siku nilicomment (third game) wewe wewe ukanijibu kuwa nisiwe na wasiwasi...game iliyofuata..

And there is more mistakes to come. Allison is too cocky. Sidhani kama atajifunza.
 
Australia ni waingereza walewale kama unafahamu historia, unatakiwa uwafamu wazungu wanatabia na kushiriakiana kushughulikia jambo,

the notion here ni kuwa Australia as a nation tried to bid kuhost WC 2022 and failed, and USA were the most favorites kushinda hiyo bid, but siku chache kabla ya mshindi wa Bid kutangazwa, Sepp Blatter alimpigia simu Obama kumwambia kuwa USA wont host WC 2022 and Qatar will win kwenye hiyo race.

huyo Bibie Bonita, alikuwepo kwenye committee ya Australia iliyokuwa inaongoza mazungumzo ya kuomba kuhost WC 2022, and kwasasa amekuwa whistle-blower baada ya kushuhudia uchafu wote wa FIFA kwenye mchakato wa kumpata host.

na nimekupa jina kabisa la kitabu ukasome vizuri ili uelewe mizizi ya tatizo, huyo mwanamama anajua mchakato mzima kwasababu alishiriki kikamilifu akiiwakilisha nchi yake Australia, and i'd rather believe her kuliko Sepp and FIFA puppets.

na pia ame-discuss fouls zilizopelekea Russia kuwa Host wa WC ya mwaka huu.

CIA ndiyo walioplay part kubwa sana ya kumuangusha Sepp kwa ku-leak scandals zake za corruptions bila kusahau ile scandal yake na Platin ambayo inawapelekesha mpaka sasa.
 
Kuna siasa za mpira kijana, achana na hao watu, wakitaka kubadili mtu au mfumo lazima wataleta ishu nyingi sana. Akili za kusoma changanya na zako
 
Game nne za Allison amejifanya Manuel Neuer look what he got on his fourth game.

Kuna siku nilicomment (third game) wewe wewe ukanijibu kuwa nisiwe na wasiwasi...game iliyofuata..

And there is more mistakes to come. Allison is too cocky. Sidhani kama atajifunza.

he will learn from that blunder.

in Italy hajawahi kuwa caught kwenye situation kama ile, hii imetokea kwenye EPL kwasababu ya usharp wa strikers.

he'll learn from that. anaongea tu kwenye media ili kutoondoa confidence ya fans.

lets talk about his 10 saves out of 11 shots alizoziface??? manake ndugu yetu wa Damu Kepa couldnt even save a Microsoft word document against Arsenal.

siku ambayo Chelsea akikutana na Liverpool, omba sana Sarri asicheze ile "sarriball", Klopp atamuumiza sana.
 
Kuna siasa za mpira kijana, achana na hao watu, wakitaka kubadili mtu au mfumo lazima wataleta ishu nyingi sana. Akili za kusoma changanya na zako

siyo tu siasa za mpira, but siasa kwa ujumla ndiyo zinazofanya Dunia kuwa the most interesting place to live.

"akili za kusoma changanya na zako", intellegent people adhere to this notion kuendena na yale anayoyajua kwa kina kwenye alichokisoma, na kama atakuwa na uwezo usio na shaka wa kuhoji maswali shikivu kutokana na kile alichokisoma.
 
Wewe umeamini sana hicho kitabu, je kama alitumwa akiandike na hao CIA? Je kama ni wakala wao? Na je ilikuwaje Ulaya wakashindwa kuyaona na kuandika ambako ndo mpira unapochezwa wa ushindani zaidi
 
STAT OF THE DAY;

Wijnaldum played as a 6 kwenye games zote 3 za mwanzo wa msimu and he got dribbled past mara moja tu. ilikuwa ni against Brighton.

Captain Hendo, played as a 6 kwa mara ya kwanza msimu huu against Leicester, our lovely Captain got dribbled past 3 times ndani ya dakika 70 tu.
 
Wewe umeamini sana hicho kitabu, je kama alitumwa akiandike na hao CIA? Je kama ni wakala wao? Na je ilikuwaje Ulaya wakashindwa kuyaona na kuandika ambako ndo mpira unapochezwa wa ushindani zaidi

sijakuelewa?

FIFA ni organization inayosimamia mpira dunia nzima.

Bonita Mersiades, nimesema alikuwa mmoja wa viongozi wa kamati ya Nchini kwake Australia iliyokuwa pia ni moja kati ya Nchi zilizokuwa zinaomba kuhost WC 2022. (this has nothing to do with CIA). alianza kuongea kuhusu fouls zilizokuwa zinachezwa katika mchakato huu, kabla hata hajaandika kitabu, ikumbukwe mchakato wa kuomba kuhosty WC 2022, ulianza kufanyiwa kazi 2010, na Bonita amekuja kutoa kitabu 2018, after conducting an extensive research akichanganya na yale aliyoyaona katika mchakato, there is no way angetoa kile kitabu bila ya kuwa na concrete evidence ya yale aliyoyajadili kwenye kitabu chake.

USA, ndiyo ilikuwa inafahamika wazi kuwa itapewa dhamana ya kuhost WC 2022, na ikachezewa foul, na ndiyo maana CIA wakareact fast katika kumuangusha Sepp.

baada ya CIA kuleak corruption scandals za Sepp na baadae za Platin (UEFA president wa wakat ule). ni nchi za ulaya ndiyo zilikuwa zinashinikiza kina Sepp wachukuliwe hatua, na sijajua ufuatiliaji wako wa mpira umelenga zaidi wapi, but of all the medias in the world, Media za ulaya ndiyo zilikuwa mstari wa mbele kureport kuhusu hizi scandals kwa kina zaidi, na ndiyo maana nchi zote za ulaya zilijiunga katika kuhakikisha Sepp na Platin wanawajibika.

CIA played their part.

But, Bonita yeye hajawahi hata kidogo kuongelea suala la kumuangusha Sepp, yeye amejikita zaidi na mchakato wa kumpata host wa WC, hoja zake zinailenga FIFA as a whole, wakati CIA walimtarget Sepp tu. hakuna uhusiano wowote kati ya Bonita na CIA, ukiniambia kuwa kuna uhusiano wa CIA na Media za ulaya nitakuelewa kwasababu CIA used these medias kuleak scandals za kina Sepp.

Bonita hajawahi kuleak habari yeyote, she just wrote her book. na luckly anapata support ya medias kutangaza kitabu chake, kwasababu kina interesting things about FIFA corruptions.
 
Swali Linakuja Kwanini Tulimsajilo Ox Chamberlain na Wala Hakufeli Vipimo Wakati OX ana Record Mbaya Zaidi Ya Injury alipokuwa Arsenal Kuliko Hata Huyu Fekir?
Ni Wazi Kuwa OX from the Beginning ilijuilikana Wazi Kuwa Hatoiweza GGP ya Klopp lakini still Tumesucrify more than £35m+.
Simple!
OX kacheza EPL na akipona huwa anacheza vyema EPL
Kwa fekir wataalam wlaisema hawana uhakika kama goti lake linaweza himili bambi za akina Maguire akipona,wakapendekeza kama tunamchukua BEI ishuke sababu ni very gamble
Lyon wakakataa kushusha bei na Klopp akaachana nae
 
Football is the most dirtiest sport in the world.

FIFA is the most corrupt organization in the world, (rejea countless of their corruption scandals over the years)

ishu ya QATAR kuhost world cup 2022 imegubikwa na corruption.

Flo Perez (The Don), Madrid president and his close friend Bartomeu (Barca president) ndiyo wanarun spanish footie, and Perez ana big say UEFA. (many people hawajui kuwa hawa watu wawili ni close buddies). these dudes are mafias, wanafanya kazi kwa ukaribu sana na rich agents, kama Mendes. Raiola, Kia etc (these dudes pia wanarun mpira wa ulaya kupitia their agency companies). i mean huwa hatupendi sana kuongelea kiundani mambo ya Transfers saga, but there is a reason why LFC decided to let Coutinho go in january, there is a reason why LFC didnt report Barca for tapping up Coutinho (Coutinho agent ni Kia, so do the maths). juzi juzi hapa Kia alimuoffer bwana ndogo pedrinho LFC, na tukakataa, simply because Kia ndiyo alikuwa agent wake. LFC ilishakataa kufanya kazi na Mendes, Raiola na Kia, thats why football experts wengi walishitushwa na deal ya Fabinho kwasababu his agent ni Mendes,

BDO is more about marketable players, kama Cr7 angefika QFs za WC wangempa BDO, but kwakuwa alifail they had to look for more marketable player whos profile is so easy to sale, hence ikaja ishu ya Modric, so it wont be so tough kuaminisha watu kuwa jamaa anastahili BDO kwa kutumia his CL campaign na WC, and after two years they will start to mould another competitors, kwa kuanza na Mbappe ambaye so soon anaweza akawa Madrid player. na Flo Perez anaposign player aina ya Mbappe his big promise ni kumfanya ashinde BDO, Perez plans failed kwa Bale kwasababu ya majeruhi ya Mara kwa mara. PSG promised Neymar BDO and he fell for that na sasa anataka kuforce move ya madrid, and Perez anaonesha anamuhitaji zaidi Mbappe.

everything huwa ni planned kwenye footie,

cant start about the English FA.
Fitna za wakubwa (US/UK) ukizingatia mkubwa mwenzao (Russia) alipewa na wao wakashindwa na Mwarabu.
Fifa baada ya kupata kash kash wameelewa somo, sasa wamempa US/Mexico 2026 !
 
Hizi Mechi Za Kiajabu ajabu Za Kimataifa Zinanikera Kweli Manake Hazimuachi Mtu Salama.

Hata Sikupenda Leo Gomez aanze Kikosi Cha Kwanza England.. Bora Wangeanza Hao hao Kina Walker ili Mchezaji Wetu Abaki Salama Na injury Kwani Tunamuhitaji Zaidi Ndani Ya Liverpool Kuliko Anavyohitajiwa Timu Ya Taifa.
Kacheze wewe timu ya taifa badala yake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom