Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nani kashangilia ukifungwa goli?

Liverpool ni timu ya kutoa presha kweli kwenye ligi?

Uzembe anaofanya Allison usisemwe?

Una uhakika gani na gemu zinazofuata?

Acha unazi mkuu.[emoji3] [emoji3]
Naona unafukua makaburi [emoji23]
 
Sasa Wewe kushinda gemu nne tu basi ushaona timu iko vizuri. Chelsea iliyozoea kushinda gemu kumi na tatu/nne uko mfululizo itakuaje? Mbona hujakaa chini na kutathmini upana wa kikosi ulichonacho? Je ukishinda kama Chelsea game kumi mfululizo ci utaona ushakuwa bingwa?

Enewei Sema ni vitu ambavo hamkuzoea.[emoji3] [emoji3]
 
Sasa mkuu mbona unaongelea mambo ya misimu ya nyuma? Kwani hizo game kumi nangapi ulizowahi kushinda zinakusaidia nini msimu huu?

Kani sisi LFC hatujawahi kushinda hizo game 10+ on a streak?
 
Hahaha kama mambo yangekuwa mepesi hivi basi liverpool ingekuwa bingwa kila msimu.

Sidhani kama liverpool wana kikosi cha kupiga hata shot on target mbele ya Sarri.

Klopp ana wakati mgumu sana.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ahahaha team ambayo Aube alikosa bao 3 za wazi yy na kipa ndiyo uifunge Liverpool hii?
Ukikoswa sana ni 3-0
 
Mara ya mwisho kocha wako kachukua kombe lolote ni lini?
Sarri ball is soo useless,kupiga pasi za pembeni na kupata magoli ya kujifunga kusikupe jeuri kijana.

Nilichosema ni kuwa tunashinda while bado team haija click kama last season.sasa subiri team i gel vizuri af utaujua moto wa gege pressing.
 
Ahahaha team ambayo Aube alikosa bao 3 za wazi yy na kipa ndiyo uifunge Liverpool hii?
Ukikoswa sana ni 3-0
Liverpool hii inifunge goli tatu??? hahaha kuwa siriyasi mkuu. ushindwe kumfunga Leicester City izo goli tatu kwangu ndo utaweza? wewe jiandae kisakolojia hii september utapoteza zaid ya gemu tatu.
 
Sasa mkuu mbona unaongelea mambo ya misimu ya nyuma? Kwani hizo game kumi nangapi ulizowahi kushinda zinakusaidia nini msimu huu?

Kani sisi LFC hatujawahi kushinda hizo game 10+ on a streak?
Najaribu kuonesha ubovu wa timu yenu.
 
Ukimuondoa VVD, Mane na Salah utabakiwa ni kitu gani cha ziada apo Liverpool?
Keita,gini,firmino au ambacho huelew nini
Let me settle the debate
Allison vs kepa allison wins
Azplicueta vs TAA TAA wins
Van dijk vs rudiger hata sijibu[emoji23]
Luiz vs lovren uwezo sawa tu
Robertson vs alonso hard,almost equal
Gini vs jorginho jorginho mnyama
Kante vs milner tumpe kante
Kovacic vs keita naby deco mnyama
Hazard vs mane .........
Salah vs willian MO SALAH
firmino vs ushuzi BOBBY FIRMINO

Hope its settled[emoji5]
 
[emoji28] [emoji28] kaelewa tyr
 
Mchezaji wa chelshit ambae anaweza first 11 ya lfc ni hazard na kante tu tend hazard kwamashaka sababu chamberland ni majeruhi full stop
 
Jambo pekee ninaloliomba Kwasasa Ni Kuwa Wachezaji Wetu Wote Walioko Timu Ya Taifa Waishie Kukaa Benchi Na Hata Mmoja Asipewe Namba Ya Kucheza Tmu ya Taifa.

Reason Behind: Sitaki injury
Kule Uholanzi kuna uduanzi sana
Mara nyingi Wilj n VVD hata mech ya kirafiki wanamaliza dakika 90
Pia Brazil hata na Haiti anampa dakika 90 Allson
Pia tukumbuka wekends hii akina Mane watacheza dakika 90 kule viwanja sio vzuri
Tuombe tu na kufunga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…