Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mikoa mingi kuna DSTV lakini, tafuta line ya halotel.
 

Pole ndugu
 
Bado najiuliza tunataka ubingwa kweli au mitambo inatestiwa? Gem ya tatu hii tunapiga mpira mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp anataka silveware msimu huu, so hakuna kuremba hovyo hovyo.

mimi binafsi nafurahia sana tactical approach ya Klopp msimu huu. penye kuremba anaremba, pasipostahili kuremba anaacha. penye kukimbia watu wanakimbia, penye kucheza pole pole hi hivyo hivyo.

hivi umeiangalia timu inavyojipanga off the ball? fantastically solid!

tukiendelea kucheza kwa mipango hivi, hata treble tunaweza kuchukua msimu huu.

score yangu ya moyoni kwenye game la leo ni:

Leicester 0-3 Liverpool

ile gift ya Alisson aliyowapa Leicester mimi sijahesabu kama goli while ile sitter aliyo miss Salah pale mwanzoni ni clear goal. Alisson kajifunza hawezi kurudia tena ule utoto.

msimu huu timu iko balanced sina wasiwasi kabisa.... inacheza with plenty of maturity!
 
Huwa nakubali sana mawazo yako Mku
 
Hongereni The Reds wote, hawa wahuni wamekuwa wakitusumbua mno, kuwapiga pale kwao imekuwa vizuri mno. Allison.....basi tu....ni vizuri kuwa kosa lake halikutugharimu ushindi, inaweza kumuamsha.
Tuombe international's zisituletee majeruhi....
YNWA.

Pamoja sana chief.
Nashangaa leo hii Chelsea nao wanaongea.
Nimeshawaambia hapa kuwa there are are only two contenders in the EPL: LFC and ManU. The rest are just pure pretenders
Numbers don’t lie
YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…