SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Safari ndo ina anza hivyo, Allison kachomesha (kama nilivyokuambia kujifunga kupo tu) sasa ukikutana na Chelsea, halafu ucheze kama leo..
Sent using Jamii Forums mobile app
So far kwenye top 6 kuna timu yoyote imepiga mpira wa kuaminika?
Chelsea hii ya beki Luiz?Safari ndo ina anza hivyo, Allison kachomesha (kama nilivyokuambia kujifunga kupo tu) sasa ukikutana na Chelsea, halafu ucheze kama leo..
Sent using Jamii Forums mobile app
I prefer 2 W AND 1 kupotezaMichezo Yetu Ya EPL kwa September tuliyoibakisha Ni :-
√ 15 – Tottenham Hotspur (A)
√ 22 – Southampton (H)
√ 29 – Chelsea (A)
Hapo Tukipata Points 5 tu (1 Win & 2 Draws)
Hapo jiandae kupoteza yote.Michezo Yetu Ya EPL kwa September tuliyoibakisha Ni :-
√ 15 – Tottenham Hotspur (A)
√ 22 – Southampton (H)
√ 29 – Chelsea (A)
Hapo Tukipata Points 5 tu (1 Win & 2 Draws)
Chelsea hii ya beki Luiz?
Hii inayotegemea NW wajifunge kupata points tatu au ipo ingine?
Sijaona tatizo.
Modern game has changed so much.
Kipa sio tena kunyaka na kubutua au kuokoa kwa kupiga mpira mbele bila purpose yoyote.
Kipa ni extra man kwenye central defenders.
Nimemwelewa Pep kwa nini amemsajili yule mbrazil aliye nae sasa hivi.
As long as he’s confident with himself shwari tuu
Kuna delays anazifanya anapurudishiwa mpira, kuna siku itazaa goli na nadhani atajifunza.
Halafu VVD anamchezesha sana mpaka wanakaribia kuharibu.
Hili kosa la leo tuliliongelea last week, shukrani kwamba limetokea leo na tumeshinda.
We learn through mistakes.
It's a win.
Sarri: kocha pekee EPL ambae hajashinda kikombe cha aina yoyote ile mahala popote pale na nchi yoyote ile
Kuna Mambo Huwa Alisson hafanyi Kwa Bahati Mbaya Bali Ni Nature/Style Yake Ya Uchezaji. Kwahiyo Hawezi Kuyaacha Kwa Kuhofia Mistakes! Chamsingi Ni Kuwa Awe Makini Tu Katika Style Yake Hiyo.
Sarri Ni Sawa Na Kocha Wa Mbao FC Ni Mshiriki tu Anayeendesha Contest ya Tobacco Smoking
Mkuu mimi mpaka nimeondoka sijamaliza mechi, he will going to kill us one day. Ila nikimuangalia Kama hataweza kuacha kashazoea huyu jamaa
Ngoja Kimario aje
Balimi zake zinaksubiri hapa
Mimi Mwenzenu Kuanzia Mwezi Huu Nitakosa Mautamo Kwa Miaka Mingi ijayo Coz Nimepata Uhamisho Serikali Imenipangia Kazi Mkoani Ambako Hakuna DSTv wala Ukijiunga Bando 3G & 4G haipandi Bali inasoma E tu Kwahiyo Naishia Kuangalia Game Kwenye LiveScore ndiyomana Leo Nimeshindwa Kufanya Analysis ya Aina yoyote hile.