Napoli ipi hiyo ya kumfunga Liverpool aiseeKatika makundi mepesi sana uefa, basi kundi C litakuwa kundi jepesi sana.
Sababu:
Liverpool huna kikosi cha kupafomu michuano yote effectively.
Kwa sasa timu nying za EPL zimejihimarisha vilivyo kiasi kwamba utaitaji uwezo wa ziada kushinda game. Liverpool ina wachezaji wachache wenye uwezo huo.
Huna backup ya kutosha kwenye benchi. Kikosi ulichonacho icho icho kitacheza ligi, Uefa, Fa, Carabao ivyo akina salah, mane watachoka sana.
Hivyo PSG na Napoli watapita kiulaini tena bila kupingwa kwa sababu tajwa hapo juu.
Msimu uliopita ulifika fainal kimazabe pia angalia uli risk makombe mangap ili kufika fainal? Pia timu nyingi ulizokutananazo hazikuwa vizuri na mtu kama Salah, Mane walikuwa na wakati mzuri.
Je ya mwaka jana yanaweza kujirudia? Jibu ni hapana.
Hivyo ni bora Klopp awekeze zaidi kwenye EPL maana Uefa hafiki popote msimu huu.
Mbele ya PSG na Napoli hutatoka salama. Hivyo makundi mepesi ulaya ni kundi C, A, E, D, F na magumu yanaweza kuwa ni B, H, may be na G.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika makundi mepesi sana uefa, basi kundi C litakuwa kundi jepesi sana.

Zote nakupiga ilo liko wazi.Kama kawaida yenu, mimi nasubirigi pale mnaporudi kusema mmebahatisha.
Otherwise jiandae, tunakutana Mara 2 mwezi huu.
PSG home kwetu Anfield wanakufa kiurahisi tu![emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Napoli aifunge liver kweli? Kuna watu chuki zitawaua kisa Liverpool
Hii inayo tegemea NW ajifunge dakika ya 90 ndiyo amfunge Liverpool huyu golini Pweza?
Hata VVd anaweza akajifunga tu ..kujifunga kupo mkuu. Kama ukizidiwa lazima ujifunge. Wewe jua kabisa kwa Chelsea huchomoki..!Hii inayo tegemea NW ajifunge dakika ya 90 ndiyo amfunge Liverpool huyu golini Pweza?
Kaka acha utani!
Sawa😀Kiuandishi unatakiwa uweke tarehe na sio kusema hapo kesho, kwa atake isoma hii post kesho utamchanganya.
Hapa umechambua kishabiki sana binafsi psg na napoli si timu za kuisumbua liverpool labda klopp alaleKatika makundi mepesi sana uefa, basi kundi C litakuwa kundi jepesi sana.
Sababu:
Liverpool huna kikosi cha kupafomu michuano yote effectively.
Kwa sasa timu nying za EPL zimejihimarisha vilivyo kiasi kwamba utaitaji uwezo wa ziada kushinda game. Liverpool ina wachezaji wachache wenye uwezo huo.
Huna backup ya kutosha kwenye benchi. Kikosi ulichonacho icho icho kitacheza ligi, Uefa, Fa, Carabao ivyo akina salah, mane watachoka sana.
Hivyo PSG na Napoli watapita kiulaini tena bila kupingwa kwa sababu tajwa hapo juu.
Msimu uliopita ulifika fainal kimazabe pia angalia uli risk makombe mangap ili kufika fainal? Pia timu nyingi ulizokutananazo hazikuwa vizuri na mtu kama Salah, Mane walikuwa na wakati mzuri.
Je ya mwaka jana yanaweza kujirudia? Jibu ni hapana.
Hivyo ni bora Klopp awekeze zaidi kwenye EPL maana Uefa hafiki popote msimu huu.
Mbele ya PSG na Napoli hutatoka salama. Hivyo makundi mepesi ulaya ni kundi C, A, E, D, F na magumu yanaweza kuwa ni B, H, may be na G.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unategemea kuna chochote uyo salah atafanya dhidi ya gem ya Chelsea?
#SeptemberImefika.
Kama umeweka matumain yako kwa Salah utapata tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu twende tukamchambue Mourinho..si unajua kesho tupo na burnley??Hapa umechambua kishabiki sana binafsi psg na napoli si timu za kuisumbua liverpool labda klopp alale
Mkuu tunatakiwa kuichambua timu sio kocha.Mkuu twende tukamchambue Mourinho..si unajua kesho tupo na burnley??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunatakiwa kuichambua timu sio kocha.
The unbeaten SG8
Steven Gerrard as Rangers FC manager:
12 Matches
6 Wins
6 Draws
0 Defeats
18 Goals Scored
8 Goals Conceded
Unbeaten in SPFL.
Qualified for Europa League Group Stage.
What. A. Start.