Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kwakweli Distribution ya Alisson Ni quality na sina wasiwasi anaposimama golini lakini dah Apunguze Kujiamini sana anapochezea Mpira mguuni, Sometimes Overconfidence inaweza kuzaa Problem Kwani EPL kuna Strikers Kama Harry Kane, Vardy na Aguero wanakuwa Karibu na Kipa Kuvizia Mistakes tu zitokee.
Klopp amesisitiza Kuwa Hatokurupuka tu Kumuingiza Fabinho uwanjani mpaka pale atakapoendana Kikamiligu na Mfumo Wa Liverpool Wa Uchezaji.
“It is about players understanding the position & who else is available as well, otherwise Fabinho would have been involved in the squad as he was in the first week. That is it"
Kuna incidences 2 jana kama ni strikers wazuri tungelia jana.
Nina uhakika makocha wata address hiyo kitu, na kwa kikosi kinavyozungumzwa sasa hivi watu wanaangalia makosa ambayo yanajirudia.
Hope mchezo ule wa kukaa na mpira wa kurudishiwa ataacha.
utoto ni kama vile kuendesha gari na kusahau kuwa kuna rear view mirror, side mirrors na break.Mambo ya kitoto alikuwa nayo ni yapi?
Wabrazil Wabrazil tuu, Hivi huko Brasil kuna football academies?? Jamaa wako soo natural kwenye kuujua ufundi wa mpira, waiting for Fabinho kuonyesha skills zake.Kwakweli Distribution ya Alisson Ni quality na sina wasiwasi anaposimama golini lakini dah Apunguze Kujiamini sana anapochezea Mpira mguuni, Sometimes Overconfidence inaweza kuzaa Problem Kwani EPL kuna Strikers Kama Harry Kane, Vardy na Aguero wanakuwa Karibu na Kipa Kuvizia Mistakes tu zitokee.
kwanini wewe upoteze muda wako Ku quote comment ambayo haikuhusu?Kwann mnapoteza muda kuwajibu watu kama hawa waliojulia mpira kupitia kubet
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu Nina uhakika kuanzia wiki ijayo #UtapataTabuSana.LC week ijayo!
Itakuwa September na utakuja hapa na habari zako za "kabobo"
kisha utasema October is coming!
Hahaha mkuu Nina uhakika kuanzia wiki ijayo #UtapataTabuSana.
Leo shuhudia kipigo cha mbwa koko kwa kocha wako wa zamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tume unlock the defence several occasions.tumeingia 18 hadi 6 ya adui. Anyway, siku haikuwa yetu sana. Hope tumepata 3 pts.Anyways. When you play an opponent whose formation is 4-5-1, then you have to work extra hard to unlock the defense
Hao wote wanaiogopa Liverpool. Wanaujua mziki wetu.Tumemaliza August vyema tu! Lakini Wakuu tujiandae Kipindi cha September sio Siri tuna Ratiba Ngumu Sana Kwa Mechi zote 4.
√ 1 – Leicester City (A)
√ 15 – Tottenham Hotspur (A)
√ 22 – Southampton (H)
√ 29 – Chelsea (A)
To Be Honest Kwa Mechi Ya Jana Basi ilikuwa Ni uhakika Kwa 100% Kuwa Ni Mechi ya Draw Kwa Msimu uliopita! Nani anabisha?
Kwahiyo Alisson Jana Katupa Points 2 za kutunusuru na Draw walizokuwa wakitupa Karius na Mignolet.
Technically kocha wa BHA alim outsmart Klopp leo lkn kwa uimara wa beki na kipa Allson tume win
Na hiyo ndiyo sifa ya team bora,kushinda hata siku sio nzuri kwao
Kipa kwa kweli tunae jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Van dijk anamchezesha sana allison.., inabidi apunguze kidogoKuna hile moja naweza sema Sema Ni Kosa la VVD alimrudishia Mpira ukiwa Hakuwa na Nguvu za Kumfika Moja Kwa moja huku Alisson akiwa yupo Karibu na Opponent player.
Ni Kweli sasahivi tayari Mastrikers wanamwangalia jinsi Style Yake ya Uchezaji na mistakes anazoweza kufanya.
Lakini Naamini Atajirwkebisha Kwani Washabiki Wameshalizungumza sana Katika Mitandao kwahiyo atayaona tu yanayozungumzwa kuhusu Yeye.
Kipigo cha Mbwa koko dakika kwa penalty ya hovyo kama ile?Hahaha mkuu Nina uhakika kuanzia wiki ijayo #UtapataTabuSana.
Leo shuhudia kipigo cha mbwa koko kwa kocha wako wa zamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamfanya awe active. Mpira wa sasa golikipa anaanzisha mashambulizi.Anauona uwanja wote ikiwemo na timu pinzani.Van dijk anamchezesha sana allison.., inabidi apunguze kidogo