Mimi 5, sijui kwaniniMe naziona 3-0
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu man city keshabanwa mbavu uko
Uyo mvuta sigara atakuja kukupiga hapo kwako tatu kavu.Atazilipa kwa kufunga babu mvuta ugoro wa darajani
Kule ni kesho mkuu leo tunamaliza kwa arsenal man city na liverpoolNaona leo siku nzima umepiga kambi hapa. Kule kwenu uzi mzima leo ulikuwa peke yako na comment ya mwisho ilikuwa yako toka saa 4 asubuhi na hakuna watu.
Anyways, karibu sana hapa The Kop
Subiri kesho ifikeWameingia Mafichoni Kabisa Kwasababu Wanajua Wazi Kuwa Kesho Hawachomoki Kwa Newcastle Kwani Benitez Ni Mtu Mbaya Zaidi Kwa Chelsea tokea yupo Liverpool.
Mashabiki wa vijogoo mnaanza na mbwembwe mwisho wa league mnatia hurumaWe go Again
We go Again
We go Again
We are Liverpool
SalaaahMkuu man city keshabanwa mbavu uko
Natumaini nawewe utabanwa tu..
Sent using Jamii Forums mobile app