Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Henderson alikuwa Ana Advantage Ya Kucheza Baada Ya Fabinho Kuwa Bado Hajaanza Kuaminiwa Na Klopp.. Lakini Alivyokuwa Hana Bahati Kimeibuka Kiumbe Kinaitwa GINI ambacho Ni Underrated lakini Shughuli Yake Uwanjani Lazima Ulale Na Shin Guard!!!
Na mzee Milner Ni Kama Samaki Kila Akipea ndiyo Anazidi Kuwa imara.
Kwa maoni yangu jana Salah hakuwa fit kimchezo. Salah ana mbio kuliko mane. Kumbuka game ya msimu ulioisha dhidi ya Arsenal. Alikimbia toka kwenye box la penalt akifukuzwa na mabeki kibao na alikimbia na kufunga goal.Goli alilofunga Mane Mo Salah amepata nafasi 2 kama zile lakini nimembaini Kumbe Mo Salah si Mchezaji Wa Kaunta Coz Hana Mbio!
Unamkuta Yuko mbele lakini Kadri anavyokimbia basi yupo hapohapo mpaka Anafikwa na Beki...
Lakini Mane Alivyokimbia na Mpira ndiyo inavyotakiwa mtu Wa Kaunta awe na mbio kama zile.
Virgil van Dijk & Joe Gomez vs Crystal Palace
9 aerial duels won
5 tackles won
3 interceptions
9 clearances
92% and 90% passing
Klopp easing Fabinho slowly kwenye team, hope advisors wa Faby kina Deco watakuwa wanaelewa hili.
and kama angemuanzisha Faby jana, ingekuwa ni suicidal move, because hajawahi kucheza as a lone MF kwenye maisha yake yote ya mpira, he needs time to adjust, katika mfumo wa Klopp ni Attacking Players tu ambao huwa haiwahitaji muda sana wa kuwa eased, (Mane, Salah and now Naby etc walikuwa thrown strainght into the pitch), Ox alikuwa anacheza kama wingback at Arsenal, and wenger alikuwa anasita sana kumpa nafasi kwenye eneo la CAM, so kutoka kwenye position ya wingback mpaka CAM, ilikuwa inahitaji time kidogo na ndiyo maana Klopp alimpa muda Ox wa mazoezi zaidi.
Bakayoko is a good player, but Conte rushed him kwenye team, kutoka kwenye mikono ya attacking minded manager kama Jardim, mpaka kwa DF coach kama Conte tena kwenye 3-5-2, surely he needed time, but haikuipata na wala hakuwa eased taratibu, not blamimg Conte though, and now we have Fred, a very good young Mid, but Mou alishindwa kuelewa kuwa jamaa katoka league nyepesi ya Ukraune and he needed time to adjust, he's struggling a lot now, ni kwamba MFs hasa DMs huwa wanahitaji sana time ya kusettle kwasababu huwa ndiyo focal point ya team yeyote ile.
Jorginho, adapting well, but hajawa used na pace ya EPL, getting caught in possession a lot, but Kante is always there to calm things down, kitu kikubwa kinamchomsaidia sana Jorginho ni kuwa anaujua sana mpira wa Sarri (Sarri ball), so ni moja kati ya Mids ambao watawahi sana kuimaster EPL.
and i like the look of Arsenal's Matteo Guendouzi, anafanya makosa mengi na bado haijaiweza pace ya EPL, but he's always there for ball na ukichukulia kuwa ana miaka 19 tu, will be a very very very good player and he is safe under Emery, man, we have Grujic but tunachelewa sana kumpa nafasi, but nadhani Klopp ana plans za muda mrefu sana na Grujic, kwasababu alikuwa kabakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na report zilikuwa zinasema alikuwa anagoma kusign new contract kabla hajaondoka kwa mkopo, but Klopp kapigana mpaka Grujic kasign a new contract, inaonekana bado yupo sana kwenye mipango ya Klopp. lets wait and see.
So Fekir ndio basi tena
Still think we will get him.
there's a reason kwanini alikataa kwenda Chelsea hours kabla ya dirisha kufungwa.
kwasasa naona itabidi tuweke mipango kwa kile tulichonacho..
Akija atacheza position gani? I think role yake ndio ya OX
he will play number 10 or false 9.
Ox main competitor ni Naby katika CAM role.
but last season kabla hajaumia Klopp alikuwa anamchezesha kama LCM hasa kwenye CL games, hiyo role anacheza Milner now.
Kwa hiyo atacompete na Bobby
kabisa tunahitaji midfield inayo control mpira zaidi ya jana hivyo Klopp na timu yake ya makocha wana jukumu la kaharakisha Fabinho kuingia kikosini tuanze kuona Liverpool mpya ikichaja mbuga kwa ushndi mnonoNilikuwa na hamu ya kumwona Fabinho, ngoja tuendelee kusubiri, muda utafika.
hii ndio nafasi yake Rodgers ndio alijaribu kummbadili na Klopp nae ila sasa Klopp akaja kujua ndogo ni mzito akicheza kama wingback ndio maana alivyopona wakaanza kumsuka kuja cheza sasa nafasi hii na kwa hizi mechi mbili hajatwangusha...Man, spent the whole transfer window crying for a long term young CB to partner VVD this season, but My GOD, Gomez katokea wapi? sikuwahi hata kufikiria kama atakuja kumake it as a CB pale LFC, and honestly nilikuwa nafikiri Klopp will loan the kid out because tupo stacked kwenye eneo la fullbacks, oh i was so wrong man..
Lovren injury imekuwa blessing man, i mean i dont want to be carried away as we are just into two games of the league, but perfomance kama ya jana ya Gomez inaonesha kuwa he's ready na anahitaji kupewa nafasi zaidi ili kuendelea kumature, he's only 22 and yes he will make some mistakes but am sure he's that long term young CB tuliyekuwa tukimlilia kila siku, and the only way ambayo ataendelea kuimprove ni kwa kuendelea kucheza week in, week out.
VVD will get a lot of praise for yday perfomance (deserved), but GOMEZ was outstanding, his best perfomance in LFC shirt, you cant just produce that kinda of display kwenye tough and loudest territory kama Selhurst Park na usipate nafasi ya kuendelea kuwepo kwenye back-line.