Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Kweli kabisa Keita anarahishisha kazi ya hawa ma forward...Firmino ndogo kipaji kipo atakaa sawa tu..japo umbea kwamba Barcelona wanamtaka na amekanusha...Exactly, baada ya Sadio Mane kufanya yake leo kuna watu nilikuwa naangalia nao game nikawaambia hii kitu.
Attention iko kwa Salah, na Sadio Mane hafanyi zile kazi za kurudi nyuma kutafuta mpira kumlisha Salah, Keita ana rahisisha maisha yao wore.
Mtu ninaye mwona kuwa na wakati mgumu ni Firmino.
Duh asee kati ya striker na Hamorapa nae unamweka? Sibora hata Solanke wetu?Hawa CP wangekua na mtu kama Samatta ingekua habari nyingine pale Selhust park. Huyu Benteke hata mabeki hawamuogopi. Ngojeni mkutane na Morata.
Ila kikubwa hongereni majogoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ya Costa usijikute hufuatilii mpira na story yake hauna. Huo mjadala ulishafungwa kitambo.Duh asee kati ya striker na Hamorapa nae unamweka? Sibora hata Solanke wetu?
Chelsea bwana, eti unauza Costa unabaki na shudu Hamorapa!
Sent using Jamii Forums mobile app
well said King, Klopp atakua ameyaona haya naamini watayanyia kazi mazoezini na hatimae yawe applicable uwajani kwa manufaa ya timu..Hili la Kona umeniwahi Mkuu lakini Nilikuwa ndiyo nataka niliandike Hapa! Kiukweli Mpaka Sasa Toka Aondoke Coutinho hatuna Mpigaji Kona wala Set-Pieces Kwa ujumla.
Na Kuhusu TAA hili tokea alipoanza Kucheza Liverpool Ni kweli Hajui Kupiga Cross lakini Anaoffer mambo mengi zaidi Katika Kuattack.
Na Kinachomfanya asiweze Kupiga cross Ni kwamba Hajui Kudrible.. Lakini Siku atakayoweza Kudribe vizuri basi atakuwa Ni Full Back aliyekamilika.
Hana uwezo huyo kazi kurukaruka tu kama headless chicken. Tena hiyo mechi bora umuanzishe GirlWood kuliko HamorapaHayo ya Costa usijikute hufuatilii mpira na story yake hauna. Huo mjadala ulishafungwa kitambo.
Sasa huyo unaemuita hamorapa atakuonyesha kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Striker yoyote nitakaye muanzisha au atakayetokea benchi anakumaliza wewe. Najua lazima aanze MorataHana uwezo huyo kazi kurukaruka tu kama headless chicken. Tena hiyo mechi bora umuanzishe GirlWood kuliko Hamorapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alisson
√ 2 Premier League games
√ 2 Cleansheet
Problem solved √
Poa chief sio mbali ni mwezi ujao. Tena tunakuja kuwaolea kwenu kabisa ndoa ya kiislamu tunaifanyia ukweniStriker yoyote nitakaye muanzisha au atakayetokea benchi anakumaliza wewe. Najua lazima aanze Morata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatutakubali uzembe tulioufanya kwa Arsenal. TutakushangazaPoa chief sio mbali ni mwezi ujao. Tena tunakuja kuwaolea kwenu kabisa ndoa ya kiislamu tunaifanyia ukweni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha kuongoza goli mbili halafu zinarudi zote tena kipindi cha kwanza. Halafu kibaya zaidi tulikua darajani. Huu ni uzembe wa hali ya juu. Hili nina imani kocha analifanyia kazi na halitajirudia tena.
Kitendo cha kuongoza goli mbili halafu zinarudi zote tena kipindi cha kwanza. Halafu kibaya zaidi tulikua darajani. Huu ni uzembe wa hali ya juu. Hili nina imani kocha analifanyia kazi na halitajirudia tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila dogo anakimbiza aisee, dahUkitaka Kukua Naby Keita anacheza Position gani basi wewe usipate tabu! NK8 is everywhere
Ni kweli Firmino hayupo Mchezoni lakini sina wasiwasi atabounce back tu kwani Jamaa licha Ya Kumuona Kapotea Mchezoni lakini Still anaoffer vitu adimu.