Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huo Ndiyo Mpira Wa Wilfred Zaha na Leo TAA anamsubiri Kama Alivyomkamata Last Season.

Huyu Jamaa Hata Mimi NilimQuote na Kumwambia Mpira Huo Wa Kina Beckham sasa haupo tena Kwani sasahivi Winger si Mtia Cross Bali Winger Ni Forward.
Anayetia Cross sasa Ni Ni Full Backs Kina Robertson na TAA ambao Tunawaita Wing Backs.

Kwa nini haupo tena?
 
Kwa nini haupo tena?

Kwasababu Mpira Huu Huwa Mawinger Hawafungi Sana magoli Kutokana Na Kucheza Pembeni Muda Mwingi. Bali Mipira Yote Mawinga Humpelekea Striker na Kutegemewa Afunge yeye tu! Sasa Akikabwa Striker Munakuwa Hamuna Safari.
Imagine Salah na Mane Wangelikuwa Si Mawinga Wandani (Mafowards) Bali ni Wakimbiza Mipira Na Kutia Crosses Basi Magoli Yetu Yote tungelimtegemea Firmino je ingekuwaje?
Lakini Sasahivi Mawinga Wote Ni Mafowards na Wanafunga Kama Salah, Mane, Ronaldo, Bale, Sterling n.k. Hakuna Tena kuetegemea Striker Kama Wanavyofanya Spurs Kwa Harry Kane! Olewake aje apate injury ya Miezi Miwili tu waone Mziki wake.
 
Michezo Yetu 4 ya mwisho Tuliyocheza na Crystal Palace Katika Uwanja Wao Wa Nyumbani wa Selhurst Park Yote Tumeshinda Lakini Hatujapata Cleansheet Hata moja.

√ 14 Feb 2015: Palace 1 - 2 LFC

√ 06 Mar 2016: Palace 1 - 2 LFC

√ 29 Oct 2016: Palace 2 - 4 LFC

√ 31 Mar 2018: Palace 1 - 2 LFC

Na Leo tuombe ushindi with Cleansheet.
 
Mignolet Ametoka Kuwa Kipa Namba 4 mpaka Namba Mbili Ndani Ya Mwezi mmoja.
√ Ward ambaye Tayari Kwenye Preseason alikwisha Kuwa Juu Yake ameondoka...
√ Karius ambaye Yupo Juu Yake Nayeye sasahivi Yupo Katika Hatua za Mwisho Kukamilisha Usajili Wa Kwenda Besiktas Kwa Mkopo.
√ Atabakia yeye Kuwa Mbadala Wa Alisson.
Ustahamilivu unamsaidia Atapata nafasi Kwenye FA na Carabao.
 
Liverpool Tayari imeshaafikiana na Besiktas Kuwapa Loris Karius Kwa Mkopo Wenye Thamani ya £2.25m.
Besiktas pia Wanaoption ya Kumnunua Moja Kwa Moja Kwa Kitita Cha £7.25m iwapo Wataridhika na Kiwango Chake.
Kwa Mechi ya Leo Usiku Golikipa Namba Kwenye Benchi atakuwa Ni Mignolet.

Na ifahamike Kwamba Karius ingawa anaiacha Jezi Namba 1 ikiwa wazi lakini Alisson hatoweza tena Kwa Msimu huu Kutumia Namba Hiyo Bali ataendelea na Namba Yake ya Jezi 13 kwani Namba Ya Jezi unasajiliwa nayo Kwa Msimu mzima na wala haina Dirisha dogo.
 
Top 3 Uefa
IMG_20180820_200424.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
First XI yetu iliyopia haijabadilika:

FXI: Alisson, Alexander-Arnold, Gomez, Van Dijk, Robertson, Milner, Wijnaldum, Keita, Mane, Salah, Firmino.

Subs: Mignolet, Henderson, Sturridge, Moreno, Lallana, Shaqiri, Matip

Naona Kila dalili Kuwa Klopp anampoteza Captain Wa watu.
😀😀😀
 
Fabinho kwa mtizamo wangu alikuwa mtu muhimu leo, time will tell. Milner binafsi huwa simkubali sana maana kiungo gani unakuwa rahisi kuwa dispossessed
 
Crystal Palace XI: Hennessey, Wan-Bissaka, Van Aanholt, Tomkins, Sakho, Schlupp, McArthur, Milivojevic, Townsend, Zaha, Benteke

Subs: Guaita, Ward, Meyer, Kouyate, Sorloth, Ayew, Kelly

Liverpool XI: Alisson, Alexander-Arnold, Gomez, Van Dijk, Robertson, Milner, Wijnaldum, Keita, Salah, Mane, Firmino

Subs: Mignolet, Matip, Moreno, Henderson, Lallana, Shaqiri, Sturridge
 
Leo Hasa Ndiyo Test Yetu Ya Kwanza itakayotafsiri Kama Tukotayari na Ligi au Ni Wababaishaji Wa Siku Zote tu!

It is a real test today!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom