eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Europa league leo unaiona haina maana wakati umeicheza sana na kutwaa ndoo hujawahi kutwaa [emoji3]Wewe ukishamaliza mbwembwe zako Utakaa Kimya Coz Kile Kigenge Chenu Na Msimu ujao Mutacheza Uropa nawahakikishia Subiri ligi ichanganye tu Mutaanza Kulia na Sarri.
Europa league leo unaiona haina maana wakati umeicheza sana na kutwaa ndoo hujawahi kutwaa [emoji3]
Mwisho wako wa kutamba ilikuwa 2005 bisha tenaHuu Ushabiki Mwengine bhana!!
Wewe ndiye Wakusema Liverpool hajawahi Kutwaa Eurpa Cup?
Kama Hujui Liverpool Ndiye Anayeoongoza Kwa Timu Za Kiengereza Kutwaa Europa Mara Nyingi.. Ametwaa Mara tatu!!!
Labda Nikupe Summary hapa:
√ Champions League 5:
1) 1976/77
2) 1977/78
3) 1980/81
4) 1983/84
5) 2004/05
√ Europa League 3:
1) 1972/73
2) 1975/76
3) 2000/01
√ Super Cup 3:
1) 1977
2) 2001
3) 2005
Sasa hapo Unapata Wapi Ujasiri Wakusema Hatujawahi Kuchukua Europa.
Ni lazima Uiheshimu Liverpool Kwasababu Ndiyo Timu pekee inayoongoza Kubeba Makombe Ya Ulaya Kwa Timu Za Kiengereza.
Mwisho wako wa kutamba ilikuwa 2005 bisha tena
Mpaka leo ni msindikizaji tu
Hivi unajua pamoja na ubora wa salah, mane, firmino last season mmemaliza michuano yote bila kikombeKwavile CL na Europa umebeba wewe Last season.
Kwahiyo kwasababu Liverpool haijachukua kikombe mda mrefu ni justification kwamba hawatochukua tena daima?Hivi unajua pamoja na ubora wa salah, mane, firmino last season mmemaliza michuano yote bila kikombe
Mafanikio ya team mwisho wa msimu ni kikombe tu zaidi ya hapo ni ngonjera
Mkuu huu ni mwaka wa 19 hamjawahi kutwaa EPLKwahiyo kwasababu Liverpool haijachukua kikombe mda mrefu ni justification kwamba hawatochukua tena daima?
Mbona hujiamini kijana.?Yani Leo Tungefungwa au Tungedraw tu basi ungeliona Hapa Washabiki Wa Chelshit na Manure wanavyotiririka...
Sasa Kazi ipo Kwa Arsenal naona Wote Watakwenda Kujenga Kambi Kwenye Jukwaa lao! Olewake Mambo Arsenal yawaendee Kombo uone Watakavyoandamwa Manake Wana Hasira ya Kutukosa sisi.
Mkuu huu ni mwaka wa 19 hamjawahi kutwaa EPL
Wamepita wachezaji bora sana hapo liver lakini wameshindwa kutwaa EPL miaka yote hiyo
Yaani Chelsea Ile iliyokaa miaka 50 bila kuchukua EPL unaifananisha na Liverpool hii yenye miaka 27 bila EPL...kweli! Utakuwa umeamua kuivunjia heshima sana timu yakoLiverpool mpaka sasa imekaa Miaka imeshakaa Miaka 27 bila ya Kuchukua Kombe la Ligi (EPL) na si 19.
By the way! Chelsea ilikaa Miaka 50 bila ya Kubeba Kombe la Ligi (EPL) na hatimae ikabeba 2005! Lakini Kwenye Miaka 27 ya Liverpool ndiyo unaona mengi Kiasi ya Kwamba Haitowezekana tena Kubeba Kombe?
Sasa imewezekana vipi Kwenye 50 Hata ishindwe kuwezekana Kwenye 27?
Mbona hujiamini kijana.?
Alison yuko vizur kwa mfumo wa liverpool anafanya distribution vizur sana na kujiamini akiwa langoni
Yaani Chelsea Ile iliyokaa miaka 50 bila kuchukua EPL unaifananisha na Liverpool hii yenye miaka 27 bila EPL...kweli! Utakuwa umeamua kuivunjia heshima sana timu yako
Najua umeilewa point yangu kwa nilichokuquote ,regardless wachezaji ,makocha na vitu vingine timu yenye ukubwa wa Liverpool haitakiwi kukaaa hata miaka 5 tu bila kuchukua kombe la EPL , yaani huo ni mwiko..lakini for some reason hilo limeitokea Liverpool imefikia hatua sasa hata sio habari tena Liverpool kumaliza msimu bila kikombe.Inaanza kujenga tamaduni mbaya , makocha wanakuwa hawana presha tena . Kwa ubora wa kikosi chenu cha sasa sio tu mnatakiwa kushinda EPL tu bali mnatakiwa kushinda back to back EPL na kufika tena fainal ya champions league kama sio kuchukua kabisa.Point Yangu Ni Kuwa NiliyomQuote nataka Ajue Kuwa Liverpool Hii Ni Strong and More Stable ambayo inaweza Kucompete bila ya Kujali Historia ya Kilichotokea Miaka 27 iliyopita.
Mara nyingi Huwa natoa Mfano Kuwa Real Madrid iliyosheheni Mafundi na Mastaa duniani Kama vile Casillas, Hiero, Emerson, Roberto Carlos, Zidane, Figo, Ronaldo, MacCmanaman, Morientes na Raul haikuwa na mpango wowote walikuwa Ni Wanawake tu Kwenye Champion League Timu zinajipigia.
Lakini Hii Real Ya Kawaida Ya Kina Varane, Asensio na Isco ndiyo imekuwa Tashio na Mafanikio Zaidi Kuliko Hiyo Ya Mastaa.
Kwahiyo Mafanikio Hayejengwi na Mastaa Pekee, Bali Kuna Factors nyingi Zinajenga Mafanikio.
Zaidi Kujituma Kwa Wachezaji na Ukufunzi Wa Kocha ndiyo Vichochezi vya Mafanikio.
Hivi Unadhani Kwa Kocha hasa Anayejua Mpira Angepoteza Kombe kama alivypoteza Rogers 2013/14?
Kwa hiyo klop anaujua mpiraPoint Yangu Ni Kuwa NiliyomQuote nataka Ajue Kuwa Liverpool Hii Ni Strong and More Stable ambayo inaweza Kucompete bila ya Kujali Historia ya Kilichotokea Miaka 27 iliyopita.
Mara nyingi Huwa natoa Mfano Kuwa Real Madrid iliyosheheni Mafundi na Mastaa duniani Kama vile Casillas, Hiero, Emerson, Roberto Carlos, Zidane, Figo, Ronaldo, MacCmanaman, Morientes na Raul haikuwa na mpango wowote walikuwa Ni Wanawake tu Kwenye Champion League Timu zinajipigia.
Lakini Hii Real Ya Kawaida Ya Kina Varane, Asensio na Isco ndiyo imekuwa Tashio na Mafanikio Zaidi Kuliko Hiyo Ya Mastaa.
Kwahiyo Mafanikio Hayejengwi na Mastaa Pekee, Bali Kuna Factors nyingi Zinajenga Mafanikio.
Zaidi Kujituma Kwa Wachezaji na Ukufunzi Wa Kocha ndiyo Vichochezi vya Mafanikio.
Hivi Unadhani Kwa Kocha hasa Anayejua Mpira Angepoteza Kombe kama alivypoteza Rogers 2013/14?
Najua umeilewa point yangu kwa nilichokuquote ,regardless wachezaji ,makocha na vitu vingine timu yenye ukubwa wa Liverpool haitakiwi kukaaa hata miaka 5 tu bila kuchukua kombe la EPL , yaani huo ni mwiko..lakini for some reason hilo limeitokea Liverpool imefikia hatua sasa hata sio habari tena Liverpool kumaliza msimu bila kikombe.Inaanza kujenga tamaduni mbaya , makocha wanakuwa hawana presha tena . Kwa ubora wa kikosi chenu cha sasa sio tu mnatakiwa kushinda EPL tu bali mnatakiwa kushinda back to back EPL na kufika tena fainal ya champions league kama sio kuchukua kabisa.
Kilichotokea msimu wa 13/14 kwa kiasi kingine mshabiki walichangia ,yaani ile kushinda mechi nyingi mfululizo kuliwafanya mashabiki waamini Liverpool inaweza kushinda kila mechi , kimahesabu mechi vs Chelsea Liverpool ilitakiwa kupata draw tu, hakukuwa na sababu ya kwenda all out attacking ,kocha kwa hype za washabiki na yeye akacheza timu as if it was a must win match ,we all know what happened when Gerald alipoteleza, he was the last man yaani kikosi kizima kilishapanda mbele.
EPL ni marathon ni lazima kocha awe na hesabu sana katika kila mechi bila kujali ubora wa kikosi, last season mlimaliza 25 points nyuma ya man city maana yake hamkuwa hata na dalili ya kuchukua kombe.This season mmefanya maboresho kwenye timu Ila pia lazima kocha abadili approach kwenye baadhi ya mechi ,sio lazima ushinde mechi zote ili ushinde EPL, asipoliona hili mtakuwa tena na exciting season lakini bila kombe
Kwa hiyo klop anaujua mpira
Basi sawa tunasubiri mtwae EPL msimu huu