Ondoa Shaka Hutapokonywa Mwaka! Huu utabakia Kuwa Mwaka Wenu Manure si Muna Lukaku na Fed bhana! Tena mushindwe na nani?
Ukitaka kujua liverpool haina tofauti na westham itazame mwisho wa msimu hawatwai taji lolote
Hao mabeki mbona wazembe sana
Ni nani atampa ridhaa ya kulibeba?liverpool ndie anaebeba kombe la Epl msimu huu! ....