Sas inakuwaje klabu ndio Inamchoma moMshambuliaji wa Liverpool Mo Salah anachunguzwa na Polisi wa Merseyside nchini Uingereza baada ya kuonekana kwenye video moja akiendesha gari huku akitumia simu, inadaiwa kuwa Club yake ndio iliyopiga simu Polisi kuwafahamisha kuhusu video hiyo ya Mchezaji wao.
Sas inakuwaje klabu ndio Inamchoma mo
Salah kwa polisi kwamba alikuwa anatumia
simu akiwa ana drive????
Sas inakuwaje klabu ndio Inamchoma mo
Salah kwa polisi kwamba alikuwa anatumia
simu akiwa ana drive????
Wanajua wao wakifanyacho
Got to be positive always and this tym round seems we are near more than ever, otherwise tym il indeed tell..Naona mmeshahakikisha kuwa EPL ni yenu. Time will tell
Wewe unafikiria mini kitatokea kwa Liverpool kama Salah akipata ajali?? Uliona final CL kilichotokea baada ya kuumia??Sas inakuwaje klabu ndio Inamchoma mo
Salah kwa polisi kwamba alikuwa anatumia
simu akiwa ana drive????
actually Anfield last season we only beaten na Westbrom FA or Carabao...ila kwenye ligi i gues ilkua draw bt no defeat..now with Keita providing the master pass for a pass to goal kama ile ya Robertson kumpasia Salah kufungwa sioni, hizi team zinazokuja Anfield kupaki basi hazikitoki salama...Liverpool have not conceded a goal in any of their past six Anfield league matches
Nimecheka sana, kuwa eti wanamuachia MalafyaleNaona msimu umeanza mmejaa kama kawaida ,msimu ukikaribia kuisha kama kawaida mnamuachia jukwaa Malafyale peke yake
Kauli ya Malafyale hii[emoji4][emoji4][emoji4][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haya "Nani asiyeyaogopa majogoo "
Video iliisha kuwa viralSas inakuwaje klabu ndio Inamchoma mo
Salah kwa polisi kwamba alikuwa anatumia
simu akiwa ana drive????
Nakukumbusha kuwa timu za shirikisho moja haziwezi kuwa kundi 1 hapo Man U na Liver haziwezi kupangwa kundi mojaView attachment 836620
Tmeangukia Kwenye Pot 3 Kwa Ajili ya Kupangiwa Ratiba Ya Group Stage ya CL.
Kwahiyo Tutakutana Na Timu Moja Hapo Kutoka Pot 1 na Moja Kutoka Pot 2 na Nyengine Kutoka Pot 4.
Obviously Valencia na Intermilan Kwavile Wako Pot 4 watayafanya Makundi Watakayopangiwa Kuwa Ni Ya Kifo.
Let say Group X lina:
√ Barcelona (From Pot 1)
√ Manchester United (From Pot 2)
√ Liverpool (From Pot 3)
√ Intermilan (From Pot 4)
Sijui Nini kitatokea!!!!!!!
Nakukumbusha kuwa timu za shirikisho moja haziwezi kuwa kundi 1 hapo Man U na Liver haziwezi kupangwa kundi moja
Wewe mpira umeanza kuangalia msimu uliopita? Kasome taratibu za droo kwenye www.uefa.com nakuona mihemuko inakusumbuaSiyo Kwamba Ninakubisha! Bali Unataka Kufahamu tu Kutoka Kwako 'Je Kuna Kifungu Chochote cha Sheria Za UEFA ulichonukuu au Ni maneno Yako Hayo?'
Wewe mpira umeanza kuangalia msimu uliopita? Kasome taratibu za droo kwenye www.uefa.com nakuona mihemuko inakusumbua
Mjinga ni wewe uliyetaka kuelimika nimekupa na link ukasome, jifunze kutumia vizuri kiswahili sawa dogoUsiwe Mjinga Kiasi Hicho! Mimi Nimekuuliza Kistaarabu na Wewe Unapaswa Kunijibu Kiistarabu. Au ulidhani Ukiwa Mstaarabu sitakuelewa?
Ujinga mwengine hauna faida kwako Mdogo wangu! Jifunze Kuongea na Wenzio Kwa ustaarabu.
Mzururaji unamfananisha na Mnyumbulikaji !?afu jamaa wana utani mbaya sana..... wanadai eti Fred ni bora kuliko Keita.
[emoji3] [emoji3] mnapeana matumainiHahahaha mtani siyo mbaya mwanzo mzuri tutakutana kileleni[emoji3] [emoji3]
Liverpool hata kuitwa majogoo ni kumkosea heshima jogoo labda mtetea ingefaa
Timu miaka 19 haijatwaa kombe la EPL sasa sijui furaha yenu ni ipi
[emoji3] [emoji3] mnapeana matumaini
Lakini bora man u yako kuliko liver