Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Kuna wakati hata keyboard unaiona ina moto, kuna muda ndani ya tunnel unauona mwanga unahisi umekaribia mwisho kumbe ni mwanga wa tochi mwingine naye anatafuta pa kutokea inakubidi tu uwe mpole.Naona msimu umeanza mmejaa kama kawaida ,msimu ukikaribia kuisha kama kawaida mnamuachia jukwaa Malafyale peke yake
Haya "Nani asiyeyaogopa majogoo "Kuna wakati hata keyboard unaiona ina moto, kuna muda ndani ya tunnel unauona mwanga unahisi umekaribia mwisho kumbe ni mwanga wa tochi mwingine naye anatafuta pa kutokea inakubidi tu uwe mpole.
Ila msimu huu tuko bega kwa bega hatuwezi kuanguka
Hongera wewe mwenye timu nzuri iliyo improve kwa kuifunga HuddersfieldWewe unaifunga westham ambayo ina wachezaji wa tano wageni ukimjimlisha na kocha halafu unajihakikishia nafasi ya kwanza!!
Bado sana kuimprove uwezo wako.
A right name for him.Kwa Jinsi Keita alivyouwasha moto na Fabinho Next week anateremka dimbani! Ninamuonea huruma Captain wangu soon He will be a Benchwarmer.
Bi everlenk,kileleni huko mtakapokutana ni wapi mkuu?Hahahaha mtani siyo mbaya mwanzo mzuri tutakutana kileleni[emoji3] [emoji3]
Malyafale ni captain,King Ngwaba ni captain msaidizi. Sisi wengine ni "ball boys".Naona msimu umeanza mmejaa kama kawaida ,msimu ukikaribia kuisha kama kawaida mnamuachia jukwaa Malafyale peke yake
Pamoja na yote bado Liverpool hii haijafikia kiwango cha ile Liverpool ya akina Pepe Reina, Gerald, Kuit, Alonso na Torres. Na bado ilishindwa kubeba EPLHahahahaha mtani kwa mbwembwe mko njema,by the way hongereni kwa usajili mzuri
Sio bingwa mtetezi lakini ukiangalia kikosi cha Westham bado ni kipya sana.Kwani Hapo Nimezungumzia Nafasi ya Kwanza?
Hivi uliyemfunga 3 - 0 Siku ya Jumamosi Yeye Ni Bingwa Mtetezi?
Sio Huddersfield tu hadi Wewe nitakufunga.Hongera wewe mwenye timu nzuri iliyo improve kwa kuifunga Huddersfield
Pamoja na yote bado Liverpool hii haijafikia kiwango cha ile Liverpool ya akina Pepe Reina, Gerald, Kuit, Alonso na Torres. Na bado ilishindwa kubeba EPL
Sio bingwa mtetezi lakini ukiangalia kikosi cha Westham bado ni kipya sana.
Wachezaji wengi bado hawajaelewana ..enewei bado tunasonga mbele na huu ndo mwanzo tu
Naona mmeshahakikisha kuwa EPL ni yenu. Time will tellMilner ni jembe ndugu yangu, japo umri ndio huo but jamaa ni mpambanaji, real professional...hivi Origi, Markavic, Lallana kweli msimu huu si watapata dakika chache sana uwanjani..maana Klopp lazima a deliver EPL n even better UCL...YNWA
Pamoja na yote bado Liverpool hii haijafikia kiwango cha ile Liverpool ya akina Pepe Reina, Gerald, Kuit, Alonso na Torres. Na bado ilishindwa kubeba EPL
Mbwebwe zao tumezizoea.
Zetu ni za kuonesha vitendo na kunyanyua kwapa.Zenu pia tumezizoea
We kichaa unataka kila kitu tukufunze sisi ulikuwa unatumia q badala ya k sasahivi unajidai mjuaji kila timu INA haki ya kusherehekea ushindi, nenda Europa huku si saizi yakoSio Huddersfield tu hadi Wewe nitakufunga.
Mpira hauchambuliwi ivyo na yaonekana una chuki sana kwa hii Liverpool. Utaumia sana msimu huuSio bingwa mtetezi lakini ukiangalia kikosi cha Westham bado ni kipya sana.
Wachezaji wengi bado hawajaelewana ..enewei bado tunasonga mbele na huu ndo mwanzo tu
I pinned this post for future use[emoji3] [emoji3]Kuna wakati hata keyboard unaiona ina moto, kuna muda ndani ya tunnel unauona mwanga unahisi umekaribia mwisho kumbe ni mwanga wa tochi mwingine naye anatafuta pa kutokea inakubidi tu uwe mpole.
Ila msimu huu tuko bega kwa bega hatuwezi kuanguka
Hahaha hapo hapo kileleni,we elewa tu,mwenyewe keshaelewa.Bi everlenk,kileleni huko mtakapokutana ni wapi mkuu?