Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kuna kitu kimoja kimeni impress sana kwenye mechi yetu ya leo vs the Hammers.

timu imecheza kwa fast tempo na slow tempo in different patches in equal measure. nakumbuka hii ndiyo iliyowasaidia sana Man City kwenye msimu uliopita. timu ikiweza ku alternate tempo hivi, inakuwa na nafasi kubwa ya kuwa na energy ya ku retain ushindi hata ukiwa mwembamba vipi au ku nick goli la ushindi kwenye dakika za majeruhi.

flexibility ya tempo namna hii unaweza kuipata ukiwa tu na midfield iliyo na mafundi wanaoweza kucheza na mpira. this season midfield yetu si ya kitoto.

nimepata matumaini makubwa kuelekea the rest of the season.... but let's hope this is not one of those false dawns!
 
Tumeanza vyema sana jamani!
Keita ni MNYAMA
Sasa nataka nimuone Fabihno na CP
Shaqir na Dan wapo OK
Wilj na Milner perfect
Nilivyo waona Man City ndiyo washindani wetu mwaka huu
 
Mkuu kumbukumbu zangu ni kama tulianza na Arsenal tukashinda 4 - 3.

Mkuu Hiyo ya 4 - 3 Ni Ya Mwaka Juzi ambayo Tulizifunga Timu Kubwa Zote sisipokuwa Man United.
Jaribu Kuvuta Kumbukumbu.
Game Yetu ya Ufunguzi Ya Mwaka Jana ilikuwa against Watford ambao tulikwisha Wafunga 3 - 1 wakaturejeshea Magoli Kizembe Kabisa.
 
Mkuu Hiyo ya 4 - 3 Ni Ya Mwaka Juzi ambayo Tulizifunga Timu Kubwa Zote sisipokuwa Man United.
Jaribu Kuvuta Kumbukumbu.
Game Yetu ya Ufunguzi Ya Mwaka Jana ilikuwa against Watford ambao tulikwisha Wafunga 3 - 1 wakaturejeshea Magoli Kizembe Kabisa.
Ni kweli mkuu, Arsenal ilikuwa game kama ya 3 hivi.
 
Jordan
IMG_20180812_221241_417.JPG
 
bora.... hata mwezi mzima ili dogo Gomez apate game time na ikiwezekana amfanyie Lovren kile TAA alichomfanyia Clyne!!

Lakini Huyu Gomez aliwahi Kupata serious injury ya goti! So, uzima wake si wakutegemea Kwani Muda wowote utasikia yupo nje mezi 2.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom